Rwaz
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,281
- 4,112
Nzuri sana hii series. Doron ni shida!Mtoa mada tafuta Tv Series inaitwa FAUDA angalau unaweza pata mwanga juu ya kinachoendelea huko middle east.
Nawaza tu ili dunia iwe na uwiano ifanyike purge. Nahis watu wamezid uwezo wa rasilimali za dunia