Siku ukikutana na Goliath akakuambia alichofanywa na kile kitoto kidogo Daudi ndio Israel ni nani
😅😅😅
Dah maskini waPalestine😥😥😥😥View attachment 1788652
Hatuchagui kuwa watanzania, wapalestina wala wayahudi. Ukizaliwa tu unaambiwa wewe ni mmakonde full stop. Hako katoto hakakuchagua kasiwe kaisraeli.
Watazitoa wapi hizo silaha?! Yaani hata hizo walizonazo zinaingizwa kwa njia za panya, na ndo maana ni ngumu kidogo kuwakuta wakiwa na vifaru kwa sababu huwezi kuviingiza kwa njia za panya!Sasa kama Hamasi ndo jeshi lao kwanini miaka nenda miaka rudi ilo jeshi la Hamasi haliadvance kivifaa vya kivita na kukiza ukubwa wa jeshi kwanini wao kila siku mbinu zao ni zile zile hazieongezeki ina maana serikali haitoi budget kwa jeshi lake
Na pia vip kuhusu polisi ya palestina mbona yenyewe haijitokezi kuwatetea wananchi wake
Sasa kama Hamasi ndo jeshi lao kwanini miaka nenda miaka rudi ilo jeshi la Hamasi haliadvance kivifaa vya kivita na kukiza ukubwa wa jeshi kwanini wao kila siku mbinu zao ni zile zile hazieongezeki ina maana serikali haitoi budget kwa jeshi lake
Na pia vip kuhusu polisi ya palestina mbona yenyewe haijitokezi kuwatetea wananchi wake
Watazitoa wapi hizo silaha?! Yaani hata hizo walizonazo zinaingizwa kwa njia za panya, na ndo maana ni ngumu kidogo kuwakuta wakiwa na vifaru kwa sababu huwezi kuviingiza kwa njia za panya!
Back in the days, walichimba njia za chini kwa chini kutoka Gaza hadi Egypt, na ndo walikuwa wanatumia hizo njia kupitishia silaha!!
Polisi ni wa Mamlaka ya Palestine ambayo inaongozwa according to Oslo Accord ambayo imeizuia Palestine kuwa na jeshi!
Mama wa CCM, simulizi ya Samuel inatufundisha nini kutokana na nilichoandika?!1 Samueli 4:1-11
Wakati huo, Wafilisti walikutana pamoja, wapigane na Waisraeli. Waisraeli walipiga kambi yao huko Ebenezeri, na Wafilisti wakapiga kambi yao huko Afeka. Wafilisti waliwashambulia Waisraeli, na baada ya mapigano makali, Waisraeli walishindwa. Waisraeli 4,000 waliuawa kwenye uwanja wa mapambano.
Wanajeshi walionusurika walipowasili kambini, wazee wa Israeli walisema, “Kwa nini Mwenyezi-Mungu amewaacha Wafilisti watushinde leo?
Twendeni tukalilete sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu kutoka Shilo, ili aweze kwenda nasi vitani na kutuokoa kutoka na zetu.” Hivyo, walituma watumishi huko Shilo, nao wakalileta sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu wa majeshi ambaye anakaa kifalme juu ya viumbe wenye mabawa.
Wale watoto wawili wa kiume wa Eli, Hofni na Finehasi walikuja pamoja na lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilipofika kambini Waisraeli wote walishangilia kwa furaha, hata nchi yote ikatikisika.
Wafilisti waliposikia sauti hiyo ya furaha walisema “Kelele hizo zote kambini mwa Waebrania zina maana gani?” Walipojua kwamba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa limewasili kambini mwa Waisraeli, Wafilisti waliogopa; wakasema, “Bila shaka, miungu imewasili kambini mwao! Ole wetu!
Sijaandika mimi mkuuMama wa CCM, simulizi ya Samuel inatufundisha nini kutokana na nilichoandika?!
Najua hujaandika wewe ndo maana nimesema "...simulizi ya Samuel"Sijaandika mimi mkuu
Sasa hao polisi wa mamlaka ya palestina kazi yao ni nini na wana msaada gani kwa wananchi yaani mbona wao hawajitokezi mbele ama kwenye vyombo vya habari ama mbona hawawalindi wananchi ama raia wakeWatazitoa wapi hizo silaha?! Yaani hata hizo walizonazo zinaingizwa kwa njia za panya, na ndo maana ni ngumu kidogo kuwakuta wakiwa na vifaru kwa sababu huwezi kuviingiza kwa njia za panya!
Back in the days, walichimba njia za chini kwa chini kutoka Gaza hadi Egypt, na ndo walikuwa wanatumia hizo njia kupitishia silaha!!
Polisi ni wa Mamlaka ya Palestine ambayo inaongozwa according to Oslo Accord ambayo imeizuia Palestine kuwa na jeshi!
Hao polisi hawana Cha kuwaambia Hamas Wala wakazi wa Gaza, wakazi wa gaza ni wakimbizi wengi Toka miji mingine ambayo ishachukuliwa ko nao hawana Cha kupoteza. Police palestina wakimpiga Hamas maana wamekubali kuungana na israel kumpga mpalestina aliepo Gaza , wakimpiga Israel manake wamefeli kidiplomasia na itapelekea Israel kuingia westbank na kuipga Palestine na wakipigwa west bank wanakuwa mateka na ardhi inachukuliwa na taifa ndo itakuwa limepotea, na Hilo ndo lengo la israel .....kwahyo police na serikali ya palestina ipo sahihi....pia Palestine ilipigwa Pini kuhusu kumiliki jeshi kwani imewahi karibia kuizid nguvu beforeSasa hao polisi wa mamlaka ya palestina kazi yao ni nini na wana msaada gani kwa wananchi yaani mbona wao hawajitokezi mbele ama kwenye vyombo vya habari ama mbona hawawalindi wananchi ama raia wake
mkuu hiyo sio rahisi, hawawezi wakawa hawana ardhi ya asili Yao na wakaweza kuongea lugha moja na kuzaliana Kwa wingi, kwahiyo asili Yao hasa kabla ya kupelekwa palestina ilikuwa ni ipi? Ata sie huku tunaishi na wakimbizi Ila tunajua kwao ni wapi na ata wao wenyewe wanjaua kwao ni wapi je Kwa Wana wa Israel ikoje?Hawana ardhi wale ni wakimbizi wa vita vya kwanza vya dunia nadhani,ndipo waingereza walipowakusanya na kuwahifadhi kwenye ardhi ya parestina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji769]View attachment 1786704
Vyombo vya abari hawawezi kukuambia ilo. Nafkiri ndo unasubiri vikuambieSasa kama Hamasi ndo jeshi lao kwanini miaka nenda miaka rudi ilo jeshi la Hamasi haliadvance kivifaa vya kivita na kukiza ukubwa wa jeshi kwanini wao kila siku mbinu zao ni zile zile hazieongezeki ina maana serikali haitoi budget kwa jeshi lake
Na pia vip kuhusu polisi ya palestina mbona yenyewe haijitokezi kuwatetea wananchi wake
UN wali propose ratio nzuri ya 55:45 ila vita zilipoanza Israel alijustify kutanua makazi yake hadi kumega maeneo ya Misri, Jordan na Syria ingawa kuna mengine alirejesha ila Bado aliendelea kukalia kimabavu ardhi ya wapalestina.Kwahyo alieipora ardhi ya parestina ni umoja wa mataifa na sio Israel , wanahaki ya kupiga a pia wanajuwa watapgwa Ila sio kikondoo