Swali: Je Palestina haina jeshi wala polisi?

Kuna baadhi ya matukio huwa ni ya ajabu sana kwa Standard zetu za huku Afrika na haswa ya Mashariki

Kuna kitu kinaitwa "Biashara ya Shahawa ya Wapalestina" ambayo inakuwa hivi, famila zenze Wasichana walio kwenye umri wa kuolewa huwa wanaozwa wale jamaa walioko Jela yaani wale waliofungwa vifungo vya virefu au vya Maisha kwenye Majela ya Israel.

Sasa wale Vijana walioko Jela hutoa Shahawa zao kwa njia ya Magendo kuzipeleka kwa Wake zao huko Uraiani

Wanawake wa Kipalestina wanabeba Mimba ilihali wako Singo😁

Upo hapo?
 
Palestina haitambuliki kama nchi, kwahiyo Jeshi lao halitambuliki kama jeshi halali bali huitwa kundi la wapiganaji ( wanamgambo wa Hamas )
Gaza wanaitambua Kama Hamas jeshi la police Ila Israel wanawatambua Kama magaidi, huko west bank Kuna askaar tu na rais wa Palestine hko Hana namna
 
So taifa la palestina lenyewe halina polisi ama ni vip na je kama Hamas ndo jeshi la nchi kwanini kila siku wao mbinu zao za kivita haziongezeki na kwanini Hamas hawanunu silaha za kisasa za kivita
 
nina majibu ya haya maswali yote lakini ni historia ndefu sana, mkinivumilia nitauchangamsha huu uzi na madini ya kutosha hatua kwa hatua..
Mkuu kete basi izo nondo kaka tusaidie na sisi tuweze kujua huo uhalisia uliopo maana inashangaza yani nchi inashambuliwa lakini jeshi la nchi hata halijitokezi mbele kuipigania nchi yake ama ploisi haijitokezi mbele kuwatetea wananchi wake shidi ya polisi wa isarael wanao wanyanyasa wananchi wa paleatina
 
nitafanya hivyo mkuu mpaka kiu itakatika.
 
Ngoja WALOKOLE wa KINYAKYUSA waje
Umeishawahi kujiuliza kwanini waafrika ndio huwa wanatafuta miujiza kwa changamoto ambazo ufumbuzi wake ni kutumia akili na sayansi tu,waafrika wanaenda nyumba za ibada kuomba kufaulu mitiani,kupata mchumba,kupata kazi,kuanzisha biashara.
Wenzetu wazungu wanatumia sayansi kufanya mambo,mambo kama internet,simu,gari,Ndege,meli,drones,silaha za kisasa za kivita,ajira,huduma bora za kijamii,hivi havikuja kwa kupiga Dua na kukesha,watu walifanya kazi.
Mchina,Korea,India,walijua hii Siri,china hakuna walokole kama kwetu,lakini ndio nchi tajiri,inaweza ikainunua Afrika nzima,
Pastor wangu aliwahi kuniambia,ukienda kanisani kuomba kitanda,Mungu atakushangaa,Mungu atengenezi vitanda,Mungu ameishakupa miti,ni kazi yako kutengeneza vitanda.
Wright brothers waliovumbua Ndege,hawakwenda kanisani kukesha,waligonga mbongo zao,wakafikiri,wakaja na kanuni,na kitu kinachopaa,ambacho kinatumika mpaka leo kutengeneza bombadia.
Hakuna miujiza,huwezi ukaamuka leo,ukawa Dangote,Diamond,Bakheresa,lazima ufanye kazi.
 
Hii race yetu imelaaniwa
(mnisameheni kwa kukufuru)
 
So taifa la palestina lenyewe halina polisi ama ni vip na je kama Hamas ndo jeshi la nchi kwanini kila siku wao mbinu zao za kivita haziongezeki na kwanini Hamas hawanunu silaha za kisasa za kivita
Palestina wameporwa ardhi yao karibu yote na israel na ndio maana wanapambana, wamebakiza miji miwili Gaza na west bank umbali kutoka hiyo miji miwili ni Kama dar to tunduma kias inawawia vigumu kumanage mji wa west Bank ndio shughuli zote zimehamia hko na huko wanaumia na mzozo Ila wanasolve kidiplomasia Zaid hawapgan , huko Gaza ambako kumepakana na Egypt ndiko waliko jazana waparestina wengi baada ya kuporwa makazi yao hko maeneo mengine , nako hakuna jeshi Ila kundi dogo la mapigano la hammas lililoundwa 1987 Kama la kigaidi , kundi Hilo ndilo linalopigana na Israel , waparestina wa Gaza wameamua kuliamin kundi Hilo Kama jeshi lao la ulinzi baada ya kuona serikali yao Haina muda nao , wanaumia kuwa wakimbizi , ko israel hapgan na parestina Bali hammas, tatzo ni kwamba mji wa Gaza umejaa Sana na hauna eneo kubwa la wazi kwasabab waparestina weng wamejazana hapo, ko hata shambulio dgo linawafkia kiurahisi , Hamas wanapata msaada kidg Sana kutoka Iran nao haitoshi kupgana ,wapo Kama 30000 hv wale jamaa , na jeshi linazd kuongezeka kwasabab kila mtu hatak kuonewa so wanajiunga na jeshi kila uchao, Hamas hawana uwezo wa kuipga israel Ila hawana namna kwasabab wakisimama wanapgwa so wameamua kupambana kwao ni jihad, na Vita haiishi Leo Wala kesho kwasabab hata watoto wadogo wanaona jins babazao wakifa, na hii ndio maana nibkawaida Sana kwa mwarabu kuvaa bom, ikaririwe kwamba kafiri hazaliw Ila hutengenezwa na dunia , na watu wanamshabikia israel kwakuwa wanaona yeye ni mteule tu wa mwenyezi mungu , Palestine wanaumia Sana huko , shida nyingine ya Hamas ni kuwa wanashambulia wakitokea sokoni , shuleni na hospital kias inakuwa maafa Zaid mashambuliz yakijibiwa, watu wanabid wajue kuwa israel sio wateule na hawamjui yesu 64percent ni Judaism 17 ni waislam ,2 nj wakristo the rest ni makabila mengine , Ila unamskia memba wa jf anasema shalom piga hao waarabu , parestina Ina watu wote kuanzia wayahud had waarabu ko ile ni Vita haangaliw Nan ni myahud Ila anapgwa asie kuwa my israel hata Kama ni myahud , mungu sitisha mapgano , hata israel wanakula hasara kubwa sio kitoto Tena kubwa kuliko hata parestina,
 
Mkuu kete basi izo nondo kaka tusaidie na sisi tuweze kujua huo uhalisia uliopo maana inashangaza yani nchi inashambuliwa lakini jeshi la nchi hata halijitokezi mbele kuipigania nchi yake ama ploisi haijitokezi mbele kuwatetea wananchi wake shidi ya polisi wa isarael wanao wanyanyasa wananchi wa paleatina
images (2).jpeg
images (1).jpeg
 
Palestina wameporwa ardhi yao karibu yote na israel na ndio maana wanapambana, wamebakiza miji miwili Gaza na west bank umbali kutoka hiyo miji miwili ni Kama dar to tunduma kias inawawia vigumu kumanage mji wa west Bank ndio shughuli zote zimehamia hko na huko wanaumia na mzozo Ila wanasolve kidiplomasia Zaid hawapgan , huko Gaza ambako kumepakana na Egypt ndiko waliko jazana waparestina wengi baada ya kuporwa makazi yao hko maeneo mengine , nako hakuna jeshi Ila kundi dogo la mapigano la hammas lililoundwa 1987 Kama la kigaidi , kundi Hilo ndilo linalopigana na Israel , waparestina wa Gaza wameamua kuliamin kundi Hilo Kama jeshi lao la ulinzi baada ya kuona serikali yao Haina muda nao , wanaumia kuwa wakimbizi , ko israel hapgan na parestina Bali hammas, tatzo ni kwamba mji wa Gaza umejaa Sana na hauna eneo kubwa la wazi kwasabab waparestina weng wamejazana hapo, ko hata shambulio dgo linawafkia kiurahisi , Hamas wanapata msaada kidg Sana kutoka Iran nao haitoshi kupgana ,wapo Kama 30000 hv wale jamaa , na jeshi linazd kuongezeka kwasabab kila mtu hatak kuonewa so wanajiunga na jeshi kila uchao, Hamas hawana uwezo wa kuipga israel Ila hawana namna kwasabab wakisimama wanapgwa so wameamua kupambana kwao ni jihad, na Vita haiishi Leo Wala kesho kwasabab hata watoto wadogo wanaona jins babazao wakifa, na hii ndio maana nibkawaida Sana kwa mwarabu kuvaa bom, ikaririwe kwamba kafiri hazaliw Ila hutengenezwa na dunia , na watu wanamshabikia israel kwakuwa wanaona yeye ni mteule tu wa mwenyezi mungu , Palestine wanaumia Sana huko , shida nyingine ya Hamas ni kuwa wanashambulia wakitokea sokoni , shuleni na hospital kias inakuwa maafa Zaid mashambuliz yakijibiwa, watu wanabid wajue kuwa israel sio wateule na hawamjui yesu 64percent ni Judaism 17 ni waislam ,2 nj wakristo the rest ni makabila mengine , Ila unamskia memba wa jf anasema shalom piga hao waarabu , parestina Ina watu wote kuanzia wayahud had waarabu ko ile ni Vita haangaliw Nan ni myahud Ila anapgwa asie kuwa my israel hata Kama ni myahud , mungu sitisha mapgano , hata israel wanakula hasara kubwa sio kitoto Tena kubwa kuliko hata parestina,
Swali langu kwanini hamas yeye hanunui silaha kubwa kubwa na za kisasa za kivita na je kwanini hawanunui vifaru na mizinga mikubwa ya kivita

Mwisho kwanini iyo serikali ya palestina eneo lake la kiutawala linavamiwa na nchi nyingine na raia wake wanauawa mindo mbinu inabomolewa sreikali ya palestina haingilii kati wala nini bali imewaachia Hamasi peke yake mzigo wote yaanai serikali inayotoza watu wa palestina kodi kwanini inakimbia majukumu yake kwa wanancho wake pls answer mzee
 
Wewe ni mbumbu mwerevu na mwenye akili angetoa maelezo yenye majibu sahihi ili kutudaudia sisi tusio lijua hilo na kwa kua tumeshindwa kupata majibu ya haya maswali uliyoyaandika apa ndo mana nikauliza katika mada yangu ningekuona uko timamu kama ungelijibu maswali yangu
google....acha uvivu. plenty of online libraries kisha unataka kila kitu ushikiwe masikio as a result utadanganywa kwa sababu wengi hujaa mihemuko ya kidini tu
 
The British Uganda Program was a plan to give a portion of British East Africa to the Jewish people as a homeland.

The offer was first made by British Colonial Secretary Joseph Chamberlain to Theodore Herzl's Zionist group in 1903. He offered 5,000 square miles (13,000 km2) of the Mau Plateau in what is today Kenya. The offer was a response to pogroms against the Jews in Russia, and it was hoped the area could be a refuge from persecution for the Jewish people.

The idea was brought to the World Zionist Organization's Zionist Congress at its sixth meeting in 1903 in Basel. There a fierce debate ensued. The African land was described as an "ante-chamber to the Holy Land", but other groups felt that accepting the offer would make it more difficult to establish a Jewish state in Palestine. Before the vote on the matter, the Russian delegation stormed out in opposition. In the end, the motion to consider the plan passed by 295 to 177 votes.

The next year, a three-man delegation was sent to inspect the plateau. Its high elevation gave it a temperate climate, making it suitable for European settlement. However, the observers found a dangerous land filled with lions and other creatures. Moreover, it was populated by a large number of Maasai who did not seem at all amenable to an influx of people coming from Europe.

After receiving this report, the Congress decided in 1905 to politely decline the British offer. Some Jews, who viewed this as a mistake, formed the Jewish Territorialist Organization with the aim of establishing a Jewish state anywhere.[4]

Hawa jamaa wangekuwa majirani zetu walikataa kwa kuogopa hali ya hewa tu kwa jews wa europe na kuogopa Simba lakini wangekuwa majirani zetu na siajabu hata Serengeti wangekuwa wameshaichukuwa. Mbu wa malaria tu na simba walituokoa ila wangekuwa jirani kabisa.
 
google....acha uvivu. plenty of online libraries kisha unataka kila kitu ushikiwe masikio as a result utadanganywa kwa sababu wengi hujaa mihemuko ya kidini tu
Narudia tena wewe ni mbumbu kama mbumbu wengine huna lolote unalojua zaidi ya matambo kama manara maneno meengi vitendo sifuri
 
Elewa history ilivyokuwa..
Eneo ambalo Leo ni Israel na Palestine lilikuwa chini ya utawala wa Waingereza ...
Waingereza waliwaacha wai Israel waje hapo huku wapalestina hawajapewa Uhuru wao..
 
Swali langu kwanini hamas yeye hanunui silaha kubwa kubwa na za kisasa za kivita na je kwanini hawanunui vifaru na mizinga mikubwa ya kivita

Mwisho kwanini iyo serikali ya palestina eneo lake la kiutawala linavamiwa na nchi nyingine na raia wake wanauawa mindo mbinu inabomolewa sreikali ya palestina haingilii kati wala nini bali imewaachia Hamasi peke yake mzigo wote yaanai serikali inayotoza watu wa palestina kodi kwanini inakimbia majukumu yake kwa wanancho wake pls answer mzee
Inasolve swala kidiplomasia Zaid hvo haipgani , af nchi imegawika vipande viwili ambavyo vipo mbali katkat wapo Israel kwahyo upande wa Gaza ndio unashkiliwa na Hamas af upande wa west Bank ndio ipo serikali , Gaza imepgwa Pini hakuna miZigo inayoingia hko na inavikwazo vingi vya kimataifa , Hamas Wana viwanda local vya silaha na ndo wanavotumia kupgana , pia serikali ya palestina ipo mbali na Gaza Kias haiwez kupeleka jeshi Gaza, hivo bas Hamas kimekuwa ni kikundi Cha kigaid kilichokubalika na wakaz wa Gaza , endapo Gaza atapgwa Sana kwa kukimbilia ni Sinai ambavyo ni ardhi ya Egypt, eneo lote kuanzia israel , parestina , sehem ndogo ya Lebanon na Syria yalikuwa ni maeneo ya parestina had mwaka 1945 , UK ililigawa eneo la parestina katka hayo mataifa akiwemo Israel aliepewa eneo,kwahyo Israel sio wa kwanza kuihujumu parestina Bali ni umoja wa mataifa ndio walioisababishia matatz na umeshindwa kuyatatua , kwa hyo ntakuwa nmejibu swali lako Hamas wanaopgana ni migambo tu na sio jeshi ,Ila Gaza inahesab ni jeshi lake kwakuwa serikali ya palestina ipo mbali na Wala parestina haichkui Kodi Gaza , kiufup taifa la parestina halipo duniani japo Lina rais na vendera, raia wa parestina wamekuwa wakitumia visa na passport Kama nao ni waisrael , kwahyo walikubali kukaa pamoja baaz ya maeneo Kama Jerusalem na waparestina walikubali kuwa waisrael, na walisahiliwa , kilicho amsha maandamano ni ubaguzi wa rangi pamoja na waparestina kufukuzwa maeneo yao ambayo yapo Jerusalem walipokubaliana kuish pamoja , na ndo maana unaona fujo zilianzia mskitin Al aqsa , nazan umenielewa mkuu , Vita iskie kwa jiran tu , anaepgwa na anaepgwa wote wanaumia, mfano Hamas wanatuma kombora la kienyej tu lililogharimu 500 USD approximately to 1.3 mil , technology ya iron Dom ya israel Ina pangua kombora juu kwa juu kwa ku intercept na kombora jingine means yanagongana na kulipuka angani , kombora linalointerc3pt linaghalimu 80000 USD , karbia 170 mil , so unaona Pana 1.2 mil kwa mil 170 hv .....mkuu ni gharama kuendesha Vita hata Kam unauhakika wa kushinda. Ukumbuke pia shughuli znasimama kwa wote ,na wakaz wa Israel wapo handakin Ila wa Gaza wanarusha mawe tu , wamechoma na hawaachi...Vita iskie tu mzee ,. Hapo bado Hezbollah ataanza kuishambulia kutoka Lebanon, hawatamshinda Ila wanamtia hasara huko handakin watu watahtaj chakula na huduma nyinginezo...hasara ni kubwa aisee , mbaya Zaid ile ardh Haina rasilimali yoyote hata wakishinda haitoshi ku compasate hasara, so wanakula hasara wote
 
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi... je hapo Gaza kuna utawala wa sheria? Je wahalifu wanashughulikiwa vipi!? Nani anakusanya kodi na kutoa huduma za kijamii!?
 
Back
Top Bottom