SWALI FIKIRISHI: Je, Magufuli ameondoka na Corona? Hatusikii tena kelele zake

Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania.
Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
Ulikuwa jela? Kila siku watu wanapiga makelele humu kwamba mama alete chanjo ,kila siku watu wanapiga makelele kwanini Mama havai Barakoa! Korona inaenda na wave, wave la pili limemuondoa JIWE na mapadri 33+ ,tusubiri wave ya tatu.
 
Hatujabisha hilo, tunachojoji ni kupotea kwa kelele za Corona baada ya kifo cha Rais. Huwa unaelewa kabla ya kujibu?

Mama kasema anaunda tume ya wataalamu wabobezi kuhusiana na Corona.

Kelele zipi tena kabla ya mrejesho?

Tulipo tunasubiria kufahamu tume imeshaundwa na imefika wapi.

Kelele za nini hapo?
 
SUV

Yon UTANGULIZI | SUV Bibilia | YouVersion
Yon 2 | SUV Bibilia | YouVersion

YON 1​


1 Basi neno la BWANA lilimjia Yona, mwana wa Amitai, kusema,
2Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, ukapige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.
3Lakini Yona akaondoka akimbilie Tarshishi, apate kujiepusha na uso wa BWANA; akatelemka hata Yafa, akaona merikebu inayokwenda Tarshishi; basi, akatoa nauli, akapanda merikebuni, aende pamoja nao Tarshishi, ajiepushe na uso wa BWANA.
4Lakini BWANA alituma upepo mkuu baharini, ikawa tufani kubwa baharini, hata merikebu ikawa karibu na kuvunjika.
5Basi wale mabaharia wakaogopa, kila mtu akamwomba mungu wake; nao wakatupa baharini shehena iliyokuwa merikebuni, ili kuupunguza uzito wake. Lakini Yona alikuwa ameshuka hata pande za ndani za merikebu; akajilaza, akapata usingizi.
6Basi nahodha akamwendea, akamwambia, Una nini, Ewe ulalaye usingizi? Amka, ukamwombe Mungu wako; labda Mungu huyo atatukumbuka, tusipotee.
7Wakasemezana kila mtu na mwenzake, Haya, na mpige kura, mpate kujua mabaya haya yametupata kwa sababu ya nani. Basi wakapiga kura, nayo kura ikamwangukia Yona. 8
Ndipo wakamwambia, Tafadhali utuambie, wewe ambaye mabaya haya yametupata kwa sababu yako; kazi yako ni kazi gani? Nawe umetoka wapi? Nchi yako ni nchi ipi? Nawe u mtu wa kabila gani?
9Akawaambia, Mimi ni Mwebrania; nami namcha BWANA, Mungu wa mbingu, aliyeziumba bahari na nchi kavu.
10Ndipo watu wale wakaogopa mno, wakamwambia, Ni jambo gani hili ulilolitenda! Kwa maana watu wale walijua ya kuwa amekimbia, ajiepushe na uso wa BWANA, kwa sababu alikuwa amewajulisha.
11Basi wakamwambia, Tukutende nini, ili bahari itulie? Kwa maana bahari ilikuwa inazidi kuchafuka.
12Naye akawaambia, Nikamateni, mnitupe baharini; basi bahari itatulia; kwa maana najua ya kuwa ni kwa ajili yangu tufani hii imewapata.
13L
akini wale watu wakavuta makasia kwa nguvu, ili wapate kurudi pwani, wasiweze; kwa maana bahari ilizidi kuwachafukia sana.
14Basi wakamlilia BWANA, wakasema, Twakuomba, Ee BWANA, twakuomba, tusiangamie kwa ajili ya uhai wa mtu huyu, wala usitupatilize kwa ajili ya damu isiyo na hatia; kwa maana wewe, BWANA, umefanya kama ulivyopenda.
15Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka.
16Ndipo wale watu wakamwogopa BWANA mno, wakamtolea BWANA sadaka, na kuweka nadhiri.
17BWANA akaweka tayari samaki mkubwa ili ammeze Yona, naye Yona akawa ndani ya tumbo la samaki yule muda wa siku tatu, mchana na usiku.
asante
 
FRANCIS DA DON huko sawa kabisa. Kila jambo lina sababu. Wahenga walisema "UKIONA KIFARANGA KIKO JUU YA CHUNGU UJUE MAMA YAKE YUKO CHINI".
JPM alitujenga kisaikolojia kuhusu vita za wababe wa ulimwengu. Kazi iliyobaki ni sisi wananchi mmoja mmoja kuijua falsafa hii ya JPM na kuitetea ili sisi na vizazi vyetu tuwe salama.
 
Kwahiyo tume ndio imepiga marufuku zile Tanzia mlizokuwa mnaleta kila siku?

Kelele ulizokuwa unazisikia zilikuwa ni miito kwa serikali ya awamu ya 5 kuchukua hatua.

Serikali iliyopo imekubali kuchukua hatua.

Tunasubiria sasa mrejesho. Kipi huelewi hapo?
 
Kelele ulizokuwa unazisikia zilikuwa ni miito kwa serikali ya awamu ya 5 kuchukua hatua.

Serikali iliyopo imekubali kuchukua hatua.

Tunasubiria sasa mrejesho. Kipi huelewi hapo?
Watu si bado wanaendelea kufa? Au hawafi kwa Corona tena?Kwani Tanzia lengo ni nini? Kupanikishana au kupeana taarifa? Endeleeni kutupa taarifa kama mwanzo; otherwise mlikuwa na agenda ovu juu ya Hayati JPM
 
Watu si bado wanaendelea kufa? Au hawafi kwa Corona tena?Kwani Tanzia lengo ni nini? Kupanikishana au kupeana taarifa? Endeleeni kutupa taarifa kama mwanzo; otherwise mlikuwa na agenda ovu juu ya Hayati JPM

Angefanya JPM aliyofanya Samia, kusingekuwa na kelele.

Samia kachukua njia iliyo sahihi kuwaacha wataalamu washauri kitalaamu na kwa uhuru wao wote.

Angefanya hivyo JPM mbona tungemwuunga mkono kama tunavyomwuunga mkono mama?

Hapendwi mtu. Matendo!
 
Kuna hatari ya covid 19 lakini mahali nilipo sijawahi kushuhudia kesi ya covid hata kwa jirani.
 
Corona inakuja kama waves na kupotea.
Kweeliiii???
Hili wimbi linapotea Tanzania tuu.
Vipi majirani zetu Kenya ambao wamejifungia toka MWAKA Jana,
Tena wakajarobu kufungua shule MWAKA huu, lakini yamewashinda,
Bado wamefunga shule, ikiambatana na hatua nyingine Kama lockdown, nk
 
Back
Top Bottom