CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Huko pia lilipita sa hii kumepoa pia.Kweeliiii???
Hili wimbi linapotea Tanzania tuu.
Vipi majirani zetu Kenya ambao wamejifungia toka MWAKA Jana,
Tena wakajarobu kufungua shule MWAKA huu, lakini yamewashinda,
Bado wamefunga shule, ikiambatana na hatua nyingine Kama lockdown, nk