Uchaguzi 2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Hakuna na labda vichaa, machizi, majinga na mapumbavu tu
 
Kuna baadhi ya ballot papers zinafuatiliwa. Kura za NEC sio siri. Kuna serial number imo kwenye kila ballot paper, kuna watu wao wanazi note na kuzifuatilia wawajuwe.
Sio kweli,utafuatilia watu zaidi ya milioni 10 kwa faida ipi sasa?,mda wenyewe upo?,
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, CCM inapendwa na wajinga na wazee , hao ndo wataichagua.
Wajinga ni wale wasio na Elimu pamoja na Wafanyabiashara waliodhulumiwa Mali zao na Wafanyakazi ambao hawajaongezewa Mishahara na Wazee waliostaafu na hawajalipwa Mafao yao lkn bado Watampigia kua
 
Maisha yangu,watoto wangu,watanzania wenzangu na nchi yangu kwanza then Mambo ya vyama na cheo cha mtu baadae,kauli za mwache amalizie muda wake utazokuta kwa wajinga wa ccm.Kule Malawi APM ameongoza kwa miaka mitano tu,Ila kwa kuwa ni incompetent Kama JPM jamaa wamepiga chini maana wanajua wakati wanasubiri APM amalize muda wake,dunia haikakuwa imesimama pia kuwasubiria wao na incompetent wao
 
Hii umenichekesha sana,Kama haya yaliyoandikwa hapa Magu anaona ndo kete zake za ushindi no wonder tumeongeza $100.00 kwenye GNI,no wonder uchumi wetu unakuwa kwa 4%,no wonder tunazurumu kila pesa inayopitia mikono mwetu
Ni mtazamo wako, kwa upeo wa fikra zako, Upo sawa mkuu
 
Kwani huyu aliyenunua ndege ndo procurement officer wa serikali au yeye alikuwa dalali tu wa Boeing? By the way Lissu ni dalali wa wazungu kwa kuwa katibiwa huko belgium au kwa kuwa wakili wake ni Amsterdam? Je kikwete anayemfanyia kampeni Magufuli huku akiwa alitibiwa John hopkings au mwalimu aliyetiwa St.thomas walikuwa mawakala wa nani? Course walikuwa Marais wetu
Lissu mzee wa MIGA huwezi kumfananisha na aliyetibiwa St Thomas.
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Mimi ni kichaa kabisa sina utimamu hata kidogo lakini simpigii kura hata nipelekwe milembe
 
Miaka yote imekuwa ikisemwa kuwa hakuna mwenye akili timamu anaweza kuipigia kura ccm ila sasa inasemwa hakuna mwenye akili timamu anaweza kumpigia kura Magufuli.

Sasa kama kuna watu walikuwa bado wanaipigia kura ccm pamoja na yote hivyo basi pia hata sasa hao watu wataendelea kuipigia kura ccm.
 
Wacha nicheke tu. Bwana P, niite tu jina wala usiongeze neno "mkuu".

Njoga nikumbushie nafsi yangu. Licha ya kwamba nimejiunga rasmi na JamiiForums hivi karibuni nilikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa mijadala humu ndani.

Nawe pia nimekuwa nikikusoma sana tu.

Ulinitia matumaini makubwa siku ulipomuuliza John Magufuli swali. Ulikuwa ni ujasiri wa hali ya juu sana kuoneshwa na mwanahabari wa Tanzania japokuwa kwa nchi zilizostaarabika ni jambo la kawaida sana na watu wanafurahia uhuru wa kuhoji, kujieleza, na kupata majibu ya uhakika.

Majibu uliyoyapata kutoka kwa John Magufuli siku hiyo ukichanganya na lugha ya mwili aliyoionesha kwako ulipaswa moja kwa moja kuwa upande mmoja tu nao ni wa kutetea uhuru na haki za binadamu.

KUMBUKA: TRUE+TRUE = TRUE, TRUE+FALSE = FALSE NA FALSE +FALSE=TRUE

SASA IKIWA NAWE LICHA YA KUWA VICTIM WA UKANDAMIZAJI WA KUJIELEZA NA KUHOJI UTAMCHAGUA JOHN MAGUFULI RAIS MWENYE KILA DALILI ZA UDIKTETA UNATUVUNJA MOYO.

KUJENGA BARABARA NI SUALA LA KAWAIDA SANA NA KAMWE HALIWEZI KUWA SABABU YA KUBAGUA KUKANDAMIZA NA KUONEA WENGINE.

HATA TUNDU LISSU ATAJENGA BARABARA MAANA KILA SERIKALI INAJENGA. TUNAHITAJI UHURU NA HAKI ZA BINADAMU
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
NA MIMI SIAMINI LABDA MTU LIMBUKENI ANAWEZA KUCHAGUA RAISI 100% KIBARAKA
 
NA MIMI SIAMINI LABDA MTU LIMBUKENI ANAWEZA KUCHAGUA RAISI 100% KIBARAKA
Wewe na John Magufuli na serikali yake yote ndiyo vibaraka maana hakuna wanaloweza kulifanya bila kuitegemea Ulaya na Marekani. Kuanzia madawa ya UKIMWI, Malaria, bajeti, teknolojia, hata intenet unayotumia si mali ya Tanzania sijui ikiwa unalijua hilo. YAONEKANA HUNA UELEWA WOWOTE KUHUSU DUNIA NA NCHI YAKO.
 
Hakuna mwenye akili timamu atayemchagua huyo aisee. Labda kama mtu huyo amejizira, hajipendi tena.
 
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?

NAHITAJI MAJIBU
Wewe ndie utakuwa huna akili timamu.
 
Back
Top Bottom