Mgagagigikoko
hodi hodi
You are mistaken. Tido haajiri kwa chupi/sambusa. Nasikia Tido Mhando mdini wa kutupwa. Alipokuwa bbc kaajiri wagala wenziwe na sasa yupo tut anaajiri wagala tu. mkurugenzi wa habari mgala, mkurugenzi wa radio mkiristo, mkurugenzi wa tv mkiristo! Kweli nchi itakwenda?
My friend, this is very serious allegation.
In BBC kuna akina Ziana Seif, Ally Saleh, Juma Nkamia, Mariam Omar ambao ni waislam pamoja na wengine ambao sauti zao huwa twazisikia kila mara.
Halafu katika kila taasisi kuna idara inayoitwa "Human Resources"- je Mzee Mhando anaingia humo na kusema kwamba fulani apitishwe tu?
Je, alipokuwa pale BBC alikwenda kwa wazungu na akawaambia nataka Suzan Mungi aajiriwe kwani ni yeye analipa mishahara?
Of-course yeye anaweza atoe "recommendation" kwamba anaonaje kuhusu waliofanziwa usahili.
Kuhusu Tanzania of-course labda atahitaji watu mchanganyiko wenye uzoefu kidogo kuhusu utayarishaji na utengenezaji na usimamizi wa vipindi ambao wengine labda watakuwa wamefanya kazi katika mashirika makubwa kama BBC ambapo labda Suzan anafit hapo.
Halafu pia suala la elimu na ufanisi wa kazi ni gumu kidogo na utaona ni bora umchukue amtu aliemaliza pale VETA na amefanza kazi yenyewe kwa vitendo kuliko mtu wa pale mlimani ambao kuna baadhi wamemaliza pale mlimani na bado wanashindwa hata kuandika "convincing letter" ya kuomba kazi mpaka wasaidiwe!
Kuhusu kuingia mwenye kinachoitwa mtandao hayo ni mambo ambayo bado tunaita "rumours" ambayo ukweli wake unaweza ukawepo au usiwepo na hata kama akiwa ni mwana mtandao si ndio mambo yenyewe katika dunia ya leo?
Kwa hiyo ndugu naona "you have gone over the edge" na unahitaji kurudishwa katika mstari (kama haiwezekani si basi! )
Tukumbuke kuleta vigezo katika hoja zetu pale tunapohisi twakaka kuzituma JF, please.