Hapa hakichunguzwi chama, anachunguzwa mwenyekiti Mbowe kwa kutafuna makato ya mishahara ya wabunge inayofikia 8.9bl. Chadema tulieni takukuru watatoa majibu Kama kweli Mbowe kutafuna kihalali au kifisadi.Ahahahaaaa . Chama chenye hati safi toka kwa CAG kisumbuliwe. Lakini chenye hati ya mashaka kiachwe bila usumbufu . Tanganyika ulipotezea njia wapi ?!
Chadema ni chama cha msimu majengo ya nini?!Ukweli Ni Kwamba Chadema Mnatia Aibu sana Hivi hata nyaraka zenu za siri mnatunzia wapi?? miaka yote hii hata Ofis imewashinda Kujenga...Makao Makuu mnajibana bana kanyumba kale Pale Hovyoo
Kadhi mkuu. Ripot ya Bashiru kule mtaa wa pili, ulileta tija gani kwa taifa zaidi ya Bashiru mwenyewe kuukwaa ?!. Hizi ni kicks za wahamiaji. Miaka yote mitano wanakatwa hawakunung'unika , Leo wamefika bei wanatafuta sababu za kutoka. UPUUZIHapa hakichunguzwi chama, anachunguzwa mwenyekiti Mbowe kwa kutafuna makato ya mishahara ya wabunge inayofikia 8.9bl. Chadema tulieni takukuru watatoa majibu Kama kweli Mbowe kutafuna kihalali au kifisadi.
Msikimbie majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 ndio nani man?Mimi nilidhani ni mtoto wa Sundi Malomo