Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

Ukweli Ni Kwamba Chadema Mnatia Aibu sana Hivi hata nyaraka zenu za siri mnatunzia wapi?? miaka yote hii hata Ofis imewashinda Kujenga...Makao Makuu mnajibana bana kanyumba kale Pale Hovyoo
 
Ahahahaaaa . Chama chenye hati safi toka kwa CAG kisumbuliwe. Lakini chenye hati ya mashaka kiachwe bila usumbufu . Tanganyika ulipotezea njia wapi ?!
Hapa hakichunguzwi chama, anachunguzwa mwenyekiti Mbowe kwa kutafuna makato ya mishahara ya wabunge inayofikia 8.9bl. Chadema tulieni takukuru watatoa majibu Kama kweli Mbowe kutafuna kihalali au kifisadi.
Msikimbie majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli Ni Kwamba Chadema Mnatia Aibu sana Hivi hata nyaraka zenu za siri mnatunzia wapi?? miaka yote hii hata Ofis imewashinda Kujenga...Makao Makuu mnajibana bana kanyumba kale Pale Hovyoo
Chadema ni chama cha msimu majengo ya nini?!
 
Hapa hakichunguzwi chama, anachunguzwa mwenyekiti Mbowe kwa kutafuna makato ya mishahara ya wabunge inayofikia 8.9bl. Chadema tulieni takukuru watatoa majibu Kama kweli Mbowe kutafuna kihalali au kifisadi.
Msikimbie majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kadhi mkuu. Ripot ya Bashiru kule mtaa wa pili, ulileta tija gani kwa taifa zaidi ya Bashiru mwenyewe kuukwaa ?!. Hizi ni kicks za wahamiaji. Miaka yote mitano wanakatwa hawakunung'unika , Leo wamefika bei wanatafuta sababu za kutoka. UPUUZI
 
Aibu nyingine kwa Lijualikali na Silinde!! Hata ukitaka kununuliwa basi nunuliwa kwa akili.
 
Back
Top Bottom