Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

Twambieni zile 1.5 trillion zilitumika vipi na kwa ruhusa ya nani?
Nafikiri hoja si uhalali wa makato bali matumizi yake na makubaliano yao. Leo mkifanya ujanja ujanja levels za chama mkipewa nchi si mtatuuza wazima wazima!
 
Ishu sio Kama yapo kikatiba au sio kikatiba! Ishu Ni ziko wapi? Zimetumikaje?

Zakwenu?

Mwisho mtauliza hata michango ya kuwatoa viongozi wa CHADEMA gerezani ilitumikaje...

Za kwenu? Mlichangiwa ninyi?

Hatuulizi tuliochanga mnauliza ninyi???
 
Sawa. Fedha hizo utumikaje? Je? Umliwakilisha kodi TRA?
Acha ujinga wakichura chura vyama vya siasa havilipi kodi. Kama mna hamu sana na kodi anza na yale mabilioni mliyowanunulia akina Gekul, Waitara, Masele, Lijualikali, Sokombi, Katambi, Selasini, Komu, Silinde, Mkundi, Mtolea, Katani, Nachuma, na walamba matapishi ya nzi wakijani wengineo.
 
Kina Silinde Ni hatari kupewa nafasi ya uongozi, hawafai Tena Ni wasaliti wakuu. Chadema Ni chama kubwa unahitaji fedha kujiendesha.
 
Akiongea baada ya kuhojiwa na Takukuru mbunge wa Mlimba mh Suzan Kiwanga amesema makato ya wabunge wa Chadema yako wazi kwenye katiba ya chama na yamebarikiwa na Spika Ndugai.

Kiwanga amesema kimsingi wabunge wa kuchaguliwa hukatwa na Spika sh 530,000 kila mwezi kutoka kwenye mshahara na posho zao na kuziwakilisha kwa katibu mkuu Chadema.

Suzan amemalizia kwa kusema wabunge wote waliridhia kanuni hiyo ya mapato ndio maana hakuna mbunge aliwahi kulalamika kabla Corona haijaingia.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani imefika kipindi watanzania tufanye funga ya toba kwa ajili ya kuombea taifa letu. Tuna tatizo kubwa kuliko CORONA
 
Nafikiri hoja si uhalali wa makato bali matumizi yake na makubaliano yao. Leo mkifanya ujanja ujanja levels za chama mkipewa nchi si mtatuuza wazima wazima!
Ile 1.5T ilisha rudi kwenye balance sheet ya Serikali?
 
Hayo yanajulikana Takukuru inachokifanya ni amri toka Juu. Na PCCCB wanajua kuwa pale hakuna kesi!
Issu siyo kukatwa , issue ni matumizi yake,
Walikuwa wakikatwa kwaajiri ya kampeni! Takukuru wanaangalia matumizi yke.
Maana kila pesa inamatumizi yke. Isijekuwa joyce anatafuna michango yawenzie!

Lakini takukuru inataka kujua wabunge wte wanakatwa? Kunabaadhi hawakatwi? Kama nikatiba basi ionyeshwe wote wanakatwa.
 
Mbona kuna matumizi makubwa ya Pesa nchi hii, billions , kwenye miradi haipitishwi na Bunge,
Takukuru wala Bunge hawaoji
 
Issu siyo kukatwa , issue ni matumizi yake,
Walikuwa wakikatwa kwaajiri ya kampeni! Takukuru wanaangalia matumizi yke.
Maana kila pesa inamatumizi yke. Isijekuwa joyce anatafuna michango yawenzie!

Lakini takukuru inataka kujua wabunge wte wanakatwa? Kunabaadhi hawakatwi? Kama nikatiba basi ionyeshwe wote wanakatwa.
Kuna mkataba kuwa zikikatwa zifanye kitu fulani? Ni kwamba katiba inasema utakatwa na si kuwa utapanga matumizi ukishakatwa. Labda kwa vile nchi hii sasa ni Lawlessness with compromised Judiciary, lolote watasema, wataamua etc!
Joyce ni Mhasibu?au accounting officer?
 
Naichukia sana sisiyemu
Kuna mkataba kuwa zikikatwa zifanye kitu fulani? Ni kwamba katiba inasema utakatwa na si kuwa utapanga matumizi ukishakatwa. Labda kwa vile nchi hii sasa ni Lawlessness with compromised Judiciary, lolote watasema, wataamua etc!
Joyce ni Mhasibu?au accounting officer?
 
Nafikiri hoja si uhalali wa makato bali matumizi yake na makubaliano yao. Leo mkifanya ujanja ujanja levels za chama mkipewa nchi si mtatuuza wazima wazima!

Uko sahihi sana kuhusu matumizi ya hizo hela. Ila tazama kichwa cha habari, jana spika Ndugai wakati anaoongea alijifanya hajui hilo, na kwamba sio sahihi bali ni lazima isiyo na ridhaa ya wachangiaji! Hilo la kuuzwa, kuna kuuzwa tofauti kuliko huko tulikouzwa kuanzia enzi za Mkapa nakuendelea?
 
Akiongea baada ya kuhojiwa na Takukuru mbunge wa Mlimba mh Suzan Kiwanga amesema makato ya wabunge wa Chadema yako wazi kwenye katiba ya chama na yamebarikiwa na Spika Ndugai.

Kiwanga amesema kimsingi wabunge wa kuchaguliwa hukatwa na Spika sh 530,000 kila mwezi kutoka kwenye mshahara na posho zao na kuziwakilisha kwa katibu mkuu Chadema.

Suzan amemalizia kwa kusema wabunge wote waliridhia kanuni hiyo ya mapato ndio maana hakuna mbunge aliwahi kulalamika kabla Corona haijaingia.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

Tatizo sio makato, tatizo ni matumizi nje ya mipango ya hiyo pesa.
Kwa hiyo huyo susan atwambie hizo pesa zimetumika kama ilivyokusudiwa? Maana uchaguzi bado.
 
Back
Top Bottom