Matumizi yake wanajua wahusika!
Nafikiri hoja si uhalali wa makato bali matumizi yake na makubaliano yao. Leo mkifanya ujanja ujanja levels za chama mkipewa nchi si mtatuuza wazima wazima!
Ishu sio Kama yapo kikatiba au sio kikatiba! Ishu Ni ziko wapi? Zimetumikaje?
Acha ujinga wakichura chura vyama vya siasa havilipi kodi. Kama mna hamu sana na kodi anza na yale mabilioni mliyowanunulia akina Gekul, Waitara, Masele, Lijualikali, Sokombi, Katambi, Selasini, Komu, Silinde, Mkundi, Mtolea, Katani, Nachuma, na walamba matapishi ya nzi wakijani wengineo.Sawa. Fedha hizo utumikaje? Je? Umliwakilisha kodi TRA?
Sawa matumizi yake vipi takriban b8 jumla yake kwa miaka hii 5
Nani kasema zimeyeyuka bwashee?Sasa ilikuwaje zikayeyuka? Na inasemekana ni fixed accout?
Ametajwa na Jeshi la polisi siyo mimi bwashee!Mke mwenzako nini mbona unapenda kumtaja taja
Nadhani imefika kipindi watanzania tufanye funga ya toba kwa ajili ya kuombea taifa letu. Tuna tatizo kubwa kuliko CORONAAkiongea baada ya kuhojiwa na Takukuru mbunge wa Mlimba mh Suzan Kiwanga amesema makato ya wabunge wa Chadema yako wazi kwenye katiba ya chama na yamebarikiwa na Spika Ndugai.
Kiwanga amesema kimsingi wabunge wa kuchaguliwa hukatwa na Spika sh 530,000 kila mwezi kutoka kwenye mshahara na posho zao na kuziwakilisha kwa katibu mkuu Chadema.
Suzan amemalizia kwa kusema wabunge wote waliridhia kanuni hiyo ya mapato ndio maana hakuna mbunge aliwahi kulalamika kabla Corona haijaingia.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ametajwa na Jeshi la polisi siyo mimi bwashee!
Ile 1.5T ilisha rudi kwenye balance sheet ya Serikali?Nafikiri hoja si uhalali wa makato bali matumizi yake na makubaliano yao. Leo mkifanya ujanja ujanja levels za chama mkipewa nchi si mtatuuza wazima wazima!
Issu siyo kukatwa , issue ni matumizi yake,Hayo yanajulikana Takukuru inachokifanya ni amri toka Juu. Na PCCCB wanajua kuwa pale hakuna kesi!
Kuna mkataba kuwa zikikatwa zifanye kitu fulani? Ni kwamba katiba inasema utakatwa na si kuwa utapanga matumizi ukishakatwa. Labda kwa vile nchi hii sasa ni Lawlessness with compromised Judiciary, lolote watasema, wataamua etc!Issu siyo kukatwa , issue ni matumizi yake,
Walikuwa wakikatwa kwaajiri ya kampeni! Takukuru wanaangalia matumizi yke.
Maana kila pesa inamatumizi yke. Isijekuwa joyce anatafuna michango yawenzie!
Lakini takukuru inataka kujua wabunge wte wanakatwa? Kunabaadhi hawakatwi? Kama nikatiba basi ionyeshwe wote wanakatwa.
Ile 1.5T ilisha rudi kwenye balance sheet ya Serikali?
Acha kujifanya mjuaji wewe, unapingana na wito??Ishu sio Kama yapo kikatiba au sio kikatiba! Ishu Ni ziko wapi? Zimetumikaje?
Kuna mkataba kuwa zikikatwa zifanye kitu fulani? Ni kwamba katiba inasema utakatwa na si kuwa utapanga matumizi ukishakatwa. Labda kwa vile nchi hii sasa ni Lawlessness with compromised Judiciary, lolote watasema, wataamua etc!
Joyce ni Mhasibu?au accounting officer?
Acha kujifanya mjuaji wewe, unapingana na wito??
Nafikiri hoja si uhalali wa makato bali matumizi yake na makubaliano yao. Leo mkifanya ujanja ujanja levels za chama mkipewa nchi si mtatuuza wazima wazima!
Akiongea baada ya kuhojiwa na Takukuru mbunge wa Mlimba mh Suzan Kiwanga amesema makato ya wabunge wa Chadema yako wazi kwenye katiba ya chama na yamebarikiwa na Spika Ndugai.
Kiwanga amesema kimsingi wabunge wa kuchaguliwa hukatwa na Spika sh 530,000 kila mwezi kutoka kwenye mshahara na posho zao na kuziwakilisha kwa katibu mkuu Chadema.
Suzan amemalizia kwa kusema wabunge wote waliridhia kanuni hiyo ya mapato ndio maana hakuna mbunge aliwahi kulalamika kabla Corona haijaingia.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!