nawashukuru nyote kwa pamoja, nakushukuru da dena!!!
Ndio nafanya taratibu za kuondoka ofisini, na muda si mrefu nitaondoka!!!
Nasema tena asanteni kwa kunitia moyo!!
Sisi tulimpenda lakini mungu amependa zaidi!!! Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe!!!
Asante Dena kwa taarifa.Pole sana Susy kwa msiba,Mungu atawapa nguvu.Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.
Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la
Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.
Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
DA
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.
Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.
Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.
Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
DA