Leo ndio mazishi ya Bernard Membe. Kalale pema Ben, uliweka nguzo ya Uinjilisti CCC-Upanga TAG na BCIC kwa Askofu Gamanywa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,010
Leo Benard Membe atapumzishwa nyumbani kwao Rondo.

Ninamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha za kulipia Deni la manunuzi ya Viwanja vya BCIC Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu.

Nitamkumbuka Membe kwa mchango wake pale TAG - Upanga CCC.

Lakini pia nitamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha kea ajili ya Ukurabati wa Ukumbi wa mikutano pale St Albans Anglican Church Upanga.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe.

RIP Ben!
 
Apumzike kwa amani

Leo Benard Membe atapumzishwa nyumbani kwao Rondo

Ninamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha za kulipia Deni la manunuzi ya Viwanja vya BCIC Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu

Nitamkumbuka Membe kwa mchango wake pale TAG - Upanga CCC

Lakini pia nitamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha kea ajili ya Ukurabati wa Ukumbi wa mikutano pale St Albans Anglican Church Upanga

Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe

RIP Ben!
Alimuua balozi wa Libya,kisha kujilimbikizia pesa za hiyo nchi ,alifikiri ataishi milele,majigambo kibao,ni mzoga huo kwa sasa
 
Hayo ni majukumu ya waumini. Ungeweka mchango wake unaoonekana kitaifa maana kipato chake ni kodi za wananchi.
 
Nchi hii imekuwa ya ajabu. Tumeanza kusubiriana kukata moto ili watu wafanye sherehe...

RIP jasusi bobevu!

IMG-20230516-WA0007.jpg
 
Leo Benard Membe atapumzishwa nyumbani kwao Rondo

Ninamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha za kulipia Deni la manunuzi ya Viwanja vya BCIC Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu

Nitamkumbuka Membe kwa mchango wake pale TAG - Upanga CCC

Lakini pia nitamkumbuka Membe kwa mchango wake wa Fedha kea ajili ya Ukurabati wa Ukumbi wa mikutano pale St Albans Anglican Church Upanga

Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe

RIP Ben!
Benard Membe RIP, ni Mwanasiasa aliyetunza Unyeyekevu Wake kama Mboni ya jicho lake. Waumini wa Kanisa la UHAI Center Baptist, Soweto Mbeya watamkumbuka Benard Membe kwa mchango Mkubwa wa Fedha alizotoa Kukarabati Jengo la Kanisa na Ujenzi wa vyumba vya Madarasa ya shule ya Awali ya Kanisa.

RIP BM
 
Back
Top Bottom