Susy kafiwa na Dada yake leo asubuhi

Susy,
sisi sote tuu mali ya Mungu. Yeye ndie anaeamua afanye nini na sisis wakati gani na kwa sababu gani.
Kibinadam kifo ni kitu hsi sana lakini kiroho kifo n kitu chanya kwani hutupeleka karibu na muumba wetu.
Tumshukuru Mungu kwa yote, wala tusimlaum san tusijemkasirisha akatuadhibu.
Pole cc.
 
nawashukuru nyote kwa pamoja, nakushukuru da dena!!!

Ndio nafanya taratibu za kuondoka ofisini, na muda si mrefu nitaondoka!!!

Nasema tena asanteni kwa kunitia moyo!!

Sisi tulimpenda lakini mungu amependa zaidi!!! Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe!!!

pole sana dada susy. Mungu aiweke roho ya marehemu kwenye malazi mema, na ninakuombea wewe na wenzako mungu awape nguvu, subira na busara katika kipindi hiki kigumu. Kazi ya mungu haina makosa.
 
Pole sana Susy...Tunaweka dada kwenye maombi, apumzike kwa amani.
 
Pole sana da Suzy,
Wote yatupasa kukumbuka tupo kwenye kwenye foleni at time x tunaweza kumbwa na mauti.
i hope GOD gonna give you quick recovery from this tension.
 
Pole sana Susy

Yote ni mapenzi ya Mungu. Yeye alimpenda zaidi.
Mungu awape faraja katika kipindi hiki cha huzuni.

R.I.P dada Suzy
 
Poleni sana wafiwa, Mungu awape moyo wa uvumilivu na roho ya marehemu ipumzike kwa amani...AMINA
 
pole sn dada susy,mungu akupe nguvu na ujasiri,hayo ni mapito tu!Pole sn,tupo pamoja
 
Pole sana suzy,
roho ya marehemu ipumzike mahali pepa peponi amen.
 
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.

Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la

Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.

Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

DA
Asante Dena kwa taarifa.Pole sana Susy kwa msiba,Mungu atawapa nguvu.
 
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.

Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.

Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.

Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

DA

Pole sna dada Suzy.
 
Back
Top Bottom