Sura vs msambwanda unachagua kipi?

Sura vs msambwanda unachagua kipi?

d8613f6c7098f7f00ba8a117695299b4.jpg
Huyu ni kilema wa tako mkuu si umbo la kawaida hilo
 
Miss chaga njoo uku leo hatuna mtetezi.

Ila hawa wote wapenda chura kwa maneno nenda wake zao uone, kweli maneno hata kwenye khanga yapo.
Ila mnapata shida sana. Ndiyo maana hata ya kichina mnayatafuta. Vipi na wewe ni muathirika nini? Sababu ukiangalia comment zinaonyesha wao ni wakutumiwa ila ndani wanawekwa portable
 
Ketio=hukata kiu,lakini shughulini bora kuutupa.
 
Salama wadau humu ndani?

Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.

Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani.

Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.

Karibuni wadau
6eeac50419225259b3dba6c272f9f037.jpg
 
Hivyo vyote mbwembwe tu mwisho utaishia kwenye papuchi utaila utasepa sura na msambwanda utaviacha vilivyo
 
Sura, msambwanda vyote huishi navyo. Utaishi na tabia ya mtu. Ila km wa kupotezea muda basi hao wote wanafaa. Maana unaweza ukawa na huyo mwenye msambwanda lkn tabia zake ukachoka ww ukaishia ht kutoutamani
Pole sana kama hujatunukiwa chura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom