Sura vs msambwanda unachagua kipi?

Sura vs msambwanda unachagua kipi?

IMG-20161115-WA0003.jpeg
 
Chagua tabia(awe na sura au msambwanda) Msabwanda una hela,una moyo? Kama hajatulia jua ni siti ya daladala je hautajitundika?
alafu watu wa hivi badae ndio wana kuja kulia lia humu ndoa ngumu kumbe wakati wana oa walifata chura & msabwanda wakasahau kitu adimu TABIA
 
Sura, msambwanda vyote huishi navyo. Utaishi na tabia ya mtu. Ila km wa kupotezea muda basi hao wote wanafaa. Maana unaweza ukawa na huyo mwenye msambwanda lkn tabia zake ukachoka ww ukaishia ht kutoutamani
Haswaa kuchagua mtu wa kuish nae tumia busara plz usijaribu kabsa hivyo viwili may be hit and run. Tuwahurumie wazazi wetu hawapendi kuona tunakisa amani na ndoa zeti.
 
si kweli kwanza reception makalio hayana kitu maana hata wakati wa kigegeda sura ndo kivutio msambwanda wakati huo hauonekani ila sura unaiona
 
Msambwanda mjomba.. Sura Mimi Sina Kazi nayo... Huo Uwanja Wa uwani Ndio Ugonjwa Wangu mkubwaaaaa
 
si kweli kwanza reception makalio hayana kitu maana hata wakati wa kigegeda sura ndo kivutio msambwanda wakati huo hauonekani ila sura unaiona
Inategemea na aina ya ugegedaji unayoitumia
 
Asilimia tisini ya wanaume wanaopenda misambwanda hawana ela sababu akili zao aziwazi maendeleo zinawaza ngono
Kwa sababu ngono ni kitu natural kama sir god alivyoumba, pesa Ni matengenezo ya mwanadamu tu! Wewe Wa ajabu unanshangaa mwanaume anayependa ngono! Du! Basi mshangae na mtu anayekunywa maji basi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom