dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 770
- 1,075
Haaaa haaaa acha utani mkuuUkiwa na demu mwenye msambwanda ukae na akiba ya vidonge vya presha
Haaaa haaaa acha utani mkuuUkiwa na demu mwenye msambwanda ukae na akiba ya vidonge vya presha
nafikiri inawezekana umejaliwa sura bila msambwanda dada yangu, kula protein nyingi utaupata tu!Asilimia tisini ya wanaume wanaopenda misambwanda hawana ela sababu akili zao aziwazi maendeleo zinawaza ngono
[emoji1] [emoji1] [emoji1]hahahahahhahaha Behaviourist umeuaaa, ni kama sisi huwa tunasema hela tu sura tutavumiliaaa.
Wewe chura ipo jamani?hahahahahhahaha Behaviourist umeuaaa, ni kama sisi huwa tunasema hela tu sura tutavumiliaaa.
Ndo maana siyo mwanaume,sisi wanaume tunaelewa umuhimu wa msambwanda!Ningekuwa mwanamme ningechagua mwenye Sura nzuri na kibody flani hivi portable, msambwada tupa kule kero kwangu.
Duh mm nachagua vyotemsambwanda![]()
Na sisi tunaelewa kuwa ushindani ni mkubwa,kwahiyo siyo kosa lao ila demand yao no kubwa mnoo,tunajiandaa mapema,hivo vi modo siyo kwamba vimetulia ni kwamba tu havina soko,haleti attention akikatisha Mtaani!Ukiwa na demu mwenye msambwanda ukae na akiba ya vidonge vya presha
Behaviourist Unasemaje?muulize STUNTER
afadhali umuulize wewe huyu tabia zake zimenishindaBehaviourist Unasemaje?
Soma vzr mada umeambiwa chagua moja alaaaaaaahKama kuna uwezekano wa kupata mwenye vyote I will go for the un-mentioned 3rd option
Tafadhari shemeji kaa mbali na hisia za watu au jiwe limekupata?Asilimia tisini ya wanaume wanaopenda misambwanda hawana ela sababu akili zao aziwazi maendeleo zinawaza ngono
Kwani nguruwe a.k.a kitimoto analiwa na wote ?kaa kinyaMsabwanda noma sana aisee even if hautumiki ..
Mkuu nachagua msambwanda. ..Thread closed. !!
Sema huna hahahaha katalist ya kugegedana hiyoNingekuwa mwanamme ningechagua mwenye Sura nzuri na kibody flani hivi portable, msambwada tupa kule kero kwangu.
Hata Diamond mlimuona nzr kitambo, ila kwakua saa hizi ana vijisent mnamuona vile,.. Harmorapa Harmorapa nae uzuri wake utabadilika tu, na kesho mtaongeza like kwake... Acheni maneno...Msambwanda ndio wenyewe hata sura ikiwa nzuri kama Harmorapa