Sura vs msambwanda unachagua kipi?

Sura vs msambwanda unachagua kipi?

Sura, msambwanda vyote huishi navyo. Utaishi na tabia ya mtu. Ila km wa kupotezea muda basi hao wote wanafaa. Maana unaweza ukawa na huyo mwenye msambwanda lkn tabia zake ukachoka ww ukaishia ht kutoutamani
 
d8613f6c7098f7f00ba8a117695299b4.jpg
Hii picha nilidhani ime editiwa hadi siku nilipomwona live.
 
Ningekuwa mwanamme ningechagua mwenye Sura nzuri na kibody flani hivi portable, msambwada tupa kule kero kwangu.
Wa hivyo ndo wanaongoza kuingia kwenye ndoa misambwanda wengi michepuko au wanaolewa na wauza nyanya sokoni.
 
mbona ujaweka picha kusindikiza bandiko??
 
Asee.., Men cant get enough kabisa....

√√Ukipata Mwenye msamwanda Akili yake iko empty yeye kugawaa tu, ashajua anachoringia

√√Ukipata mwenye sura nzury, eeh.! sio type ako hana zile pozi utakazooo , always pretender, kulia , but akilia sura inakuwa mzury tuu, pia anakuwa yuko busy, tena ndo ukipata msomii

* gentlmn cant get enough in ladies kabisaa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom