Sumaye tells off investors

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
Where were you when those corrupt contracts were signed by your government?

Sumaye tells off investors

By Zephania Ubwani, Arusha
THE CITIZEN

Former long-serving Prime Minister Frederick Sumaye yesterday accused foreign investors of plundering the natural resources in Tanzania and elsewhere in Africa.

Mr Sumaye, who has been out of the limelight for nearly three years, since stepping down in late 2005, denounced what he termed as the gross exploitation of the continent's huge natural resources.

The ex-PM, who was one of the top aides of former President Benjamin Mkapa whose regime championed various controversial investment policies, especially in the mining industry and economic privatisation was addressing a two-day China-Africa conference in Arusha.

Mr Sumaye served for the entire 10-year tenure of former President Mkapa.

Yesterday, he also warned that Tanzania as well as Africa would remain poor and underdeveloped as long as they continued to export raw materials rather than the processed goods.

Mr Sumaye told the China-Africa Business Forum that although the continent has vast resources such as oil, minerals and timber, most of them were not being tapped for the benefit of the Africans.

Said he: African resources have been exploited not for the full benefit of African countries but for the benefit of the multi-nationals.

Mr Sumaye, who introduced himself as a retired politician, noted that not many people outside Africa believed that the continent could ever catch up with the rest of the world.

This is the first time the former PM, who was among top contenders for the ruling party�s presidential nomination for the 2005 General Election, has come out so forcefully on an issue of national importance.

He has in the past publicly admitted that he was not �aware of why Tanzania is very poor until I attended a special master�s degree programme at Harvard University�.

In an interview with our sister newspaper, the Sunday Citizen last September, Mr Sumaye defended the third phase government of President Mkapa, saying it had enabled Tanzania to record a stable economic growth.

Yesterday at the Arusha meeting, Mr Sumaye said that even with the vast natural resources, Africa's share of world trade remained 2.5 per cent, well below that of countries such as China.

The share of the Least Developed Countries (LDCs), the majority of which are in Africa was 0.5 per cent. Tanzania belongs to that category.

Mr Sumaye urged African countries to make sure they export only processed goods instead of raw materials, which fetch low prices in the world markets.

He also advised Africa firms to emulate their counterparts in China and the entrepreneurial skills of the Chinese, who had turned their country into the fourth world's strongest economy in a few years.

The former premier, who now resides in Coast Region, said it was a shame that raw tanzanite gemstones were being exported, denying the nation billions of shillings in revenue.

For instance, due to the exportation of uncut gems, Tanzania was earning only $100 million a year, while estimates show that if cut and polished locally before entering the world market, tanzanite alone could earn about $500 million.

Only cut and polished tanzanite gemstones could fetch the country good export returns, Mr Sumaye said.

He challenged the gemstone dealers and exporters to join hands and establish their own gemstone cutting and polishing facilities.

For it to work, the ex-premier said that processing export products would create jobs for the local people and add value to the products.

Mr Sumaye attended the forum from when it started on Monday and ended yesterday afternoon.

His presence attracted the attention of many people, as he has not been at many public functions since his return from post-graduate studies in the United States last year.

Many people, who knew him, were surprised to meet the former second most powerful man in the country in the corridors, rooms and halls of the executive lodge, and in most cases without an assistant.

Seated at the high table during the opening session by the Vice- President, Dr Ali Mohamed Shein, on Monday, Mr Sumaye was repeatedly introduced ahead of other dignitaries, including Cabinet ministers.

On the last day, he was invited to speak from his experience on investments in Africa and Tanzania, as the longest serving PM. He declined to speak to journalists.

He took the floor by making it clear that he was neither a businessman nor a serving leader but only as a retired politician, something which many local delegates found intriguing.

During his tenure, Mr Sumaye, like his boss former President Mkapa, strongly advocated for heavy foreign investment, especially in the lucrative mining sector.

According to the report on mining industry, which was released early this year, Tanzania lost nearly $2 billion or 40 per cent of its annual budget due to the controversial mining policy championed and implemented by the Mkapa and Sumaye administration.

China eyes Tanzania resources

Meanwhile, China yesterday announced that it may finance several multi-billion shillings projects in Lindi and Mtwara aimed at making the southern regions an important economic zone.

The projects, include exploitation of gypsum for cement production, setting up cement and fertiliser factories in the two regions and expansion of the Mtwara port.

China has also shown willingness to finance the exploitation of iron ore and coal at Mchuchuma and Liganga hills in Iringa region.

The minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkullo, said preliminary surveys on the projects would be undertaken in the next two months but could not reveal the cost.

Discussions on the projects would be finalised in Beijing in August, followed by an agreement, he told reporters at the end of the two- day forum.

The United Nations Development Programme, which supported the Forum that brought together nearly 500 delegates, will fund the preliminary studies of the earmarked projects.

The minister said Lindi and Mtwara projects were among matters agreed by the officials of the two countries from both the public and private sectors during the forum.

Plans include construction of two industrial plants to make cement and fertiliser in Lindi and Mtwara, respectively.

Lindi has vast reserves of gypsum, which is used to make cement. Natural gas currently being tapped for power production in the two regions will also be used for the manufacture of fertiliser.

Mr Mkullo said Chinese firms had also shown interest in supporting Tanzania in the exploitation of iron ore and coal in Ludewa district, Iringa region.

Implementation of the industrial projects would require upgrading and improvement of infrastructure, which would, among other things, see the expansion of Mtwara port.

The National Development Corporation has for many years unsuccessfully sought foreign investors to exploit iron ore and coal reserves.
 


Mr Sumaye served for the entire 10-year tenure of former President Mkapa.
[/color]

So for ten Years as the second most pwerful man in the country you had an opportunity to do something about this but not only did you do nothing you actually supported the pillaging of our resources


He has in the past publicly admitted that he was not �aware of why Tanzania is very poor until I attended a special master�s degree programme at Harvard University�.
[/color]

You had to take a special masters programme at Harvard to realise this.

GOD HELP US, THESE INCOMPETENT LEADERS OF OURS WILL FOREVER LEAVE US MIRED IN POVERTY :(
 
Huyu tunaweza kumsamehe kwa sababu alishatutangazia kwamba alikuwa hajui chochote hadi alipoenda kusoma Havard!!
 
So for ten Years as the second most pwerful man in the country you had an opportunity to do something about this but not only did you do nothing you actually supported the pillaging of our resources



You had to take a special masters programme at Harvard to realise this.

GOD HELP US, THESE INCOMPETENT LEADERS OF OURS WILL FOREVER LEAVE US MIRED IN POVERTY :(

Mr. Sumaye, i know you well well, Good if you will be reading Jambo forum; Do you remember that time when the parliament rafified a low not to export unprocessed gemstones? You are the one who responded by protecting the Indian/ thai business people of the business, and you went to advise the government how it will be a nuisance for those guys not to get our raw materials ! Do you remember where the meeting was? We are stupid Tanzanians
 
At least he has an audacity to admit his failure. Au na JK anasubiri 2015 aende special course Harvad, ndo ajue chanzo cha umaskini wa nchi yetu? Ila wakuu naamini JK anahitaji crash programme ya miezi mitatu au sita..otherwise kwa mwendo huu..hatufiki popote... Tatizo ni kwamba hata tukiwapa walikwishaenda huko....kama Chenge aliyesoma hiyo Harvard...... bado wanatuibia zaidi na zaidi! Jamani Africa we are screwed up! Big Time!
 
IO msamehe.........eti amegundua hilo baada ya kusoma Havard.............hahaaa...........sijui inabidi tuwapeleke viongozi wetu woote Havard ili waelewe kuwa waliyofanya na wanayofanya ni madudu?
 
............. Tatizo ni kwamba hata tukiwapa walikwishaenda huko....kama Chenge aliyesoma hiyo Harvard...... bado wanatuibia zaidi na zaidi! Jamani Africa we are screwed up! Big Time!

....yaani wee acha tu...........its high time..... to vote them out...........ili kuwaonyesha hawa watu kuwa we are tired..........na upuuzi wao
 
I do not see anything but opportunism and an unsatiable desire for the limelight, even for "retired" politicians.

As for investment, he is a bit late.While people are moving away from commodity dependent economies and towards "knowledge work" he is still advocating commodities, even after the so called Harvard degree.

Wamoja havai mbili kweli kweli, Harvard regardless.
 
To catch a thief u need a thief!

Kwani Sumaye DIDN'T plunder and pillage himself?

Huu ni unafiki wa hali ya juu!

For shame!

./Mwana wa Haki
 
Huyu naona anataka kutushawishi kuwa kweli katoka shule, anaonesha "application" ya aliyotoka kuyasoma Harvard! Lakini akumbuke mengi ya madudu waliyoyafanya na Mkapa kwa miaka 10 hayakuhitaji kuwa graduate wa Harvard kuyatambua, kwa hiyo asitake kujitoa humo. Pengine huyu alikuwa "zero" kweli kama wengi wanavyomkejeli, maana inaelekea wenzie walipokuwa wanakomba Kiwira, IPTL, Meremeta nk, yeye alikuwa anafurahia kukirimiwa nyama choma na bia tu, ni kama vile hakujua lolote! Kukosekana kwa Sumaye kwenye kashfa hizi sidhani kama ni uadilifu wa kutotaka ufisadi (ingekuwa hivyo angewafichua mapema), ni kwamba wenzie walimzidi ujanja tu! Hata yeye kujilimbikizia anapenda sana, si mnakumbuka mashamba ya Kibaigwa ambayo alifikia hata kuyakana? Ziro ni ziro tu!
 
Sumaye tells off investors

By Zephania Ubwani, Arusha
THE CITIZEN

Former long-serving Prime Minister Frederick Sumaye yesterday accused foreign investors of plundering the natural resources in Tanzania

Mr Sumaye urged African countries to make sure they export only processed goods instead of raw materials, which fetch low prices in the world markets.

... said it was a shame that raw tanzanite gemstones were being exported, denying the nation billions of shillings in revenue. Only cut and polished tanzanite gemstones could fetch the country good export returns, Mr Sumaye said.
Kadata huyu mtu jamani. Anamweleza nani sasa hayo? Na yeye si alikuwepo? Aibu ya nani? Hajasema hao wageni kosa lao nini.

He has in the past publicly admitted that he was not aware of why Tanzania is very poor until I attended a special masters degree programme at Harvard University.
Ina maana aliongoza nchi miaka kumi bila kuelewa tatizo la umaskini. Kwa hiyo haku qualify kuwa PM. Na kama ni kweli amezunguka nchi na dunia miaka 10 hakuelewa chanzo cha umaskini kuliko alivyo elezwa kwenye kozi ya mwaka mmoja na mtu ambae hajawahi kuuona umaskini huyu mtu ni Hasi. Zero ni sifa.

He declined to speak to journalists.

... last September, Mr Sumaye defended the third phase government...saying it had enabled Tanzania to record a stable economic growth.

During his tenure, Mr Sumaye, like his boss former President Mkapa, strongly advocated for heavy foreign investment, especially in the lucrative mining sector.

According to the report on mining industry, which was released early this year, Tanzania lost nearly $2 billion or 40 per cent of its annual budget due to the controversial mining policy championed and implemented by the Mkapa and Sumaye administration.

Hapo Citizen wamejitahidi sana. Once in a blue moon they get a story right!
 
Bora kukiri udhaifu kuliko kukaidi, watanzania wanaweza kumsamehe kwani yeye hakuwahi kuwakejeli watz
 
Bora kukiri udhaifu kuliko kukaidi, watanzania wanaweza kumsamehe kwani yeye hakuwahi kuwakejeli watz

Huwezi kujua, huyu pia alikuwa tajiri mkubwa katika kipindi kifupi sana, si ajabu naye alihusika katika kuifisadi Tanzania. Watakapoanza kutajana usishange na huyu naye kama jina lake litakuwemo.
 
Huyu tunaweza kumsamehe kwa sababu alishatutangazia kwamba alikuwa hajui chochote hadi alipoenda kusoma Havard!!

Hasamehewi mtu hapa, huyu ni bwana kilimo na alikuwa nayajua fika matatizo waliyo nayo wakulima. Lakini katika kipindi chake cha uwaziri mkuu ndio wizara ya kilimo iliwahi pata bajeti ndogo kuliko zote, itabidi ajue kama maharage ni mboga au la kwa kusema kwake 'ndio mzee'. Atawajibika tuu dawa iko jikoni asianze kujikosha hana mpya.
 
..at least ana make sense sasa kuliko alivyokuwa PM,hayo ya Tanzanite aliyosema ndiyo tunatakiwa kufanya,sasa wahusika wafanye kazi yao sasa kuliko kuendelea kupoteza hizo billions,lakini cha ajabu hakuna mtu alitake notice hapo na tutaendelea kupoteza for the next 50 yrs,hao Wachina itabidi kula nao deal zinazoeleweka sio zile za kutuachia 10% na mashimo huku tukiwapa tax holiday...wachina wanatuhitaji sisi kuliko tunavyowahitaji sasa,nimeamini kashule na exposure kidogo kanasaidia maana jamaa anongea utafikiri yupo in one of Washington think tank!
 
Bora kukiri udhaifu kuliko kukaidi, watanzania wanaweza kumsamehe kwani yeye hakuwahi kuwakejeli watz

Amekiri udhaifu wa awamu ya tatu kuuza malighafi badala ya finished products, kitu ambacho sasa hivi anakikosoa? Hiyo 'plundering' anayo iongelea si ilitokea wakati wake kama mwandishi alivyo andika. Amekiri hilo?

Halafu hilo la Sumaye kuto tukana watu halina mantiki. Huwezi kumsamehe mwizi wa Kuku kwa sababu jirani yake aliiba Mbuzi. Wote hawakutakiwa kutukana watu. Sumaye alitakiwa kufanya mambo fulani ambayo alishindwa. Ndio tuna m judge kwa hayo. Sio kwa jinsi mwingine alivyo tukana watu.
 
Amekiri udhaifu wa awamu ya tatu kuuza malighafi badala ya finished products, kitu ambacho sasa hivi anakikosoa? Hiyo 'plundering' anayo iongelea si ilitokea wakati wake kama mwandishi alivyo andika. Amekiri hilo?

Halafu hilo la Sumaye kuto tukana watu halina mantiki. Huwezi kumsamehe mwizi wa Kuku kwa sababu jirani yake aliiba Mbuzi. Wote hawakutakiwa kutukana watu. Sumaye alitakiwa kufanya mambo fulani ambayo alishindwa. Ndio tuna m judge kwa hayo. Sio kwa jinsi mwingine alivyo tukana watu.


This brother, this brother, this brother!

Kama kwenye mikutano ya NOI in the 60's pale Harlem nakuwa kama wale wapambe wa "brother Malcolm" pembeni wanasema "Make it plain"
 
Atchoooooo sneeze!!......Eeeh.....Papaaaa.....Aaatamu hapa!!
Mr Yebo anauliza atoke vipi?
Mzee wa Nyasi katulia, yeye hana pupa...
Katibu mwenye mzuzu sasa mkulima......
Che kajichimbia party kiutuzima....
Hakuna Kulalaaa, kwa Ngosha wa vijisenti.....
Bwana Mifugo anakuna mvi, anatunga seraaa.....
Jamani mi mmasai....nitokeee vipi??
Nikaee kimya kimya....au machale yatawacheza??

Ohh bwooy!
Mr. Me Too
 
This brother, this brother, this brother!

Kama kwenye mikutano ya NOI in the 60's pale Harlem nakuwa kama wale wapambe wa "brother Malcolm" pembeni wanasema "Make it plain"

Wale wapambe, kina Louis Farrakhan, baadae walikuja kumdedisha hero wangu. Kwa hiyo sitaki kufungamana na upande wowote hapa. Tafuta usawa!

Nakutania mjomba Pundit. Mkuu kumbe unanielewa? It is high privilege to be in the company of your thoughts! Japo kuna mengine nakupinga vikali. (Naomba ukipata muda pitia matundiko latest ya thread ya whether tubadilishe CCM na uozo mwingine.)

Pamoja na gender stereotyping unayo ifanya hapa. Unajuaje mimi ni 'this Brother'? Wanawake hatuwezi kusema kakitu sensible?
 
Back
Top Bottom