Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Sio kwa WAZANZIBARI na MAPINDUZI DAIMA.Note:-
TUGANGE YAJAYO....
Kwa kadiri ya kwamba Sultani Jamsheed Bin Abdallah anaendelea kujitambua kuwa ni Sultani wa Zanzibar na kwa kadiri ya kwamba uzao wake unakidai kiti hicho kama urithi wa haki yao; na kwa kadiri ya kwamba wapo Wazanzibari ambao wanamtambua Jamsheed kama Sultani wao na ya kwamba wako tayari kurejesha status quo ya 1963 (ambapo Sultani alikuwa ni mfalme wa heshima Kikatiba kama ilivyo Uingereza - japo tofauti kidogo) basi juhudi zote za maridhiano haziwezi kufanikiwa kwani Sultani na uzao wake watakuwa ni kama kivuli juu ya Zanzibar na watu wake.
Ili kuleta mapatano ya kweli (kama anavyosema Lula) basi hatima ya Sultani na uzao wake ni lazima ijadiliwe.
a. Je, ni jinsi gani Bw. Jamsheed anaweza kurudi Zanzibar bila ya kuwa na mamlaka ya Usultani yeye na uzao wake milele?
b. Je, Bw. Jamsheed anaweza kuwa na nafasi yoyote ya heshima katika Zanzibar ukiondoa ya kutambuliwa kama Sultani?
c. Je, akikubali kukana kiti cha Usultani, yeye mwenyewe, wanawe na wale wote walio katika mnyonyoro wa urithi milele anaweza kurudi Zanzibar na sehemu ya upatanishi ni kumrudishia baadhi ya mali zake zilizochukuliwa baada ya mapinduzi ya 1964?
d. Je, aweza kurudi pasipo kuwa na nafasi yoyote ya kisiasa na kukatazwa yeye mwenyewe na warithi wake kushiriki katika uongozi wa chama chochote cha siasa?
e. Je, Bw. Jamsheed katika kuleta mapatano yuko tayari kutambua na kukubali uwepo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Uzao wa Jamsheed (allexperts):
*Prince Sayyid Ali bin Jamshid Al-Said
*Prince Sayyid Khalifa bin Jamshid Al-Said
*Princess Sayyida Matuqa bint Jamshid Al-Said (1957-)
*Prince Sayyid Abdullah bin Jamshid Al-Said
*Prince Sayyid Wasfi bin Jamshid Al-Said (1972-)
*Princess Sayyida Adla bint Jamshid Al-Said
*Prince Sayyid Gharib bin Jamshid Al-Said
Ningependa CCM na CUF watoe misimamo yao kwa maswali yangu hayo.
Sio kwa WAZANZIBARI na MAPINDUZI DAIMA.
Mzee Mwanakijiji, haya mambo ya Sultan ni magumu, niliwahi pata mnong'ono Sultan Jamseed alimpa mimba mjakazi wa Kipemba, kwenye Kasri la kifalme, ili kufunika kombe, siri isivuje, yule mjakazi akaozeshwa kwa mtu, kwa ahadi atatunzwa maisha yake yote. Kwenye ndoa hiyo, kazaliwa mtoto wa kiume mwana Sultan JamsidKwa kadiri ya kwamba Sultani Jamsheed Bin Abdallah anaendelea kujitambua kuwa ni Sultani wa Zanzibar na kwa kadiri ya kwamba uzao wake unakidai kiti hicho kama urithi wa haki yao; na kwa kadiri ya kwamba wapo Wazanzibari ambao wanamtambua Jamsheed kama Sultani wao na ya kwamba wako tayari kurejesha status quo ya 1963 (ambapo Sultani alikuwa ni mfalme wa heshima Kikatiba kama ilivyo Uingereza - japo tofauti kidogo) basi juhudi zote za maridhiano haziwezi kufanikiwa kwani Sultani na uzao wake watakuwa ni kama kivuli juu ya Zanzibar na watu wake.
Ili kuleta mapatano ya kweli (kama anavyosema Lula) basi hatima ya Sultani na uzao wake ni lazima ijadiliwe.
Hiyo ni moja ya hoja iliyowasilishwa na CUF barazani, kwa hiyo kikatiba hata CUF akiingia madarakani hakuna nafasi ya Sultani.Baraza la wawakilishi linasisitiza kwamba serikali hiyo ya umoja wa kitaifa itakayoundwa itaendelea kuheshimu na kuthamini misingi mikuu ya mapinduzi ya tarehe 12.1.1964.
Kazi ipo mwaka huu.Inaelekea siasa za kisiwani zimejaa kina Leonard Da Vinchi kibao maana hapa hata sielewi kunaniMzee Mwanakijiji, haya mambo ya Sultan ni magumu, niliwahi pata mnong'ono Sultan Jamseed alimpa mimba mjakazi wa Kipemba, kwenye Kasri la kifalme, ili kufunika kombe, siri isivuje, yule mjakazi akaozeshwa kwa mtu, kwa ahadi atatunzwa maisha yake yote. Kwenye ndoa hiyo, kazaliwa mtoto wa kiume mwana Sultan Jamsid
Huyo mtoto mpaka sasa bado angalipo yupo hai, bukheri wa afya japo ni mtu mzima sasa, na bado anatunzwa na ukoo wa Kisultan, ili deal isishitukiwe, wafadhili wa ukoo huu wa Kisultani, wanafadhiliwa na Sultani wa Brunei ambaye ni nasaba na Jamsid. Kwa vile mtoto huyo mwenye damu ya Kisultan yupo, na ni siri, subirini baada ya kuanza serikali ya umoja wa kitaifa, siri zitaanza kufichuka.
Zanzibar kuna mambo, visa, na mikasa. Hii ni simulizi nyingine ya minong'ono. kuna ndugu wawili waligombea mkate, aliyewapa mkate, aliwapa kwa heshima ya baba yao, ndugu mmoja akapata, mwenzie akakosa, yule aliyekosa akasisitiza mkate mwingine ukitolewa, lazima sasa iwe zamu yake. Wajuzi wa mambo wakasema, haitapendeza huo mkate kile siku uonekane kama mnapokezana, wenyewe waweza fikiria ni kama usultani.
Huyu ndugu aliyekosa ameng'angania, lazima na yeye apate, kwani ndiye mwenye haki rasmi ya kupata ule mkate toka mwanzo, eti yeye ndiye mtoto halali wa wa yule baba, aliyepata kwanza, alikuwa ni wa kufikia, ila ni siri tuu!.Ni simulizi tuu. kama Alfu Lela U Lela, au siku Elfu na Moja.
Sio sultani tuu, wazanzibari wenyewe hawajakubali bado kuwepo kwa muungano.e. Je, Bw. Jamsheed katika kuleta mapatano yuko tayari kutambua na kukubali uwepo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Ndugu yangu haya ni maneno mazito. Tumejikita sana kupiga domo tunajisahau sisi ni kina nani. This life has a meaning and we cant know that meaning if we spend alot of our time on issues that don't add any value to us as individuals. Naogopa sana kuhisi hivyo, lakini mara nyingi wanasiasa wanatutumia kuhitimisha agenda zao za kupata madaraka, pengine bila kutoa msaada wowote kwetu baada ya kuyakwaa madaraka hayo. Hii ya Zanzibar hii haijakaa katika kutafuta mwelekeo mzuri tu wa siku za usoni, ila pia imebeba ajenda nzito ya baadhi ya watu kutaka kupata hayo madaraka kwa gharama yoyote ile. Ndiyo maana naona nguvu imeelekezwa kuufukia chini muungano ambao naona baadhi wanataka kusema ndiyo chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Zanzibar.Mimi sitaki kuamini hivyo maana yale mapinduzi yalikuja kwasababu kulikuwa na matatizo ya kisiasa. Je nayo yaliletw na muungano?Yap na sasa ni mapinduzi ya maendeleo Uungwana wa maneno na propaganda za ugozi hazifai kubezwa wakati wanakufa na njaa zanzibar. Biashara ya madawa kulevya imetapakaa zanzibar. Maadili ndio usiseme yameporomoka kabisa!!!!
Sio sultani tuu, wazanzibari wenyewe hawajakubali bado kuwepo kwa muungano.
Bora tuanze na hao walio ndani ya visiwa kwanza, halafu ndio tutizame kama muungano utakuwepo...then tumuulize na Sultani