Sultan Qaboos karibu Tanzania

Nilimwona Azam Tv akiyapinga mapinduzi matukufu yaliyomrejeshea heshma mwafrika,ni bahati mbaya utawala wa Dr Prof Col Kikwete umeachia wahuni kama Mohamed Said waiharibu historia yetu tukufu.

Hii topic atakuwa ameleta mzee Mohamed Said kwa mlango wa nyuma. Mzee MS anatamani sultanate of Oman ifike hadi Zanzibar na kila siku anayapinga mapinduzi matukufu yaliyoongozwa na Field Marshal John Okello
 
Source:
Fanack.com, m.foreignaffairs.com , theeconomist.com

1. Sultan Qaboos hawapi nafasi wananchi wake kuwa na sauti katika siasa. Wananchi wakiandamana kama miaka ya 2011 na 2013, anawakandamiza na kuwatia ndani.
Yeye pekee ndio anachagua wanasiasa na mawaziri kuendesha nchi.

2. Raia wengi waliotoka Zanzibar wanaoishi Oman hawana haki ya uraia wao. Wanaishi na viza kama wageni wengine japokuwa kwa kuwa wana uhusiano wa kidamu, ni rahisi kupata viza za kufanya kazi.

3. Chuo cha Kifalme cha Sandhurst ni Chuo kikuu Waingereza wanatumia kuwapa masomo ya kijeshi kwa "marafiki" zake, kwa manufaa yake.

Bila kusaidiwa na jeshi la Uiingereza, Sultan Qaboos asingeweza kumpindua baba yake mzazi wala kukaa madarakani mpaka leo. Mpaka miaka ya 1990, wanajeshi wa Kiingereza walikuwa kwenye madaraka ya juu katika jeshi lake. Na Mpaka leo wana kambi na vifaa vyao hapo.

4. Oman ni nchi tulivu na imeendelea vizuri. Lakini mafuta yanakwisha muda si mrefu na kizazi kipya kinaomba sauti kubwa zaidi kisiasa. Pia, ajira ni ndogo kwa vijana wao na ufisadi serikali upo japokuwa sio mkubwa kama wa kwetu.

Nategemea wananchi wao watabanwa kisiasa madamu Sultan yupo hai. Uiingereza na Marekani imewekeza sana katika sekta ya Mafuta na haitataka wananchi wa Oman kutaifisha au kuvuruga biashara yao ya mauzo ya vifaa vya kijeshi. Watakuwa tayari kupinga mapinduzi yoyote yatayoharibu biashara zao.

Hatuwezi kuongelea mada ya Sultan Qaboos bila ya kuzungumzia maswala ya siasa za nchi yake. Sio tu upendo wake ambao ni mkubwa na sifa zake za kuoongoza na kuijenga nchi vizuri.
 
sharti mojawapo la kuwa padri ni kuishi useja. Sasa kwanini sultan hajaoa tena na wakati mafundisho yanatutaka tuwe na wake wa4?
- Hilo la watoto siliongelei ni kudra za mwenyezi Mungu.

dah! Nashndwa kuelewa sasa km padri haoi sasa zle heshma anazihifadh wp?au anaasiwa?(khanithi)
 
Kweli mkuu, Hapa mtampa mke na watoto watazaliwa kwa walivyo pewa na mababu enzi zilee....Nasikia kila walipotaka kuondoka walikuwa wakizawadiwa vigori kem kem !! Au siyo?!!

mh! Kaka hlo halipo sasa hv,babu slaa kasubiri sana mafao yake ya uzeeni hatimaye uzalendo ukamshnda akaiba mke wa mtu anazini,aibu wallah
 
Nilimwona Azam Tv akiyapinga mapinduzi matukufu yaliyomrejeshea heshma mwafrika,ni bahati mbaya utawala wa Dr Prof Col Kikwete umeachia wahuni kama Mohamed Said waiharibu historia yetu tukufu.
Aisaee Ngongo, nilikuwa nakuheshimu kumbe buree!! etii matukufu !! ulipinduwa wewe? Mwaafrika anaheshima kabla kwa miaka mingi!! Hopeless nenda ukaone hali ya Mwaafirika huko!! Unanisikitisha,,,
 
Last edited by a moderator:
Tunamkaribisha Zinjibaar
with deep regret....... atalia sana kuona kisiwa kilivyo angamia!! Vijana Drugz zimewaangamiza,wagonjwa wamejazana Hospitali, Maji hufuatwa umbali wa kilomita 5 hadi 10 visimani,Umeme wakusuasua,mashamba ya karafu utata mtupu!! Basi mengi wamemwachia Muumba - mungu mwema!! wanshindw akutunza idadi ya watu laki nane!!
 
Hizo ndio faida za mapinduzi matukufu tunazojivunia
 
hayo mapinduzi matukufu kwa wamagharibi kwa 7bu iliwamaliza kbisa waislam na kuwaletea shda na matatizo mpaka leo hii,na km znz sio huu criminal union na criminal revolution ingekuwa mbli economically and religically,ila kw 7bu matatizo ni ye2 wanaadamu acha tuyakabili ndo hvyo yashapangwa
 
with deep regret....... atalia sana kuona kisiwa kilivyo angamia!! Vijana Drugz zimewaangamiza,wagonjwa wamejazana Hospitali, Maji hufuatwa umbali wa kilomita 5 hadi 10 visimani,Umeme wakusuasua,mashamba ya karafu utata mtupu!! Basi mengi wamemwachia Muumba - mungu mwema!! wanshindw akutunza idadi ya watu laki nane!!

alie kwani zbar yao? wewe vipi?
 
alie kwani zbar yao? wewe vipi?
Atalia kwa Utu, atalia kwa imani za kibinaadamu, Atalia kwa huzuni ya udhalilishaji, Atalia kwa huzuni ya wasiokuwa na hatia, Atalia kwa Uonevu na ukatili na chuki dhidi ya wananchi wanyonge !! Atalia kuona hadi leo shule za leo hali halisi mimi na wewe tunazijuwa na kushuhudia...... Let us be FAIR !!
 
Hizo ndio faida za mapinduzi matukufu tunazojivunia
Mwema mamu, japo mie sina elimu ya siasa kitu cha ajaabu... naona tangu hayo mafinduzi wanasiasa wa Kisiwani ni hao hao !! zaidi kabisa ni watoto wao hurithi wadhifa baada ya Viongozi wao kuangamia huko..!! sasa je huko kisiwani hakuna wananchi wengine wenye hadhi ? Hakuna Vijana imara ? Hakuna damu mpya kuhimili hatamu za uongozii? !! Inasikitisha sana....
 
Source:
Fanack.com, m.foreignaffairs.com , theeconomist.com

1. Sultan Qaboos hawapi nafasi wananchi wake kuwa na sauti katika siasa. Wananchi wakiandamana kama miaka ya 2011 na 2013, anawakandamiza na kuwatia ndani.
Yeye pekee ndio anachagua wanasiasa na mawaziri kuendesha nchi.

2. Raia wengi waliotoka Zanzibar wanaoishi Oman hawana haki ya uraia wao. Wanaishi na viza kama wageni wengine japokuwa kwa kuwa wana uhusiano wa kidamu, ni rahisi kupata viza za kufanya kazi.

3. Chuo cha Kifalme cha Sandhurst ni Chuo kikuu Waingereza wanatumia kuwapa masomo ya kijeshi kwa "marafiki" zake, kwa manufaa yake.

Bila kusaidiwa na jeshi la Uiingereza, Sultan Qaboos asingeweza kumpindua baba yake mzazi wala kukaa madarakani mpaka leo. Mpaka miaka ya 1990, wanajeshi wa Kiingereza walikuwa kwenye madaraka ya juu katika jeshi lake. Na Mpaka leo wana kambi na vifaa vyao hapo.

4. Oman ni nchi tulivu na imeendelea vizuri. Lakini mafuta yanakwisha muda si mrefu na kizazi kipya kinaomba sauti kubwa zaidi kisiasa. Pia, ajira ni ndogo kwa vijana wao na ufisadi serikali upo japokuwa sio mkubwa kama wa kwetu.

Nategemea wananchi wao watabanwa kisiasa madamu Sultan yupo hai. Uiingereza na Marekani imewekeza sana katika sekta ya Mafuta na haitataka wananchi wa Oman kutaifisha au kuvuruga biashara yao ya mauzo ya vifaa vya kijeshi. Watakuwa tayari kupinga mapinduzi yoyote yatayoharibu biashara zao.

Hatuwezi kuongelea mada ya Sultan Qaboos bila ya kuzungumzia maswala ya siasa za nchi yake. Sio tu upendo wake ambao ni mkubwa na sifa zake za kuoongoza

A pack of Lies lets ask Lukuvi, Makinda and Mbowe who had recently been there!!
 
Mwema mamu, japo mie sina elimu ya siasa kitu cha ajaabu... naona tangu hayo mafinduzi wanasiasa wa Kisiwani ni hao hao !! zaidi kabisa ni watoto wao hurithi wadhifa baada ya Viongozi wao kuangamia huko..!! sasa je huko kisiwani hakuna wananchi wengine wenye hadhi ? Hakuna Vijana imara ? Hakuna damu mpya kuhimili hatamu za uongozii? !! Inasikitisha sana....

Si ndio waliopindua? wao wanamapinduzi ndio wanaona wana haki ya kuiongoza znz na ndio maana wananadi kila siku "mapinduzi daima".Sisi wanyonge tupo tunaangalia Allah atakapotupeleka
 
Miss ... Hakuna Mnyonge Mwenyeezzi Mungu yupo na nyie !! Na bora zaidi kwake Mmetukuka ! Ndiyo Maana Dhiki imewajaa, Na shakawi haziishi !! Hata Presha zinaumbuwa!! Ukiona wanavyo kandamizwa na wakubwa wao wa JMT !! duuh utajionea ya ajaabu !! InshaAllah faraja karibu na Muungano udumu !! "!!!""
 
Back
Top Bottom