Sultan Qaboos karibu Tanzania

Sultan Qaboos karibu Tanzania

Halafu huyu Mfalme hakubahatika kupata mtoto. Allah amjaalie rehma zake maana huu nao ni mtihani mkubwa sana hasa kwa mtu wa nafasi kama yake.
 
hakuna cha kujivunia hapo. Oman licha ya kwamba ina mafuta siyo tajiri kivile na hata wao wanategemea western countries in term of technology. sasa huo uwekezaji kwenye gas utawezekanaje? nachoona ni kwamba wamekuja kama watalii kwa ticket ya kidiplomasia na si vinginevyo. harafu Rais naye anasema eti sisi ni ndugu, kweli? WTF...Hakuna undugu wowote wa mwarabu na mswahili...and that's the bottom line! inakera na inaudhi..
tatizo mmelelewa kuchukia waarabu na imani yao,badilika,walioasisi na kuendeleza hayo aidha wameoza mavumbini au wako taabani kwa kuchapwa na muda kiasi wakijitazama kwenye kioo wanaogopa kwa makunyanzi ya nyuso zao
 
Sasa hupendi RAISI akasema "sisi ni ndugu?? Angelikuwa mzungu hapo ungesemaje?? Mbona 2nakuwa wabaguzi ivyo!!!
 
Kumbe huna habari ndugu hao warabu ni ndugu zenu wote wana uchotara na nyie ndio maana wanakuwa ndugi zenu na asilimia 95 wanaongea kiswahili
 
Hahaha...ndugu niwie radhi haikuwa kusudio langu kucheka bali nimeshitushwa na point yako kuwa "kwa kuwa ni machotara na wanaongea kiswahili, basi ni ndugu zetu"! hakika inashangaza! Nchi ya Oman iko bara la Asia ndani ya southeastern coast of the Arabian peninsula. Haiko Africa na wala siyo mwanachama wa Afrika. Ni nchi ya waarabu by default na siyo waswahili(blacks)! sasa huo undugu unatoka wapi? haina haja ya kulazimisha undugu. Mfano rahisi, waulize wabongo walioko Muscat-Oman kama nao wanaheshimika na kuitwa ndugu? Amkeni...
 
Sasa hupendi RAISI akasema "sisi ni ndugu?? Angelikuwa mzungu hapo ungesemaje?? Mbona 2nakuwa wabaguzi ivyo!!!
Mkuu, hao ni waarabu/Arabs na sisi ni waafrika/blacks. Ratio ya kuwa ndugu ni (1/billion). bora Rais angesema kuwa ni Rafiki zetu due to long history and diplomatic ties kati yetu na wao. mkuu, i have nothing against whoever..ila ni ajabu kuwachukulia Oman kama big deal kwetu na kuona tumepata wakombozi/wawekezaji kama mkuu wenu wa nchi alivyokuwa anajitapa. sometimes nashindwa kuelewa akili ya waafrika wenzangu...
 
tatizo mmelelewa kuchukia waarabu na imani yao,badilika,walioasisi na kuendeleza hayo aidha wameoza mavumbini au wako taabani kwa kuchapwa na muda kiasi wakijitazama kwenye kioo wanaogopa kwa makunyanzi ya nyuso zao
mkuu, wapi nimetaja Imani ya mtu hapa? nili-focus kwenye mambo makuu matatu nayo ni:-
  1. kuwa Oman hana technological capacity ya kuwekeza kwenye gas na hakuna precedence yoyote inayo-prove hivyo. ndo maana naye anategemea nchi za magharibi in term of technology.
  2. kuwa sisi na Oman siyo ndugu na hatujawahi kuwa ndugu. wao ni Arabs na sisi ni African na tuko mabara tofauti na hata tamaduni zetu haziendani. sasa undugu wetu uko wapi?
  3. kuwa Rais ni Rimbukeni na hayawani wa kiwango cha standard gauge kwa kuona ana undugu na mwarabu wa Oman...
 
Mbona povu babaaa!?? Utakufa ujue.
By the way kuna mawaziri humo ni wazenji.
Na siku Zanzibar ikiruhusiwa kujitegemea ndani ya miaka mitano hata vumbi lao hatutoliona.
wabongo mna matatizo. kila mtu ni ndugu yenu? hata mwarabu?
 
Hii ndio " negative thinking" - kuna watu wameumbwa kutukatana tu; vichwa vyao full of chuki na akili isoyofikiria positive,
Mkuu, issue siyo negative thinking! hell No! issue ni akili mgando za baadhi ya watu wanaotaka kutuaminisha kuwa ujumbe kutoka Oman umeleta baraka Tanzania na Commander in chief anaamini hivyo. kweli nchi imejaa wajinga. hivi ni wapi nchi ya Oman imewekeza kwenye Gas nje ya mipaka yake. Remember, mafuta yanayochimbwa Oman ni technology ya Mzungu na si vinginevyo!
 
Hahaha...ndugu niwie radhi haikuwa kusudio langu kucheka bali nimeshitushwa na point yako kuwa "kwa kuwa ni machotara na wanaongea kiswahili, basi ni ndugu zetu"! hakika inashangaza! Nchi ya Oman iko bara la Asia ndani ya southeastern coast of the Arabian peninsula. Haiko Africa na wala siyo mwanachama wa Afrika. Ni nchi ya waarabu by default na siyo waswahili(blacks)! sasa huo undugu unatoka wapi? haina haja ya kulazimisha undugu. Mfano rahisi, waulize wabongo walioko Muscat-Oman kama nao wanaheshimika na kuitwa ndugu? Amkeni...
Soma historia ya oman nailianza kujengwa lini na watu wake walitoka wapi. Utapata jibu, unapoongelea ubaguzi huo uko dunia nzima hata hapo tz pia upo hiyo ni kati ya mtu na mtu nothing to do na hao machotara wa kiarabu ukienda nchi kama oman warabu asili ni wakutafuta wengine wote ni machotara wa kiafrika kama sio mama ni baba kama sio baba ni babu alikuwa mwafrika ninavyo hisi ww hujawahi kusafiri na kwenda nchi zingine tembea au soma au google utajua kila kitu binafsi nimepita sana hizo nchi na wala sihitaji kuongea kiarabu wala kizungu aslimia kubwa wanaongea kiswahili
 
MFALME "Qaboos" Kumwaga Baraka TANZANIA

Oman's economy is perilously reliant on oil and gas extraction, even though its reserves are only the 24th largest in the world. Fossil fuels account for more than 95% of Oman's exports. The country also produces small amounts of manufactured goods and agricultural products for export - primarily dates, limes, vegetables, and grain - but the desert country imports much more food than it exports.
 
Soma historia ya oman nailianza kujengwa lini na watu wake walitoka wapi. Utapata jibu, unapoongelea ubaguzi huo uko dunia nzima hata hapo tz pia upo hiyo ni kati ya mtu na mtu nothing to do na hao machotara wa kiarabu ukienda nchi kama oman warabu asili ni wakutafuta wengine wote ni machotara wa kiafrika kama sio mama ni baba kama sio baba ni babu alikuwa mwafrika ninavyo hisi ww hujawahi kusafiri na kwenda nchi zingine tembea au soma au google utajua kila kitu binafsi nimepita sana hizo nchi na wala sihitaji kuongea kiarabu wala kizungu aslimia kubwa wanaongea kiswahili
Sawa mkuu, nimekusoma! swali la msingi kwa nini mnalazimisha wawe ndugu badala ya kuwaita Marafiki zetu? hapo kwenye red...unaweza kuwa sahihi though Dunia hii nimeizunguka except nchi za Kiarabu
 
Mbona povu babaaa!?? Utakufa ujue.
By the way kuna mawaziri humo ni wazenji.
Na siku Zanzibar ikiruhusiwa kujitegemea ndani ya miaka mitano hata vumbi lao hatutoliona.
Hizo no ndoto za mchana mchana zenji hata ikijitenga haitaweza kuwa na uchumi Mkubwa Kama unavyofikilia wewe
 
mkuu, wapi nimetaja Imani ya mtu hapa? nili-focus kwenye mambo makuu matatu nayo ni:-
  1. kuwa Oman hana technological capacity ya kuwekeza kwenye gas na hakuna precedence yoyote inayo-prove hivyo. ndo maana naye anategemea nchi za magharibi in term of technology.
  2. kuwa sisi na Oman siyo ndugu na hatujawahi kuwa ndugu. wao ni Arabs na sisi ni African na tuko mabara tofauti na hata tamaduni zetu haziendani. sasa undugu wetu uko wapi?
  3. kuwa Rais ni Rimbukeni na hayawani wa kiwango cha standard gauge kwa kuona ana undugu na mwarabu wa Oman...
hao wenye teknolojia wamewasaidia nini zaidi ya kuwa na madeni yasiyolipika!!?
 
Mbona povu babaaa!?? Utakufa ujue.
By the way kuna mawaziri humo ni wazenji.
Na siku Zanzibar ikiruhusiwa kujitegemea ndani ya miaka mitano hata vumbi lao hatutoliona.
vumbi hatutaliona kwa maslahi yepi
 
hakuna cha kujivunia hapo. Oman licha ya kwamba ina mafuta siyo tajiri kivile na hata wao wanategemea western countries in term of technology. sasa huo uwekezaji kwenye gas utawezekanaje? nachoona ni kwamba wamekuja kama watalii kwa ticket ya kidiplomasia na si vinginevyo. harafu Rais naye anasema eti sisi ni ndugu, kweli? WTF...Hakuna undugu wowote wa mwarabu na mswahili...and that's the bottom line! inakera na inaudhi..
Kwani wamekwambia wanataka undugu na wewe?Ndugu zao ni wazanzibar ambao nao ni watanzania.
 
Back
Top Bottom