Sultan Qaboos karibu Tanzania

Sultan Qaboos karibu Tanzania

sultan hana mke wala mtoto??

Mkuu ukiskia tuu kuna mwanaume hana mke basi lazima takoo ulitingishe kama kwenye avatar yako... mchezo wa kuingiliwa nyuma umekuharibu bwana paroko
 
Kwenye mapinduzi ya Znz mlimfukuza sultani, leo hii mnamwomba aje tena, pumbaf kabisa!!!!
 
Hivi Dola ya Oman makao yake makuu yalikua Zanzibar ?
Nina maanisha Makao ya sultani wa oman yalikua Zanzibar?
 
Qaboos bin Said Al Said alizaliwa tarehe 18 Novemba mwaka 1940 katika mji wa Salala ulio kusini mwa Oman.Ndiye mtoto pekee wa Sultan Said bin Taimur.Mama yake ni malkia Mazoon al-Mashani.

Elimu ya msingi aliipata mjini Salala na baadae Pune nchini India.Alipofika miaka 16 alipelekwa kwa masomo ya juu nchini Uiengereza.Alipofika miaka 20 aliingia kwenye kikosi cha kijeshi cha kifalme kinachoitwa sandhurst. Baada ya kufaulu mafunzo katika chuo hicho alijiunga na jeshi la kiiengereza na kupangiwa shughuli za kijeshi kwenye bataliani ya 1 nchini Ujerumani ambako alikaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na hata kushika nafasi za unadhimu kwenye jeshi hilo la kiiengereza.

Sultan Qaboos baadae aliacha shughuli za kijeshi na  akaanza kuchukua mafunzo ya namna ya kuendesha serikali za kiraia.Baada ya hapo alifanya ziara ndefu ya kuizunguka dunia kabla kurudi nyumbani kwao  Salalah.Alipofika Salala aliisoma dini yake ya kiislamu na historia ya nchi yake ya Oman.

Mwaka 1976 mfalme Qaboos alimuoa bint Ami yake, bi Kamila,nee sayyida Nawwal bint Tariq.Hata hivyo ndoa hiyo haikudumu na tangu aachane na mkewe huyo hajaoa tena na wala hana mtoto.

Mnamo mwezi Julai mwaka 1970 kikosi cha jeshi kilichomuunga mkono Qaboos kilipambana na kikosi cha jeshi cha mfame Said bin Taimur  na kufanikiwa kumpindua baba yake huyo.Serikali ya Uiengereza ilisaidia kuimarisha utawala wa mfalme Qaboos baada ya mapinduzi hayo.

Tangu mfalme Qaboos atawale Oman amefanikiwa kubadili hali za kiuchumi za raia wake na kuleta maendeleo makubwa nchini humo.

Ukoo wa mfalme Qaboos wa Abusaidy ndio uliokuwa na mahusiano makubwa na ukanda wote wa pwani ya mashariki ya Afrika na hata kuwa na utawala wa pamoja ambapo ulijenga makao makuu ya utawala wake nchini Zanzibar ambayo sasa ni nchi ndugu waTanganyika ambazo kwa pamoja zinaunda jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kwa zaidi ya karne moja raia wa ufalme huo waliweza kupenya kibiashara na kusambaa kote mashariki na kati ya Afrika.

Kutokana na ukweli huo wa kihistoria na mafungamano kati ya Oman na Tanzania zipo kila sababu kwa mfalme Qaboos bin Said kuja kutembelea Tanzania akianzia Zanzibar.

Kutokana na mapenzi makubwa ya wengi wetu kwake siku atakapofika tutajitokeza kwa wingi kwenye mitaa ya Shangani mjini Zanzibar au Kariakoo jijini Dar es salaam kujipanga barabarani kumpokea na kusalimiana nae.

Moja ya maeneo ambayo yanaweza kuwa kivutio na mapumziko ya sultan huyo wa Oman ni mbuga za wanyama za Serengeti,Loliondo na Ngorongoro. Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wapenzi wa utawala wa Sultanate of Oman nachukua fursa hii kumkaribisha his majesty Sultan Qaboos bin Said aje kuitembelea Tanzania.

Bado tu unaham na hao masultan waliowauza babu zako kama bidhaa?:what:
 
Hakuna UTUMWA mkubwa kama UTUMWA wa FIKRA!!!

Yaani babu zenu wamepigana kufa na kupona ili kuuondoa hao wadhalilishaji wa utu,wabakaji wa mama na Dada zenu,wezi wa maliasili zenu,wavamizi kwenye ardhi yenu,wauaji wa mababu zenu Leo hii bila aibu mnahamasishana kwenda kuwapokea wafalme wao!!!!!!?

Hivi kizazi hiki kina matatizo gani?Ni hii hulka ya kupenda "vya bure" au ni ile dhana ya utumwa inatutafuna?

NIMECHOKA!!!!!
 
Source:
Fanack.com, m.foreignaffairs.com , theeconomist.com

1. Sultan Qaboos hawapi nafasi wananchi wake kuwa na sauti katika siasa. Wananchi wakiandamana kama miaka ya 2011 na 2013, anawakandamiza na kuwatia ndani.
Yeye pekee ndio anachagua wanasiasa na mawaziri kuendesha nchi.

2. Raia wengi waliotoka Zanzibar wanaoishi Oman hawana haki ya uraia wao. Wanaishi na viza kama wageni wengine japokuwa kwa kuwa wana uhusiano wa kidamu, ni rahisi kupata viza za kufanya kazi.

3. Chuo cha Kifalme cha Sandhurst ni Chuo kikuu Waingereza wanatumia kuwapa masomo ya kijeshi kwa "marafiki" zake, kwa manufaa yake.

Bila kusaidiwa na jeshi la Uiingereza, Sultan Qaboos asingeweza kumpindua baba yake mzazi wala kukaa madarakani mpaka leo. Mpaka miaka ya 1990, wanajeshi wa Kiingereza walikuwa kwenye madaraka ya juu katika jeshi lake. Na Mpaka leo wana kambi na vifaa vyao hapo.

4. Oman ni nchi tulivu na imeendelea vizuri. Lakini mafuta yanakwisha muda si mrefu na kizazi kipya kinaomba sauti kubwa zaidi kisiasa. Pia, ajira ni ndogo kwa vijana wao na ufisadi serikali upo japokuwa sio mkubwa kama wa kwetu.

Nategemea wananchi wao watabanwa kisiasa madamu Sultan yupo hai. Uiingereza na Marekani imewekeza sana katika sekta ya Mafuta na haitataka wananchi wa Oman kutaifisha au kuvuruga biashara yao ya mauzo ya vifaa vya kijeshi. Watakuwa tayari kupinga mapinduzi yoyote yatayoharibu biashara zao.

Hatuwezi kuongelea mada ya Sultan Qaboos bila ya kuzungumzia maswala ya siasa za nchi yake. Sio tu upendo wake ambao ni mkubwa na sifa zake za kuoongoza

A pack of Lies lets ask Lukuvi, Makinda and Mbowe who had recently been there!!

Mkuu, What did I lie?
If I follow your logic, I can say so and so said North Korea has great leadership and democracy is flourishing there because they have been there and said so!

That's not a very intelligent way to refute a statement you disagree with.

Sultan Qaboos is an absolute monarch just like King Abdullah of Jordan or King Mswati of Swaziland. If Oman has free elections and elected government kindly link your source to refute me.

I don't have to wait to ask anyone to tell me Oman has no freely elected government. I am intelligent enough to read and have travelled widely in that region and beyond. This is not 1960's anymore.

I stand to be corrected.
 
Unrest has reached Oman, the usually “sedate” and “tranquil” Sultanate on the southeastern corner of the Arabian Peninsula. Inspired by uprisings in Tunisia, Egypt, Libya and Bahrain, Omani youth took to the streets to challenge government corruption, cronyism, unemployment and a lack of democracy. Protests spread across the desert country, with police firing bullets and teargas from helicopters, killing at least six demonstrators. Sultan Qaboos exercises absolute power over his kingdom, as he has for forty years since he deposed his father.

Political parties are banned, as is collective bargaining. Omani subjects can’t hold a public meeting without the government’s approval, or express criticism of the sultan in any form or medium. Publication of books is limited and the government restricts their importation and distribution.

This all adds up to a profitable business environment for Shell. The company was the first to drill in Oman in 1956 and exported its initial tanker load of 543,000 barrels of crude in 1967, only three years before Qaboos ibn Said overthrew his father Said ibn Taimur.

Today, Shell still dominates the oil scene in the sultanate. Although other companies including BP are extracting gas, 80% of Omani crude is extracted by PDO – Petroleum Development Oman. Royal Dutch Shell is the primary foreign shareholderin this joint venture, controlling a 34% stake alongside the government’s 60% holding. Shell staff fill key positions, including Managing Director Raoul Restucci and Exploration Director Martin Stäuble. The company takes around 200,000 barrels of crude per day – 5% of its global production – from a relatively risk free and highly profitably operation. Shell also played a key role in establishing, constructing and running Oman’s two LNG (liquefied natural gas) plants – Oman LNG and Qalhat LNG – near the coastal town of Sur that has seen repeated demonstrations.

Having worked closely with Sultan Qaboos’ regime for the past forty years, Shell has developed an ongoing symbiotic relationship with the despot. John Malcolm, the Managing Director of PDO and Shell most senior representative in the country until 2010, demonstrated his allegiance to the crown in an obsequious introduction to the company’s 2007annual report:
“I would like to give special thanks to Your Majesty for your unflagging support and wise guidance to PDO over the years. Looking forward, our challenge as a Company is to work hand-in-hand with Your Majesty’s Government to secure our capability to produce oil and gas for the next 40 years. […]

As we move towards an ever more complex and challenging future, we know that we can count on Your Majesty’s continuing support and guidance. For our part, we reaffirm our commitment to securing the future of the Sultanate of Oman under the wise leadership of Your Majesty.”

Shell’s close partnership with the Omani government is part and parcel of Britain’s foreign energy policy towards the region. The Sultan long always been an anglophile, having attended school in Kent, trained as a British officer at Sandhurst and served in the British Army in Germany in 1960. Today, sports pavilions bear his name at both Sandhurst and the RAF officers’ college, Cranwell. But the military relationship went much deeper than educating a young Qaboos.

Back in 2001, Ken Silverstein described in Salon how “the British have played an extraordinary role in Oman ever since the coup. For more than a decade afterward, British officers commanded all branches of Oman’s armed forces and hundreds more were “on loan” to the sultanate. No one was more influential in Oman than Timothy Landon, an officer in the British Special Air Services who was a classmate of the sultan’s at Sandhurst, the British military academy. He counseled the sultan on the coup, helped put down a leftist insurrection soon afterward, and later served as the rough equivalent of Oman’s national security adviser.”

This military support is not a thing of the past. The foreign office boasts in an article titled “The UK & Oman: our relationship”, that “The UK has a very strong defence and security relationship with Oman. Nearly 100 British military personnel are on loan to the Omani Armed Forces – the second largest such group anywhere in the world.”

Such military support is integrated with British government efforts to boost the interests of “our companies”. Only last Saturday, as protests were beginning to sweep the country, Lord Stephen Green, UK trade and investment minister,accompanied a a high-profile British business delegation including oil corporation representatives to Muscat.

What do Omanis really think of the Sultan? Media reports claim that most of Qaboos’ subjects only have praise for the Sultan, reserving criticism for his ministers.

Source: platformlondon.org
 
Nilimwona Azam Tv akiyapinga mapinduzi matukufu yaliyomrejeshea heshma mwafrika,ni bahati mbaya utawala wa Dr Prof Col Kikwete umeachia wahuni kama Mohamed Said waiharibu historia yetu tukufu.

We kweli Kiazi,,,kaandika Nyerere mwenyewe akiwa hai afu unasema Kikwete amemuachia.
 
Qaboos bin Said Al Said alizaliwa tarehe 18 Novemba mwaka 1940 katika mji wa Salala ulio kusini mwa Oman.Ndiye mtoto pekee wa Sultan Said bin Taimur.Mama yake ni malkia Mazoon al-Mashani.

Elimu ya msingi aliipata mjini Salala na baadae Pune nchini India.Alipofika miaka 16 alipelekwa kwa masomo ya juu nchini Uiengereza.Alipofika miaka 20 aliingia kwenye kikosi cha kijeshi cha kifalme kinachoitwa sandhurst. Baada ya kufaulu mafunzo katika chuo hicho alijiunga na jeshi la kiiengereza na kupangiwa shughuli za kijeshi kwenye bataliani ya 1 nchini Ujerumani ambako alikaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na hata kushika nafasi za unadhimu kwenye jeshi hilo la kiiengereza.

Sultan Qaboos baadae aliacha shughuli za kijeshi na  akaanza kuchukua mafunzo ya namna ya kuendesha serikali za kiraia.Baada ya hapo alifanya ziara ndefu ya kuizunguka dunia kabla kurudi nyumbani kwao  Salalah.Alipofika Salala aliisoma dini yake ya kiislamu na historia ya nchi yake ya Oman.

Mwaka 1976 mfalme Qaboos alimuoa bint Ami yake, bi Kamila,nee sayyida Nawwal bint Tariq.Hata hivyo ndoa hiyo haikudumu na tangu aachane na mkewe huyo hajaoa tena na wala hana mtoto.

Mnamo mwezi Julai mwaka 1970 kikosi cha jeshi kilichomuunga mkono Qaboos kilipambana na kikosi cha jeshi cha mfame Said bin Taimur  na kufanikiwa kumpindua baba yake huyo.Serikali ya Uiengereza ilisaidia kuimarisha utawala wa mfalme Qaboos baada ya mapinduzi hayo.

Tangu mfalme Qaboos atawale Oman amefanikiwa kubadili hali za kiuchumi za raia wake na kuleta maendeleo makubwa nchini humo.

Ukoo wa mfalme Qaboos wa Abusaidy ndio uliokuwa na mahusiano makubwa na ukanda wote wa pwani ya mashariki ya Afrika na hata kuwa na utawala wa pamoja ambapo ulijenga makao makuu ya utawala wake nchini Zanzibar ambayo sasa ni nchi ndugu waTanganyika ambazo kwa pamoja zinaunda jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kwa zaidi ya karne moja raia wa ufalme huo waliweza kupenya kibiashara na kusambaa kote mashariki na kati ya Afrika.

Kutokana na ukweli huo wa kihistoria na mafungamano kati ya Oman na Tanzania zipo kila sababu kwa mfalme Qaboos bin Said kuja kutembelea Tanzania akianzia Zanzibar.

Kutokana na mapenzi makubwa ya wengi wetu kwake siku atakapofika tutajitokeza kwa wingi kwenye mitaa ya Shangani mjini Zanzibar au Kariakoo jijini Dar es salaam kujipanga barabarani kumpokea na kusalimiana nae.

Moja ya maeneo ambayo yanaweza kuwa kivutio na mapumziko ya sultan huyo wa Oman ni mbuga za wanyama za Serengeti,Loliondo na Ngorongoro. Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wapenzi wa utawala wa Sultanate of Oman nachukua fursa hii kumkaribisha his majesty Sultan Qaboos bin Said aje kuitembelea Tanzania.
Dahh.. naisikitikia nchi yangu Tanganyika..inaniuma sana..sasa nauliza nae anakuja kupewa kitalu huko loliondo?mana Mh. Pinda alikuwa huko siku si nyingi.
 
Mkuu ukiskia tuu kuna mwanaume hana mke basi lazima takoo ulitingishe kama kwenye avatar yako... mchezo wa kuingiliwa nyuma umekuharibu bwana paroko

mkuu sultan hana ashk majnun?
 
hakuna cha kujivunia hapo. Oman licha ya kwamba ina mafuta siyo tajiri kivile na hata wao wanategemea western countries in term of technology. sasa huo uwekezaji kwenye gas utawezekanaje? nachoona ni kwamba wamekuja kama watalii kwa ticket ya kidiplomasia na si vinginevyo. harafu Rais naye anasema eti sisi ni ndugu, kweli? WTF...Hakuna undugu wowote wa mwarabu na mswahili...and that's the bottom line! inakera na inaudhi..
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hii ndio " negative thinking" - kuna watu wameumbwa kutukatana tu; vichwa vyao full of chuki na akili isoyofikiria positive,
 
hakuna cha kujivunia hapo. Oman licha ya kwamba ina mafuta siyo tajiri kivile na hata wao wanategemea western countries in term of technology. sasa huo uwekezaji kwenye gas utawezekanaje? nachoona ni kwamba wamekuja kama watalii kwa ticket ya kidiplomasia na si vinginevyo. harafu Rais naye anasema eti sisi ni ndugu, kweli? WTF...Hakuna undugu wowote wa mwarabu na mswahili...and that's the bottom line! inakera na inaudhi..
Mbona povu babaaa!?? Utakufa ujue.
By the way kuna mawaziri humo ni wazenji.
Na siku Zanzibar ikiruhusiwa kujitegemea ndani ya miaka mitano hata vumbi lao hatutoliona.
 
Mbona povu babaaa!?? Utakufa ujue.
By the way kuna mawaziri humo ni wazenji.
Na siku Zanzibar ikiruhusiwa kujitegemea ndani ya miaka mitano hata vumbi lao hatutoliona.
Yaani Oman wanaweza kufanya Zanzibar vumbi lake lipotee? Mimi napafahamu vema Oman mbona vumbi lao bado wana safari ndefu sana ya kulipoteza? Au watatoa kipaumbele Kwa Vumbi la Zanzibar?
 
Yaani Oman wanaweza kufanya Zanzibar vumbi lake lipotee? Mimi napafahamu vema Oman mbona vumbi lao bado wana safari ndefu sana ya kulipoteza? Au watatoa kipaumbele Kwa Vumbi la Zanzibar?

Kuna watu humu specialists wa "ujinga" na kutukana watu tu". Ikiwa enzi za Mitume; watu kama hao walishindanikika wakabakia mababu wa "Jahlia". Tunataka specialist wa kufanya matokeo; sio specialist wa midomo iliyojaa matusi. We are in 22nd century not in 19th
 
By the way; Ujuzi wa kazi unakuja kwa kupata experience na kutokana na experience unajifunza solutions na makosa. Ndo maana rais Magufuli msomi na mtu mwenye akili anayetaka kuiendeleza nchi mbele analijua hilo. Technology kuna aina mbili zingine unazifanyia reseach unazicopy right na unadevelop na zingine unatransfer technology na zote zipo.
 
Back
Top Bottom