ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Mi nawashangaa sana mnaomtetea sugu katika hili ukweli unajulikana kinana mana yake ni kwamba kapanga jimbo sugu uwezo wa kufikili umefika mwisho yeye kaongelea nyumba chadema kama tunalitaka jimbo mwakani lazima tuseme sugu inatosha ajaribu maisha mengine ubunge bassssss
Kwa kuandika tu umejulikana uwezo wako mdogo tu, tunaomba usiendelee zaidi maana tutakuumbua kwenye herufi mpaka kwenye muaandiko.