Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,751
- 16,874
Sugu mshamba sana kwani yeye ndiyo wa kwanza kujenga ghorofa Mbeya.
Alikuwa akijibu hoja kuwa yeye (sugu) si mpangaji kama ambavyo Nape amesema!
Si kujisifia kama unavyodhani, Sugu hawezi kulingana na wapigaji wa EPA hata kidogo!