Sugu Awapa Makavu Nape Na Kinana

Sugu Awapa Makavu Nape Na Kinana

Akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya malindo wilayani rungwe,Sugu amesema yeye kajenga ghorofa jijini mbeya na wala si mpangaji kama adhanivyo nape pia kamwambia kinana kuwa karibu na wakulima ni kuwapa mbolea na si kupiga picha na wakulima kisha kutoa gazetini. Akizungumzia hoja ya nape aliyesema sugu ni mpangaji jimbo la mbeya mjini sugu amekosoa hoja hiyo,pia kuhusu mgogoro ndani ya chadema kasema imebaki historia ila wana ccm wana gogoro linalokua kila siku.hakika nguvu ya umma hakuna kulala!

Anatangaza kuwa amejenga ghorofa? msanii ni msanii tu haachi asili , kujisifia kila wakati.
 
Akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya malindo wilayani rungwe,Sugu amesema yeye kajenga ghorofa jijini mbeya na wala si mpangaji kama adhanivyo nape pia kamwambia kinana kuwa karibu na wakulima ni kuwapa mbolea na si kupiga picha na wakulima kisha kutoa gazetini. Akizungumzia hoja ya nape aliyesema sugu ni mpangaji jimbo la mbeya mjini sugu amekosoa hoja hiyo,pia kuhusu mgogoro ndani ya chadema kasema imebaki historia ila wana ccm wana gogoro linalokua kila siku.hakika nguvu ya umma hakuna kulala!

leo hajaporomosha matusi?
 
hivi sugu naye mtu jamani mimi sijawahi kuona cha maana anachoongea.

Umechochora!Kamaanisha Yeye Ni Mwenyeji Wa Kudumu Si mpitaji au mpangaji kama nape alivotamka awali
 
`hujui na hujijui kama hujui' tafsiri kama utaweza #kasesera ,madodi,mwasikili,ngoye na mwakalindile mmeumbukeje sokoni tukuyu richa ya kuvunja kanuni za uchaguzi kwa kuzidisha muda wa kampeni?
 
..inawezekana ujengaji ghorofa anaouzungumzia ni kwa maana ile ile ya upangaji aliokuwa anaouzungumzia Nape,labda.

sugu kajibu kwa tafsida kama nape alivobip kapigiwa hapokei
 
Ndo tatizo la bangi ,kupanga mbeya,haimaanishi kupanga nyumba,ni maana nyepesi tu katika lugha ya siasa kwamba baada ya miaka mitano,jimbo litarudi mikononi mwa ccm,sasa bangi zake zikamtume akajitutumue kwamba mbeya kajenga ghorofa kumbe mtu mwenyewe kanyaboya tu.

Hata yeye hamaanishi ghorofa kwa maana ya nyumba kwani nyumba yake sio ya ghorofa, alikua anamaana ya kisiasa
 
Mi nawashangaa sana mnaomtetea sugu katika hili ukweli unajulikana kinana mana yake ni kwamba kapanga jimbo sugu uwezo wa kufikili umefika mwisho yeye kaongelea nyumba chadema kama tunalitaka jimbo mwakani lazima tuseme sugu inatosha ajaribu maisha mengine ubunge bassssss
 
kiukweli magamba wamenasa tumwombe allah atujalie ustahimilivu zaidi!
 
Kweli Sugu elimu fupi, kuambiwa mpangaji Mbeya basi kwa akili yake kadhani ni upangaji wa nyumba.

Na wewe kwa akili yako fupi, sugu kusema kajenga ghotofa ukadhan ni ghorofa nyumba. Tafakar kwanza maneno ndo uongee sio kuropoka tuu mshenz wewe.
 
Acha kuwa na kichwa cha njiwa anamaanisha ataendelea kuwa mbunge wa mbeya kwa muda mrefu sio mtu wa kupita kama asemavyo huyo mropokaji wa magamba

Umeona nduguee!!! Hutu tuccm tu-akili twao au niseme tu- IQ twao tudogo sana hata hawajauelewa uzi wanashoboka tu kwa mapovu na mashuzi hata kubwa jinga ritz kaingia ladies room.
 
Back
Top Bottom