Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,665
- 12,410
CCM ina endekeza ukabila,Sugu anaonekana mpangaji Mbeya?
Je hawa wahindi wanaopewa majimbo wao siyo wapangaji?Kuna Mtanzania anaweza kuwa Mbunge India?
Ni Tafsiri potofu kumwita Sugu mpangaji jimbo la Mbeya wakati ndio maskani aliyo kulia na watu wa Mbeya wakampa ridhaa ya kuwaakilisha.Watanzania tunaonekana kuurejesha ukabila na udini kwa kupitia Siasa uchwara.Tutajutia siasa za majitaka tunazo zishabikia kipindi hiki.
Kuna Mwingine CCM alisikika akisema Rais hatoki kaskazini.Ngoja tusubirie.