Sugu Awapa Makavu Nape Na Kinana

Sugu Awapa Makavu Nape Na Kinana

Kapo Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
1,003
Reaction score
303
Akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya malindo wilayani rungwe, Sugu amesema yeye kajenga ghorofa jijini mbeya na wala si mpangaji kama adhanivyo Nape pia kamwambia kinana kuwa karibu na wakulima ni kuwapa mbolea na si kupiga picha na wakulima kisha kutoa gazetini.

Akizungumzia hoja ya Nape aliyesema Sugu ni mpangaji jimbo la mbeya mjini sugu amekosoa hoja hiyo,pia kuhusu mgogoro ndani ya chadema kasema imebaki historia ila wana ccm wana gogoro linalokua kila siku.

Hakika nguvu ya umma hakuna kulala!
 
Sugu mshamba sana kwani yeye ndiyo wa kwanza kujenga ghorofa Mbeya.
 
Kweli Sugu elimu fupi, kuambiwa mpangaji Mbeya basi kwa akili yake kadhani ni upangaji wa nyumba.
 
hivi sugu naye mtu jamani mimi sijawahi kuona cha maana anachoongea.
 
Sugu kwa elimu yake na upeo wake mdogo, hakutegemea kuwa siku moja atakuwa mbunge.
 
Kweli Sugu elimu fupi, kuambiwa mpangaji Mbeya basi kwa akili yake kadhani ni upangaji wa nyumba.

upeo wake ndivyo umefikia hapo hawezi kufikiri nje ya box.
 
Mpangaji wa nyumba au jimbo?


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya malindo wilayani rungwe,Sugu amesema yeye kajenga ghorofa jijini mbeya na wala si mpangaji kama adhanivyo nape pia kamwambia kinana kuwa karibu na wakulima ni kuwapa mbolea na si kupiga picha na wakulima kisha kutoa gazetini. Akizungumzia hoja ya nape aliyesema sugu ni mpangaji jimbo la mbeya mjini sugu amekosoa hoja hiyo,pia kuhusu mgogoro ndani ya chadema kasema imebaki historia ila wana ccm wana gogoro linalokua kila siku.hakika nguvu ya umma hakuna kulala!
Nilikua naskiza Capital Fm leo nikaskia wimbo wake wa NIPO MIKONONI KWA POLISI,MAISHA YANGU BADO NI MIKOSI, ZAMANI SANA,WATU WANATOKA MBALI JAMAN
 
Back
Top Bottom