Tazama majina yafuatayo then jaribu kutamka:
1Umkhontowesizwe
2 Donyongijape
3Kagumyamuheto
4 Mantuntunu
5 Vakwavwe
6Ngalikivembu
7mbongopopo.
mnaonaje tukichagua jina baya au gumu kuliko yote kwenye hii forum.
Hilo namba moja kiboko!mpaka nimeshindwa kulikopi!
Kweli humu vitoto vingi. Yaani hawalifahamu neno Umkhontowesizwe??!!!
Nakumbuka miaka ya 90 zilikuwepo hadi nyimbo za Reggae wakiimba hivyo.
Hilo neno na Ukombozi wa SA akina Mandela ni kama Chanda na Pete.
Kuna jina jingine kwenye JF. Kuna mdada anaitwa Katerero. Napenda kumfahamu zaidi
Umkhontho we Sizwe (Mkuki wa Taifa/Spear of the Nation) lilikuwa ni jina la kikosi cha kijeshi/kimapinduzi cha ANC chini ya Hayati Chris Hani!
waliosoma HKL wanajua hilo jina.watu wa PCM ndio wataliona gumu.
Mbona mimi nilisoma PCM - kumbuka kulikuwa na GS!
Tazama majina yafuatayo then jaribu kutamka:
1Umkhontowesizwe
2 Donyongijape
3Kagumyamuheto
4 Mantuntunu
5 Vakwavwe
6Ngalikivembu
7mbongopopo.
mnaonaje tukichagua jina baya au gumu kuliko yote kwenye hii forum.
ndo nini mkuu?Mimi nilisoma NNL
Hilo namba moja kiboko!mpaka nimeshindwa kulikopi!