Suala la Kizushi

dah, it depends kloro. Mi nikiflirt huwa najenga hofu if my man is doing the same. Lol.

Lol..... Dah nimekupata greti thinka la mpwapwa. Halaf sjui nani yule kuna siku alisema kule JF dokta kuflirt ni afya. Wizi mtupu.
 
dah, it depends kloro. 1. Mi nikiflirt huwa 2.najenga hofu if my man is doing the same.
Lol.
Unaposema hivyo kwenye red1, wewe unaflirt (au ulikusudia kusema "ninaogopa kuflirt kwa hofu if my man is doing the same"?
Ikiwa unaflirt na haifiki popote zaidi ya kuflirt, kwa nini una hofu kuwa your man might be going beyond flirting?
 
naflirt sana na naweza kujicontrol hofu ni kwa upande wake, na yeye anaweza kujicontrol!
 
Dah BJ nikajuwa ushapata zali Ashley Young kakuchukua jumla, umepotea pia bana sio pekeangu.
Bek to topik

Hivi mpenzi ambae akili yako inakwambia ana mapenzi ya dhati na wewe, unaweza ukavipa nafasi vishawishi katika kumhukumu kosa alilokutenda?
suala langu liko hapo BJ.

Hapa petu saa zinaibiwa sana bana, yaani hatuna hofu na waifu zetu saaana lakini balaa liko wakikuona na saa tu imekula kwako, wanazifanyia ushirikina saa za seiko

wow wow wow! Ningekuwa na Ashley, JF ningekuwa historia..kuku kwa mrija urayaa, ha ha..majukumu Kloro ozawaize nimerejea sasa!
Huo mtaa unaoka mzuri yani saa zaibwa zaidi kuliko waifu, so naona roho yako tulii..

Mada: Kwanza inategemea kosa gani kanitenda hata kama ana mapenzi ya dhati, kuna vingine mimi sisamehi/siwezi vumilia endelea na mtu..halafu hata kama kosa linasameheka siwezi kuruhusu au kutengeneza mazingira ya vishawishi, hii itakuwa kama kulipizia..unless nimsingizie shetani kuwa kanipitia...he he
Bwana mapenzi magumu asikwambie mtu...!
 
BJ thanx aisee, point yako iko very clear na ubarikiwe sana. Halaf hilo zali la ashley likiclick usinisahau bana mimi ndo niloanzisha maombi.
 
Asante mkuu ila nifafanulie kidogo.
Unakusudia kusema mwenye penzi la dhati hawezi kuanguka kwenye kishawishi?
mkuu mwenye penzi la dhati atapigana na vishawishi
vikimshinda atamuhususha mwenzie katika mapambano.
Mfano: kuna watu, kila akimtamani mtu nje ya ndoa
anachukua sim na kumpigia mke wake kumwambia anampenda
that alone ni kumuhusisha mwenzio, whether she knows it or not
sio lazima umwambie kua umeshawishika tayari.
It also happens kua mtu anae penda kwa dhati aanguke
but atakapo kueleza how
he tried and tried and tried and tried before he fell
ndio utajua kama penzi lilikua la dhati or not.
 
mkuu mwenye penzi la dhati atapigana na vishawishi
vikimshinda atamuhususha mwenzie katika mapambano.
Mfano: kuna watu, kila akimtamani mtu nje ya ndoa
anachukua sim na kumpigia mke wake kumwambia anampenda
that alone ni kumuhusisha mwenzio, whether she knows it or not
sio lazima umwambie kua umeshawishika tayari.
It also happens kua mtu anae penda kwa dhati aanguke
but atakapo kueleza how
he tried and tried and tried and tried before he fell
ndio utajua kama penzi lilikua la dhati or not
.

Mkuu nimekupata vizuri sana na hapo red nimejifunza point nyengine. Labda suala dogo la mwisho hapo red, utakapombaini au atakapojisalimisha na hilo kosa utamuhukumu kwa atakavyojieleza au kwa unavyomuelewa wewe kikawaida?
 
  • Thanks
Reactions: Taz

Of course akianza kujieleza lazima atakua biased
ataongeza matatizo na kuonesha kua alishindwa kabisa kuresist
ndio maana nitatumia what I know about my partner, ma mazingira yenyewe?
Pia nitajiuliza: je alijaribu kupata nguvu ya kupambana toka kwangu?
Au alinisahau kabisa, na hakukumbuka kua we could overcome together?
 
Dah! aisee hii post yako ni platinum kabisa. Pamoja sana kamanda umekwenda deep sana kwenye hii post yako na nimeikubali sana, acha niupdate hili file langu.
One love jibaba
 
  • Thanks
Reactions: Taz

Similar Discussions

Back
Top Bottom