Suala la Kizushi

sure, he served his purpose

my purpose nadhani ni kuazima mawigi na kope
naomba uniazime basi

duhhh
usikute jamaa kaukata wala sukari hajaonja
either way .. anakumbukwa mpaka leo i guess
hicho ndo cha muhimu zaidi ya...
 
sure, he served his purpose

my purpose nadhani ni kuazima mawigi na kope
naomba uniazime basi

wigi bei gali hivyo..
mwehh suka tu rasta za mchina zinakaa miezi mitatu huangaiki..
dahhh Hizo kope nikikuazima ntakosa wakunitongoza. ngoja nipate kwanza.

kwani unaenda wapi wataka kujipara hivyo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom