Strip tease. . .

BAK hahahah etiii? Mchaga wa kitanga loh!

Una uhakika hayupo hapa eh?? Wala makeke tu ya keyboard shem sina a wala be mie.......

Seriously unajua wengi tumeathiriwa na gender na Beijing...kumchezea mpenzio kidogo tu hata kutikisha majaaliwa tunajisikia kuwa tunadhalilishwa phweee! Kuna ubaya gani kujidhalilisha kwa kupenda? Bwana mie nathamini sana tabasamu la mpenzi wangu (Nikiwa na furaha na nafasi) akha!! Hata kama ni bafuni bana mie ntacheza tu na hivi nina shepu ya kichaga basi nikijitikisa mwili mzima na kuona lile tabasamu lake ah najilinganisha na Ms. Tanzania aisee............. ah nini kujistress bana.

Mhhhh! haya bana naona leo umeamua :):) Maneno yako yana uzito mkubwa sana....yuko hapa ana tabasamu la kufa mtu :):)...inadaiwa anafuatilia mabandiko yako kwa karibu sana :):)....unapoamua kufanya chochote kile ili kumfurahisha mpenzi wako basi haiwi tena kudhalilishwa, kudhalilishwa ni pale ambapo unafanya kitu ambacho hukubaliani nacho.
 
Nilidhani jibu la swali lako ni dhahiri...

Kukujibu, ndiyo, naipenda sana hiyo video.
Kwa hiyo watu walichukia hiyo ATM card ku-swapishwa pale?
Mengine yooooote hawakuona offensive? kazi kweli kweli...
 
Lizzy,

Hii inaweza kuwasha mto ila siyo mara nyingi...Halafu inategemea kama mmekuwa apart kwa muda, kwani it has to be a kind of surprise!!

Ila kama mmebanana kila siku, haiwezi kuwa na tija!!

Halafu naomba ukumbuke kitu kimoja (hope hata Mwanajamiione ataona hili), mke ni kitu kingine kabisa...

Haya mambo yanakuwa very sweet na willingness to pay ni kubwa kama ni match ya ugenini!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! haya bana naona leo umeamua :):) Maneno yako yana uzito mkubwa sana....yuko hapa ana tabasamu la kufa mtu :):)...inadaiwa anafuatilia mabandiko yako kwa karibu sana :):)....unapoamua kufanya chochote kile ili kumfurahisha mpenzi wako basi haiwi tena kudhalilishwa, kudhalilishwa ni pale ambapo unafanya kitu ambacho hukubaliani nacho.

Haswaaaa shemeji tatizo letu wa siku hozi tumefungiwa nira shingoni, si wa kike si wa kiume

Hahahahha .......... huyu namjua mie wenyewe na ninasema hata nkinyang'anya..natoa wiki tu watanrudishia wenyewe...... (Labda aibiwe na wa kale, hawa wa sasa hawa wasojua kumfunga kamba kuku ngeni nyumbani au ugenini, mbona watalia??)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lizzy,

Hii inaweza kuwasha mto ila siyo mara nyingi...Halafu inategemea kama mmekuwa apart kwa muda, kwani it has to be a kind of surprise!!

Ila kama mmebanana kila siku, haiwezi kuwa na tija!!

Halafu naomba ukumbuke kitu kimoja (hope hata Mwanajamiione ataona hili), mke ni kitu kingine kabisa...

Haya mambo yanakuwa very sweet na willingness to pay ni kubwa kama ni match ya ugenini!!

Babu DC!!

....Hapana Mkuu DC hata kama mmebanana inakuwa na tija tena kubwa sana.
 
Lizzy,

Hii inaweza kuwasha mto ila siyo mara nyingi...Halafu inategemea kama mmekuwa apart kwa muda, kwani it has to be a kind of surprise!!

Ila kama mmebanana kila siku, haiwezi kuwa na tija!!

Halafu naomba ukumbuke kitu kimoja (hope hata Mwanajamiione ataona hili), mke ni kitu kingine kabisa...

Haya mambo yanakuwa very sweet na willingness to pay ni kubwa kama ni match ya ugenini!!

Babu DC!!

Babu ninapenda sana analysis yako yaani huwa ni evidence-based aisee. Kwa hilo I salute you.

Ninakubaliana na wewe kabisa kuwa Mke ni mke........ile hali ya kuridhika, nshaolewa, nshahalalishwa besides kuna mengi ya muhimu kuliko mapenzi ipo sana.........tunasahau kuwa kilichotukutanisha si mipango ya kujenga ghorofa, wala kumiliki kampuni bali mapenzi. So hakuna ubaya kuspice up mapenzi ili mumweze kupanga yajayo.

Mie bwana ninavyoongeleaga ya kuvuana makoti na viatu hamunielewi but sehemu ya spicing up....hivi mnaamini kuwa viatu hivi navivua nkiwa nimevaa baibui na khanga juu? Kalagabaho ...........hapo ni mwendo wa 'badilisha channel" aisee

Nyamayao alishawahizungumzia kujiamsha usiku kwenda maliwatoni wamruka huku khanga umelegeza, au kuparamia meza ilhali khanga yaanguka kisa mende!
 
Lizzy, mbona umeongelea wanaume tu? hizi strip club zipo hata za audience ya wanawake na stripperz wanakuwa wanaume. Pia nyengine zinakwenda mbali kabisa zile wanaita hardcore bash (hapo mzuka ukipanda stripper anamalizana na mwenye mzuka apo apo mbele ya audience) na mwenza huko nyumbani anatoa ruhusa kabisa ya kwenda sehemu kama hizi.

My Take:
Kama una mwenza basi usijaribu kutafuta mambo ya kuvumbua vumbua nje kwani kuna siku utamteremsha hadhi mwenza wako kwa kumlinganisha na ulioyaona nje.

............. The End..........
 
Siyo kila siku banaaa LOL!

Umeona sasa BAK,

Kule kwenye clubs mtu anaweza kwenda kila siku bila kukinai hadi anakuwa teja,

Mke bwana ni kitu kingine......Unapenda, unamheshimu na kufanya naye kila kitu ila kuna wakati anakuwa kama dada yako ambaye ni special!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
What makes you think kuwa anauwezo wa kuitoa burudani hiyo kila siku? Kama wewe tu unayepokea huwezipokea kila siku ye anayetoa ataweza toa kila siku? ......... ukifurahi na kuwa na nafasi!
Shem! hata mimi limwanamke kama kila siku linaniletea ayo mapozi ya kuvua nguo kwa muziki nitalifikiria ni freemason tu. Haya mambo yanatakiwa yawe once in a grey moon.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom