Strip tease. . .

Shem! hata mimi limwanamke kama kila siku linaniletea ayo mapozi ya kuvua nguo kwa muziki nitalifikiria ni freemason tu. Haya mambo yanatakiwa yawe once in a grey moon.

Hahahaahha......hii post na ilaaniwe ikose mwanga mbele ya macho ya wasomaji

eti Freemasons............... Shemeji unampendelea Mbu bwana akhaaa..................Sa mi kesi zangu ntapeleka wapi?
 
What makes you think kuwa anauwezo wa kuitoa burudani hiyo kila siku? Kama wewe tu unayepokea huwezipokea kila siku ye anayetoa ataweza toa kila siku? ......... ukifurahi na kuwa na nafasi!

Dada MwanajamiiOne,

Kuna jibu nimempa BAK hapo juu.

Ndiyo maana nikasema kuwa kama hii dose inatolewa kama menu ya siku kuu (Idd au Xmass) itafaa sana. Ikianza kuwa Panadol basi inakosa maana!!

Hata hivyo, nakubaliana na wewe kwamba mtoa burudani hawezi kuitoa kila siku ila pia kuna shida upande wa mpokeaji. Wakati hawezi kupokea ya sweetie wake kila siku, anaweza kuhudhuria clubs kila siku ya Mungu kwa sababu hiyo hiyo.

Nadhani hapo umenielewa!!

Babu DC!!
 
Haswaaaa shemeji tatizo letu wa siku hozi tumefungiwa nira shingoni, si wa kike si wa kiume

Hahahahha .......... huyu namjua mie wenyewe na ninasema hata nkinyang'anya..natoa wiki tu watanrudishia wenyewe...... (Labda aibiwe na wa kale, hawa wa sasa hawa wasojua kumfunga kamba kuku ngeni nyumbani au ugenini, mbona watalia??)

...Ni kweli kabisa MJ1...hata Wanaume wanaogopa kuonyesha mapenzi kwa kuogopa kuambiwa wamelishwa limbwata LOL! ila Limbwata la nyumba ndogo linakubalika :):)
 
Umeona sasa BAK,

Kule kwenye clubs mtu anaweza kwenda kila siku bila kukinai hadi anakuwa teja,

Mke bwana ni kitu kingine......Unapenda, unamheshimu na kufanya naye kila kitu ila kuna wakati anakuwa kama dada yako ambaye ni special!!

Babu DC!!

...Pamoja na hayo bado hata kama shughuli hii haifanywi kila siku lakini pale inapofanywa hata kama ni mara moja/mbili kwa wiki basi inakuwa na raha yake Mkuu.
 
Kwa hiyo watu walichukia hiyo ATM card ku-swapishwa pale?
Mengine yooooote hawakuona offensive? kazi kweli kweli...

I guess the controversy was about the objectification of women and their use as hypersexualized props for the fantasies of male rappers.

But my thing was, all those women were adults and above all else they were willing participants. So I didn't really get the beef.
 
Dada MwanajamiiOne,

Kuna jibu nimempa BAK hapo juu.

Ndiyo maana nikasema kuwa kama hii dose inatolewa kama menu ya siku kuu (Idd au Xmass) itafaa sana. Ikianza kuwa Panadol basi inakosa maana!!

Hata hivyo, nakubaliana na wewe kwamba mtoa burudani hawezi kuitoa kila siku ila pia kuna shida upande wa mpokeaji. Wakati hawezi kupokea ya sweetie wake kila siku, anaweza kuhudhuria clubs kila siku ya Mungu kwa sababu hiyo hiyo.

Nadhani hapo umenielewa!!

Babu DC!!
Hapo tunaelewana Babu DC tatizo linakuja pale ambapo wengi wetu tunaukimbia ukweli au hali halisi ya maisha........... kuku ni kuku hata ukimjengea kibanda cha tiles bado ataenda shambani kuchakura. Mwache achakure but siku ukiamua kumpa ya menu, toa menyu ya uhakika!
 
Lizzy, mbona umeongelea wanaume tu? hizi strip club zipo hata za audience ya wanawake na stripperz wanakuwa wanaume. Pia nyengine zinakwenda mbali kabisa zile wanaita hardcore bash (hapo mzuka ukipanda stripper anamalizana na mwenye mzuka apo apo mbele ya audience) na mwenza huko nyumbani anatoa ruhusa kabisa ya kwenda sehemu kama hizi.

My Take:
Kama una mwenza basi usijaribu kutafuta mambo ya kuvumbua vumbua nje kwani kuna siku utamteremsha hadhi mwenza wako kwa kumlinganisha na ulioyaona nje.

............. The End..........

Shida ni hamu baba....Mate yakishaanza kudondoka, inakuwa ngumu kukaa home kwani kila kitu kitabadilika na kuwa kama monsters!! Labda kama hujawahi kusikia au kuona!!

Babu DC!!
 
...Ni kweli kabisa MJ1...hata Wanaume wanaogopa kuonyesha mapenzi kwa kuogopa kuambiwa wamelishwa limbwata LOL! ila Limbwata la nyumba ndogo linakubalika :):)

Umeona eh shemeji, la nyumba ndogo sawa tena mtu ytu radhi kukiri proudly kuliko la nyumba kubwa! mwe!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I guess the controversy was about the objectification of women and their use as hypersexualized props for the fantasies of male rappers.

But my thing was, all those women were adults and above all else they were willing participants. So I didn't really get the beef.
I think just like you. If that was offensive what about all the rest?
If one decides to get offended, or to find any objectification in there,
I don't see why that swap alone, what about all the rest?
Well, personally sijaipenda sana but it was a video to see. I have seen it now.

Back to topic:
Would you like mama watoto wako to dance like that for you from time to time?
 
Hapo tunaelewana Babu DC tatizo linakuja pale ambapo wengi wetu tunaukimbia ukweli au hali halisi ya maisha........... kuku ni kuku hata ukimjengea kibanda cha tiles bado ataenda shambani kuchakura. Mwache achakure but siku ukiamua kumpa ya menu, toa menyu ya uhakika!

Hapa sasa tuko pamoja dada yangu,

Binadamu ni kunguru, hafugiki hata kwa kujengewa uzio unaokaribia mnara wa Babeli!!!

Menu ya siku kuu inalipa sana....Itamfanya hata mzururaji kukumbuka nyumbani.

Ila mbali na hizi stripping za Lizzy, wanaume wengine huwa hawapendi kumuona wife kavaa vizuri na kupendeza kama malaika fulani au jini, halafu akaondoka home mzima mzima!! Ukimwacha unahisi kama umetenda kosa la jinai!!

Kuna jamaa alimwacha mke wake akaenda kwenye kitchen party, huku nyuma akashindwa kusamehewa makosa yake...Ikabidi amwite arudi nyumbani haraka wakafanye kitubio!!

Kwa hiyo unaweza kuona jinsi binadamu alivyo mnyama wa hovyo sana!!

Babu DC!!
 
I think just like you. If that was offensive what about all the rest?
If one decides to get offended, or to find any objectification in there,
I don't see why that swap alone, what about all the rest?
Well, personally sijaipenda sana but it was a video to see. I have seen it now.

Have you been to a strip club before? You know that there are male strippers too, right?
 
Hahahaahha......hii post na ilaaniwe ikose mwanga mbele ya macho ya wasomaji

eti Freemasons............... Shemeji unampendelea Mbu bwana akhaaa..................Sa mi kesi zangu ntapeleka wapi?
heheeh shem hapa niko vere neutral. Unajua shem wanawake wengi (sio wote) wakidanganywa saluni kwamba kitu flani kinawapagawisha wanaume, basi hawajiangalii kwenye vioo na kujithamini kama hicho walichoambiwa kinaendana na mwonekano wao au mazowea ya wenza wao?. Utakuta jimama lina kilo 105 linakuja kukufanyia lap dance , linakukalia hata pumzi haupati halafu hiyo ndio anachukulia kwamba anakupagawisha na kukukoleza, pengine kwakuwa tu kaona sredi ya Lizzy kwamba lap dance inawapagawisha wanaume.
 
Umeona eh shemeji, la nyumba ndogo sawa tena mtu ytu radhi kukiri proudly kuliko la nyumba kubwa! mwe!

MwanajamiiOne,

Nyumba ndogo ni kitu ingine bwana...hiyo tuiache tu...Ila nayo ikizoeleka inakuwa haina tija. Halafu mtu anaweza kufikia mahali akaiona kama pale Central kwa Kova!!

Babu DC!!
 
Shida ni hamu baba....Mate yakishaanza kudondoka, inakuwa ngumu kukaa home kwani kila kitu kitabadilika na kuwa kama monsters!! Labda kama hujawahi kusikia au kuona!!

Babu DC!!

Sasa mstaafu unataka kutwambia tuiwache "hamu" itucontrol? lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
heheeh shem hapa niko vere neutral. Unajua shem wanawake wengi (sio wote) wakidanganywa saluni kwamba kitu flani kinawapagawisha wanaume, basi hawajiangalii kwenye vioo na kujithamini kama hicho walichoambiwa kinaendana na mwonekano wao au mazowea ya wenza wao?. Utakuta jimama lina kilo 105 linakuja kukufanyia lap dance , linakukalia hata pumzi haupati halafu hiyo ndio anachukulia kwamba anakupagawisha na kukukoleza, pengine kwakuwa tu kaona sredi ya Lizzy kwamba lap dance inawapagawisha wanaume.

Duuuuuuuuhhhhhhhh,

Kama huyo mwanamume ni feather weight lazima atapata mnyauko wa bottom half....Na huo ndio unakuwa mwisho wa kumtukuza Mungu!!

Babu DC!!
 
Have you been to a strip club before? You know that there are male strippers too, right?
I know, I like strip teases. Mi sijasema sipendi zote.
Sijapenda hiyo video, that's all. but I like them strip teases.

Nimeongeza suali hapo juu:
would you like your wife to dance like those girls in the video?
 
heheeh shem hapa niko vere neutral. Unajua shem wanawake wengi (sio wote) wakidanganywa saluni kwamba kitu flani kinawapagawisha wanaume, basi hawajiangalii kwenye vioo na kujithamini kama hicho walichoambiwa kinaendana na mwonekano wao au mazowea ya wenza wao?. Utakuta jimama lina kilo 105 linakuja kukufanyia lap dance , linakukalia hata pumzi haupati halafu hiyo ndio anachukulia kwamba anakupagawisha na kukukoleza, pengine kwakuwa tu kaona sredi ya Lizzy kwamba lap dance inawapagawisha wanaume.

Mhhhh! lol! aisee nimecheka sana hahahahaha lol! Naam haya mambo lazima bibie awe na figure inayolipa vinginevyo karaha tupu :):)
 
Duuuuuuuuhhhhhhhh,

Kama huyo mwanamume ni feather weight lazima atapata mnyauko wa bottom half....Na huo ndio unakuwa mwisho wa kumtukuza Mungu!!

Babu DC!!

Nazani mstaafu pointi yangu umeipata sawasawa, lol, mimi nadhani kabla kuwafanyia wenza wetu mambo flani flani ya kuiga ni bora tukayatathmini kwanza kupitiia sisi wenyewe na then kumalizia na wenza wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom