Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,980
- 127,443
Usipate shida..nipe mimi uhausigeli ntafanya kila kituKwangu stress za kuoa huja kwenye kazi za Ndani tu basi.
Nimezijulia nikiwa mkubwa. Sijui kupika, dishez, usafi wa Ndani na wa nguo zangu. Hayo mambo ndiyo hunipa stress.
Nikiwa nje Wala utafikiri nimeacha mke ndani. Ila nikishaingia na kufikiria kuanza kuzifanya natamani awepo.