Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Sisi wanawake kuna muda ukomo wa kuzaa unafika nafikiri ndio maana tunakuwa hivyo pindi tufikishapo umri fulani.

Na kuhusu wanaume hawa bhana hata kama anaona umri umesonga stress zake haziwi kati kama za mwanamke.mwanaume hata akiwa na 50+ bado anauwezo wa kuzaa ila si mwanamke

Mfano halis ni Bw.Machache +Klyn=mapacha.

Kwa jicho la tatu naona kuna kalengo kako ndani ya huu uzi.

Kwa dunia ya sasa ya science hata 50 yrs wanawake wanazaa si unaona kina Janet Jackson
 
nlifikisha 30 zaman mpaka bas, nlipata pania mno kuoa ila du nimekuwa nikidate wadada wehu mpaka nimejituliza hata sijui naoa lini

yaani sijui naoa lin maana hata ambae tunanjanjuwana hatuna mpango wakuoana sasa da ila real nataman sana kuoa nimiliki ntu kihalali
 
Hahaha, mkuu umekuwa ukidate wadada wehu? Yani we kila unayedate nae ni mwehu? You've got to analyse yourself kiongozi.

Sasa stress vipi, zipo au hazipo?
 
Hahaha, mkuu umekuwa ukidate wadada wehu? Yani we kila unayedate nae ni mwehu? You've got to analyse yourself kiongozi.

Sasa stress vipi, zipo au hazipo?

jamaa ninavosema wehu wewe huelewaje ? No siko stressed ila nikama nimepostpone habari yakuoa
 
Back
Top Bottom