Stress kali special thread

Stress kali special thread

Stress za kukosa BOLO jamaniii khaaaa, yaani nikikosa BOLO huwa natamani kuvaa sketi kichwani akili zinarukaa!

Jamani BOLO tamu
 
Bongo mihongo ya buku unashiba , kama ni mapenzi kina mwajuma wanatafuta mpka amae pumua tu huko kwa mwamposa, stress za kazi gani sasa bwashee?
Naongelea stress za kikubwa

Kule una mkopo bank XXX, huku TRA anataka ulipe milioni 120 na anaongeza deni kila unapochelewa. Guest house uloiweka kama dhamana kwa bank XXX nayo mauzo yameshuka unaona kabisa bank wanaweza tembea nayo. Ngoja niisgie hapo
 
Wacha na mimi niweke moja inayo nisumbua

Ukwel ni kwamba mimi kuhusu swala la mahusiano ni kitu kimekuwa changamoto kwa upande wangu , kiufupi swala la kutongoza dem kwangu ni mtiani haswa
Hasa pale linapo fika swala la kumsimamisha mdada na kuanza kutupa swaga imekuwa changamoto kwaiyo naweza stay bila mahisiano hata miezi kadhaa
Wanawake ambao huwa na win ni wale ambao wapo kwenye cycle yangu yaani ni demu ambay labda tunafanya kazi sehem moja au kila siku huwa tunaonana ndio huwa naweza kuwakalisha lakn likija swala la stranger kwangu ni mtiti haswa
hii kitu inanifanya nakosa furah sometimes.
Kuna mda huwa najikaza nasimamisha manzi ila nikiongea neno moja tu akinijib naishiwa pozi naamua kukausha tu sijui ni kawaida au kunawatu pia wanapitia ishu kama yangu.
 
Naongelea stress za kikubwa

Kule una mkopo bank XXX, huku TRA anataka ulipe milioni 120 na anaongeza deni kila unapochelewa. Guest house uloiweka kama dhamana kwa bank XXX nayo mauzo yameshuka unaona kabisa bank wanaweza tembea nayo. Ngoja niisgie hapo
Dawa ya deni ni kulipa , kukopa kwingi kulipa matanga
 
Sijipagi stress maana najua patakucha Tu na mambo yatabadilika
Hakuna cha kudumu hapa duniani
 
Aisee kipindi hiki napitia stress sana naona kabisa zinaaffect hata afya yangu. Ila mungu ni mwema hili nalo litapita tu.
 
Ngoja nianze mimi.

Kwenye moja ya biashara zangu nilikua na partner, sasa huyo jamaa ndie alikua anahusika na mambo yote ya kifedha. Biashara yenyewe inahusisha importation ya materials fln fln

Last month tukapata notice ya TRA kuna kodi ladhaa wanadai, hapohapo kuna mzigo ulikua umekwamia bandarini na wenyewe una kodi zake hapo. Sijatulia vzr huyo jamaa akasema kapata mdau anaweza kutusaidia tukalipa kiasi XXX tu (ambacho ni kidogo ukilinganisha na wanachokidai) pamoja na posho ya huyo mdau.

Basi nikasaini navyy akasaini kuruhusu hela zitoke. Hela zilipotoka huyo mdau kapotea, na baada ya kumbana jamaa yangu na yeye akapotea.

Yaan hapa kuna mzigo umezuiliwa, TRA wamenikaba shingo, na bank kuna senti tu.

Halafu leo napita kinondoni pale mpuuzi mmoja anamwagia gari yangu maji kwenye kioo cha mbele, aisee ningeua mtu leo hii
pole sana
 
Stress ni kitu kibaya sana sana
Kuna muda nikumshirikisha Mungu sana atuwezeshe namna ya ku handle hizo mambo
Unaweza jikuta unafanya kitu ambacho hukuwahi waza Kama unaweza Fanya

Hivi Kuna kitabu Cha stress management?
 
Huyu apewe ushauri stress mbaya sana
Uhamisho wa mchongo , mkome tulioomba kawaida wamekalia maombi yetu nyie mnaojifanya mna pesa mnapewa kwa mgongo wa nyuma kibali Cha uhamisho kimetoka lini na hio orodha ya majina Iko wapi

Msitupotezee muda humu huyo aliyekupa barua ya uhamisho wa mchongo ndo akushauri
 
Naongelea stress za kikubwa

Kule una mkopo bank XXX, huku TRA anataka ulipe milioni 120 na anaongeza deni kila unapochelewa. Guest house uloiweka kama dhamana kwa bank XXX nayo mauzo yameshuka unaona kabisa bank wanaweza tembea nayo. Ngoja niisgie hapo
Ongeza hapo
Hujalipa mishahara wafanyakazi
Kuna mwanafunzi umempa mimba imegoma kutoka babake mjeshi
Mke wako mjamzito ana bed rest

Yaani unapikwa nje ndani🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom