Wacha na mimi niweke moja inayo nisumbua
Ukwel ni kwamba mimi kuhusu swala la mahusiano ni kitu kimekuwa changamoto kwa upande wangu , kiufupi swala la kutongoza dem kwangu ni mtiani haswa
Hasa pale linapo fika swala la kumsimamisha mdada na kuanza kutupa swaga imekuwa changamoto kwaiyo naweza stay bila mahisiano hata miezi kadhaa
Wanawake ambao huwa na win ni wale ambao wapo kwenye cycle yangu yaani ni demu ambay labda tunafanya kazi sehem moja au kila siku huwa tunaonana ndio huwa naweza kuwakalisha lakn likija swala la stranger kwangu ni mtiti haswa
hii kitu inanifanya nakosa furah sometimes.
Kuna mda huwa najikaza nasimamisha manzi ila nikiongea neno moja tu akinijib naishiwa pozi naamua kukausha tu sijui ni kawaida au kunawatu pia wanapitia ishu kama yangu.