Story: On My High Horses ...

E. The good, the bad and the evil



Msiba ukaisha mchgj akawa anaomboleza na nini, wakaja wamama, wajane, wamama senior bachelor, wadada toxic bachelor, wadada single, basi kila mtu na sympathy yake ushuzii
Wakapita na wale wamama wa mjini waliotembea na Pastor, wadada walioahidiwa ndoa, yani ni balaa, izo hug sasa gadame, am sura mama mchungaj will be rolling in her grave sio kwa ufuska ule shenz type,
Watoto wa marehemu wanashangaa tu mama kaondoka ametuachia matatizo, ona show za kutoa pole utadhan maonyesho ya ulimbwende, watu wamevaa flirting ya kufa mtu, vimini, leggings, basi kila siku hakosi mwanamke amekuja kutoa pole kwa mjane Pastor, wengine kupika, kufua, kudeki na Pastor mwenyewe alivyo mzinzi kila mtu anamnong'oneza kivyake, we unafaa kuwa mke, mara wewe utanifaa, mara my wife nakuona, basi kila mwanamke anavimba kichwa kivyake, jitihada za kufua mara dry cleaner, mara menu ya hotels inaletwa
A watoto wa marehemu wanaishi paradiso ndogo

Basi pastor akapata invitation kwa mama m1 senior bachelor akamfanyie maombi nyumbani kwake ohoo kumbe anategwa

Mgane Pastor asijue mitego ya ibilisi maana ye mwenyewe anakula na ibilisi sahani moja, akaenda, kufika maza akamwita chumbani, huku ndio napata mashambulizi Pastor akaenda kutoa huduna ya kiroho kaanza kuombea pale akiwa ktk kumaliza yule senior bachelor akatokeza uchi wa mnyama tobaaa mgane Pastor anashangaa,

Mgane Pastor: jaman we dada me sipo ivo nafanya shughuli ya bwana
Senior Bachelor: usijali Pastor hata hii nayokupa ni huduma tosha, shukran ya pekee kwako, umenifukuzia mapepo ila ukanisahau kuniombea na mimi sasa unaonaje ukaja kunibatiza kidogo na mimi kimwili ili niishi vizuri unajua sijawahi kupata a touch of a main for 20yrs tangu niokoke na maisha yamekuwa magumu sana kwangu na ya shida

Mgane Pastor: akajibwida akambeba senior Bachelor wa watu, wakazama Honey Moon, Pastor nae havumi lakini yumo jamaaan, mechi anaiweza na kuzama chumvini anajua

Senior Bachelor hakutaka usiku uishee alitaman mechi iendelee lakini ndo ivyo akawa ana live into the moment

Meanwhile in Pemba

Gigi was spotted huko pemba yupo na Marion wanapanga makuu,
Mesenja wa marion akamletea ripot Marion akatikisa kichwaaa... akamwambia Gigi, me nilikwambia kuwa huyu mama ni muuaji kabisa
Angalia amemuua mama mchungaj wa pale kanisani kwako, angalia hizi picha za msiba walikuwa wanazika kinondoni makaburini, angalia za kuaga

Gigi: OMG, sasa tunafanyaje
Wiki zenyewe zimebakia 2 tu me mbona nachoka zaidi jamaa sasa tunafanyaje?!

Marion: lazima tumjambishe jambishe lazima nitume vijana wangu wakafanya kazi ya kumchunguza tujue nani yupo juu yake tumpindue

Asbh kukakucha vijana wa Marion wakaingia Dar es salaam, wakapiga usnitch wanamzoom mama bonge anajiachiia kweli kweli mpaka anaenda kwa uyo bwana ake wa miaka mingi

Wakamzoom bonge wakajua anaonana na matusi
Wakapeleka ripot ndani ya siku 2 badala ya 3, wakaambiwa warudi kwa Pastor kwenda kumcheki pastor anahama nyumba hadi nyumba

Gigi akamwambia Marion kuwa ana mzee wake m1 hamsomi somi anahisi anam favor mama bonge na mimi nipo pekeyangu yupo huko bondeni

Marion: kwaiyo unataka tumfanyaje sasa huyu mzee

Gigi: mpige jamba jamba mpaka aje aungane na mimi staki ushenz ajue me ndo gigi the great na atoe ushirikiano mpaka nishinde kesi

Marion akatuma vijana wake 3 bonden kwenda kumrejesha babu mzee wakatua bondeni, kumsaka babu mzee mwenyewe anakula kula raha hamna cha mke wala nini anakamata tu na kushika mawowowo ya wazulu basi tu

Wakampa jamba jamba wakakamata mishangigi ya kizulu ikamfilisi wakamwibia passport ya babu mzee wakamwitia na polisi akawa depoted Dar hana hata hela kufika ubungo ana buku akapanda daladala mpaka kwake bunju alafunguliwa mlinzi hayupo nyumba shaghala baghala,hamna msosi simu hana dah akachoka kabisa

Akakaa siku 3 njaa kali akaenda dukani kwa mangi akaomba simu akam call gigi

Babu Mzee: mama salama nimesharudi Dar vp waendeleaje

Gigi: vbaya sana nipo tu sina hata 100
Na ile kesi ni wiki 2 zijazooo basi nimeona nishindwe tu

Babu mzee: hapana Gigo usikate tamaa nitakusaidia

Gigi: kivip labda alafu me sina hela hela zote nimepeleka kwa lawyer sina hata 100

Babu Mzee: basi mama uje tuyajenge hamna lililoharibika, njoo tafadhali

Gigi: kama unataka kunisaidia nenda kamwone lawyer kesho mpe evidence zako otherwise potezea akamtumia address ya lawyer simu akaikata

Babu Mzee hapo kachoka hela kabakiwa na 500, akaona auze kitu kwa jirani akapata elfu 20, akaenda kumwona lawyer akampa evidence akaondoka, lawyer akampigia gigi akamweleza Gigi akacheka akamwacha babu mzee ashike adabu kidogo hapo kwake

Pemba Gigi akawa mwenyeji, anazurura wee anawafanyia wazungu tour na nini mara alale na wazungu, basi balaa tupu,

Marion akampigia simu we kimwana upo wapi?! Gigi akamwelezea
Marion: njoo hapa nyumbani kuna dharura ya balaa
Gigi akakimbia kufika anaambiwa fungua hii plate kufungua tobaa kichwa cha matusi

Anamwuliza Marion huyu nani?!

Marion: vijana wangu wamekuletea kichwa xha Matusi, he is no more, bado tunamsaka bwana wa Mama Bonge wa miaka Mingi
Matusi alikuwa bwana wa bonge ndio aliempa ujauzito wa Bonge, na team yake yote wameisha bado tunamalizia teama ya mpenz wa mama bonge, so far 50% are gone bado 50%
Hii ngoma ngumu lakini itaisha kabla ya mahakama

Gigi akachokaa akahamaki ajui ashukuru au amlale Marion au maana kazi za mauaji sio zake kabisa, akahisi ameingia choo cha kiume



Tuonane j3 saa 11 jioni

Unakipaji cha pekee dada
 
Back
Top Bottom