Story: On My High Horses ...

Story: On My High Horses ...

Jaman leo AUDITING imenibanaje hapa
Am working jamaa kazi za naniliuuu hapend ujingaaa
[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]


Kesho basi ntaleta ubuyu leo nimechoookaaa

Kwa wale wenye mapenz mema mje Fb mle ubuyuuu

Wanasema FB ina happen sijui ni kweli
Muwahi kabla nafasi hazijajaa
 

Attachments

  • Screenshot_2017-05-30-18-29-21.png
    Screenshot_2017-05-30-18-29-21.png
    136.9 KB · Views: 61
C. LUH (LOVE)



Aaliyah:


To be honest kwa drama nilizofanyiwa na Mark sijawahi kufikiria wala kuja kujua kama nitapata love,
Nimevurugwa kiasi cha kuamini kuwa love hai exist kabisaaa, mtoto wa Yesu mpaka kunywa pombe, natukana ovyo kazini hawanielewi navaa uchi yani niacheni tu kweli Mungu yupo na hamtupi mja wakeee

Huyu Baba Bonge was a heaven sent, sijaelewa kwanini mama bonge amepiga chini huyu baba lakini he has been the nicest man i knew ukiacha Yesu na Babangu mzazi! Sielewi shida kwa mama Bonge ilikuwa nini,

Pia namshukuru sana Mungu kakuvuruga uhusiano wangu na Mark maana nisingekutana na Gigi na Gigi asingenikutanisha na Baba Bonge, ndio namsifu Mungu lkn namsifu gigi pia ila gigi na huyo best friend wake wamenikosea sanaa sanaaa sanaaa nimenuna nimekasirika but i guess ndivyo maisha yalivyo!

i mean yeah Best Friend ananipenda but come on, i mean come oooooon, kuvurugwa nako kinasaidia but i know and i know kuwa Best friend amemlala Gigi... mmh ngoja nikueleze basi kama unadhani natania:

One day Baba Bonge alisafiri akaenda Moshi maramoja, aliitwa kwenye ile nyumba yake na mamake kabla hajawa rich kuna some drama zilitokea and stuff

Akaaga immediately akaondoka na ndege, Kia mojaaa
Me nikawa nimeboreka boreka nikasema basi nikamcheki Gigi home kwake naenda nakuta gari ya Best friend imepakia pale nje nikafurahi kuwa nimewakuta wote

Kuingia ndani sioni watu nikajua labda wapo kibarazani wanaongea, nikaenda hamna mtu, mmh nikaenda kote hamna mpaka bafu na choo hamna

Hapo sasa roho ikanipiga paaaaaa, akili inaniambia ingia chumbani, kwensa chumbani mlango upo wazi, kuingia tobaaaaa Best friend ontop of Gigi, ah nilihisi kusalitiwa mara ya 2, kweli sio huyu best friend alieniambia anafanya haya kwa ajili yangu sa mbona wanalalana?!
Wananizunguka au?! Nikachoka nikashkilia roho na moyo, nikataka kutapika tena nikashkilia mdomo nikanyata mpaka nje ya geti ndukiiii, nje nikatapika pale bwaaaaah!

Nikatembea mpaka nikakutana na Taxi nikarudi masaki

Nikalia weeee basi nikasema kama ndo ishakuwa hivi poa me sio fala tena kuumizwa mara ya pili maanake wewe bwege, nikajifungia yule Ba Bonge aliporudi nikamdandia mazimaaaa, mzee wa watu ana miaka 55 na mie nina miaka 32 yani anakomaje
Skuhiyo hata hakutumia viagra nadhani na yeye alinimiss akawa anashangaa ujio ule wa kukumbatiwa na mimi vepee?!

Nikamalizia hasira zangu pale na asbh nikadai kodi akaondoka me kimya roho inanitoka wa kuongea nae sina natamani nimwambie maza nashindwaaa naanzaaajeee kumwambia kuwa tunafanya umafia kumsaidia Gigi na Mimi... like how?!

Nikalia nacho mchana mzima nalia natukana akina Gigi wakanicheki nikafekisha kama nipo na furaha kumbe nina umiaaaa

Usiku akaja baba bonge na bonge la surprise kuwa kesha talakiana na mama bonge sasa hivi yeye ni free agent
Moyo ukapumua nikaanza kulia

Baba bonge: jaman usilie mpenz wangu me ni wako asilimia zote

Me nalia tu hajui nalia na nini, nikaondoka machoni pake nikaenda kulala akanifuata mama nini tena au haujapenda me kuachana na mama bonge jamaan?!

Me kimyaaaa

Baba Bonge: usijali bwana haya yameshaisha na tena mali zimegawanyishwa nusu kwa nusu so am not poor at all

Me kimyaaa

Baba Bonge: baby au kuna kingine maana asbh nimeondoka vzuri tu mbona nakukuta unalia au mama amepatwa na matatizo

Aaliyah: hapana mama yupo vizuri,
Samahan nimekuwa such an ass, pole na divorce

Baba Bonge: pole na nini?!and ur not an ass, that's my woman there unaemwota an ass, na mabusu kibao shingoni

Aaliyah: nikajinyofoa, my love, unaonaje kama tukichukua vacation, ofsini kurudi badooo, itachukua muda nimechoka kukaa kaa tu ndani au hata sijui nifanyaje labda nirudi kwa mama au?!

Baba Bonge: hapana mpenz, tutaenda vacation hata mimi nahitaji vacation
Unataka kwenda wapi
Mke wangu?!

Aaliyah: can we afford Paris au UK au Casablanka Morrocco?!

Baba Bonge: hamna neno tutaenda kote ulipopataja

Wakaingia kwenye mahaba,
Baada ya wiki 2 wakapata visa za kwenda UK na Europe na Morocco

Aaliyah akamuaga mamake ambae alikwa ameshamkatiwa visa zote yeye na babake na wajomba zake 2 na tiket za ndege na Baba Bongee

Wakadondoka Cassablanka mojaaa, akina Gigi na Best Friend hawana taarifaaa, wakakaa weee wanakula tu maraha na utaliii, baada ya siku 5 wakadondoka UK kwa Bibi Elizabeth,
Baada ya siku 10 wakaanguka Paris,
wakakaa siku 3 ya 4 wazee wa Aaliyah wakaja, na wajomba na baba mdogo jumla 2 wakafichwa kwenye hotel bila Aaliyah kujua

Katika mahaba ya hapa na pale, Baba bOnge akapropose

Baba Bonge: Mpenz wangu me nakupenda na kila siku upendo unazidi kwako, haupungui hauishi hauchachi, unaonaje tukifunga ndoa in the city of Love?!

Aaliyah: hakuamini akawa anatoa macho tu anadhani utani, akawa anashindwa kuongea

Baba Bonge: chini ya hii hotel kuna kanisa nzuri sana na mchungaji unaonaje kama tukienda kufunga ndoa hapo?!

Aaliyah: akaona kama ni usiku wa giza, dah haelewi atafanyaje?! Ndio mpenz msomaji nataka kuolewa lakini wazazi wangu hawapo na nimetamani sana wawepo jamaa sasa nafanyaje?
Akamwangalia Baba bonge ambae alijaa mahaba mia mia, akamkubalia sawa na ku smile

Basi baba bonge akafanya yake pale na nene, waka shop for a wedding dress, Aaliyah anafuraha lakini nusu maana angependa sana wazee wake wawepooo

Siku ya siku ikawadia, anarembwa chumbani bwans harusi
Yupo chumba cha pili kakodi kwa siku tu,

Baba bonge akaenda kuwaita wazazi wa Aaliyah akawambia waingie chumba alichokuwa anapambwa Aaliyah

Wakagonga ngo ngo ngo, wakafunguliwa Aaliyah kajaa kwenye kioo akageuka kuwaona ni mama na babake alipigage makelele sasa
Aaaàaaaaaaaaa waaaaa akaenda kuwakumbatia, analia maskini makeup inatoka toka sheedah!

Baada ya dk 10 za kufahamiana na kurukiana na kucheka, akawauliza nani kawaleta.. wakajibu mumeo mtarajiwa wakati anafanya arrangement zako na zetu zinafanyika

Basi furaha mia miasa

Wakadondoka church baada ya nusu saa, baba Aaliyah akamsindikiza Aaliyah mpaka mbele kumkabidhi kwa mzee mwenzake (hihihi mzee mwenzake sounds funny ila atafanyaje sa)

Ndoa ikafungwa pale mabusu kibao....ndoa imefungwa na wageni 4 officially Mr and Mrs Baba Bonge

Wakadondoka honey moon pale pale kwenye chumba chao, wakapigana mechi mpya ktk bwana, Aaliyah amefurahi kuliko maelezo, kwanza hakuamini maana sio kwa kupotezea miaka ile na Mark, kiru! Finally kaolewa miaka 32..

Wakakaa honey moon mwezi mzima, wazazi walishaondoka wiki 1 baada ya harusi
Baada ya mwezi Aaliyah anatapikaaa, Baba Bonge anafuraaaahaaa wakaongeza mwezi wa pili, kwenda kupima ana mimba ya miezi 3 baba bonge kachanganyikiwaaa kwa furahaaa, kazidisha mahaba kwa mke wake Aaliyah!

Aaliyah katika kuwaza waza zake akaamua kufunga kwa maombi anamshukuru Mungu sana kqa kumpatia ndoa akamwambia Mungu amsamehe kwa yote waliopanga na akina Gigi mpaka hapa pamefikia, akatubu, si unajua mjasiri haachi asili yake?!

Akamwahidi Mungu kwa zawadi ya Mume na mtoto/watoto tumboni mwake basi ataacha kazi za akina Gigi punde atakaporudi dar, na moyo alioufunga kwa wanaume wote chini ya jua ataufungua kwa mumewe baba bongee...

Wakarudi Tz, newly weds, wakakaaaa ndio Gigi kumtafuta aaliyah we mwana mbona haupatikani shenz type, matusi kibao, Aaliyah akamwita kwake akamweleza alikuwa vacation ndio wamerudi walifunga ndoa na sasa ana mimba ya miezi 3

Gigi: mamaaaaa jamaaaan we mtoto mbaaaaya tumekufanya
Nini sie mpaka usiende kutuambia tuje jaman mbona umetuchukia namna hio?!

Aaliyah: akajibalaguza pale na tumbo lake buana mambo yalienda fasta fasta nisamehe huku anashika mgongo na tumbo

Gigi: eh we mtoto naona kama umeenda resi hili swala yani umetuvuruga sana sasa dah, Je Best friend akiskia itakuwaje?! Si unamwumiza mwenzio?!

Aaliyah: best friend?!
Ivi nyieee mnanifanya me chizi au?!
Tena namshukuru Mungu amenipa baba bonge, maana nyie sijui mkoje na michezo yenu ya jongooo
Nimekuja kwako Gigi siku flan akaitaja nakukuta unatombwa na Best friend kweli Gigi wewe wa kunifanyia hivi mimi?!

Gigi: kimyaaaa kwanza kashangaaaa, akakataa sio kweli sio kweli

Aaliyah akampa evidence kabisaaa Gigi aibu anaona aibujeeee!

Aaliyah: ndio ivyo sasa kamweleze bwanako Best friend kuwa nimeshaozwa nategemea mtoto kama sio watoto, haya nawatakia maisha mema mimi sijui tena kama nina msaada kwako Gigi au kwa Best Friens msaada wangu umeishia hapa ni mke wa mtu sasa

Gigi: akawa analia anaomba msamaha, aaliyah jaman nisamehe yani nimepitiwaaaaa

Aaliyah: nimeshakusamehe, kaa vizuri na best friend yupo single huenda mkaoana sasa.. mlango ule pale ukiwa tayari wewe nenda me nalala sasa naumwaaa nimejikaza sana dokta kanipa bed rest ya miezi 4

Gigi: akajiliza hapo sijui kweli au uongo au aibu, haya, akainua bambataa yake huyooo ndukiiii kwake

Kufika akampandia hewani Best friens njoo kuna dharuraaaa

Best friend katia timu kwa Gigi, Gigi kamweleza kila kitu gadame, Best friend mkojo ukamtokaaa,

Gigi: nini sasa
Na wewe unajikojolea ovyo kama mgonjwa wa dudu embu tulia bwanaaa, ah

Best friend kapanik machozi yanamtoka, Gigi akainuka kwenda kuchukua mopa na mpini wake kuja anamkuta Best friend kazimiaaaaa, akachokaaa
Akamwinuaaaa kumzoa zoa yeye na mliNzi wake wakamweka kwenye gari mpaka hospital

Akafanyiwa vipimooo, dokta akaja kutoa majibu

Dokta: nani muhusika?!

Gigi: mimi hapa ndo dadake huku anatetemekaa

Dokta: huyu bwana ame recover vizuri ila kuna tatizo moja tu limempataa

Gigi: nini tenaa?!

Dokta: amepata stroke nadhan ni mshtuko ameshtuka sana mpaka amepata stroke

Gigi: akaweka mikono kichwani akawa analiaje sasa?! Kama mwehuuu jamaaan Best friend ka paralise?!
uuuuwi me ntaenda wapi mtoto wa watu maskini



Tuonane ijumaa saa 9 alasiri
 
We mdada endelea kutulisha kama watoto yatima jamani sio vizuri ushatuzoeza kila day kitu na box,tafadhali usifanye hivyo mama.
 
duuh afadhal leo tumepata cha kulalia, maana nilikuwa napita kuchungulia kimya kimya
 
Back
Top Bottom