Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Duh!!!! Nmezunguruka hukooo nikasema namzoom tu penny nikiingia nakuta kitu na box.JAMANI LEO NIMECHOKA SIPO KWA MOOD YA KUANDIKA STORI KABISA
NAOMBA NIILETE KESHO
Duh!!!! Nmezunguruka hukooo nikasema namzoom tu penny nikiingia nakuta kitu na box.JAMANI LEO NIMECHOKA SIPO KWA MOOD YA KUANDIKA STORI KABISA
NAOMBA NIILETE KESHO
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Tulia nikiweka nakuita
Gigi she is a real gaidiNjoo tayar
Duh! Noun +pronoun!!!!Gigi she is a real gaidi
Itabidi tuandamane au tumuombe PENNY atutafutie na sie size zetu loooh.[emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye vibamia tunaumiaje na haya madharau
ha ha haaa shikamoo tarime one[emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye vibamia tunaumiaje na haya madharau
Hebu zilete maana si kwa dharau hizi. Binamu bikra ishatoka tumsaidieZipoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi nikajua watu wa tarime mmebarikiwa nikiikalia inabana na naikatikia frshh ehhhee kumbe ata kukalia haiwezekani duuuu pole [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye vibamia tunaumiaje na haya madharau
All is well,kimalkia kilikuja kwa ndege. Sio lugha yangu ya kwanza. Makosa lazima yawemo.How about
GIGI is a real Gaidi?!
Namna hiyo,kilikuja na ndege na meli. Sio lugha yangu ya kwanza.Duh! Noun +pronoun!!!!