Story: On My High Horses ...

Story: On My High Horses ...

D. I SEE YOU WHEN YOU GET THERE!



GIgi akampandia hewani Aaliyah mama Swallow your pride Best Friend Ameparalyse baada ya kukuambia yaliyokupata

Aaliyah: maskini pole sana jamaaan

Gigi: embu njoo hospital basi tuongee

Aaliyah: nipo best rest remember?! Siwezi nitakuja na mume wangu

Gigi: we Aaliyah kumbe ndo ulivyo ee, hauna hata shukran ni wonder Mark alikuacha

Aaliyah: ndio maana na wewe ulimwuua mumeo stupeeeed kaa leo mlemavu wako mwenyewe shezy, simu akaikata kha!

Gigi ana hasira hana hata hali, akampandia hewani Mark

We mark, hunijui sikujui lakini nimekuta namba yako kwa Best friend amelazwa amepooza yupo aghakhan kuna pesa za matibabu zinahitajika maana sijaona health insurance yake

Mark: uuuwi jaman Best Friend wangu, uuuwi naja naja naja mamaa najaaa

Baada ya dk 20 Mark akadondokaaa akaenda kuskiliza nini kimetokea akaelezwa cha uongo

Oh kuna demu alikuwa anampenda kuskia kaolewa akapaniki akaanza kupumua hawezi ndo kuzimia kuja kushtuka dokta ananiambia amepooza sa sijui ndugu zake wala nini

Mark akampandia hewani mzee na maza yake wakaja pale maza yake na Best friend analia kweli kweli baba mtu haelewi akaelezwa akauliza Gigi amtaje huyo demu

Gigi: hayupo tz anaishi urusi na huyo bwanake usalama wa taifa harudi leo wala kesho ( kha! Gigi kwa uongo ni noma)

Baba wa best friend akachoka basi wakaendelea kuuguza

Gigi akampandia hewani Tausi we hawara ya Best friend, bwanako huku amepooza njoo okota mzoga wako akamtajia na room namba

Baada ya lisaa 1 Tausi akadondoka na dera kama kweli kumbe shenz type
Akajidai pale analia lia nene, Gigi anamwangalia tu shubabti mkubwa anamzoom tu na drama zake

Baadae akamfuata akawa anaongea na Tausi

Tausi: jaman imekuwaje we ni nani

Gigi: me dadake, cousin ya best friend, mamake na Bezt friend ni shangazi yangu, Tausi akakubali

Gigi akaelezea ule ule uongo wake hakosei Tausi akaamini

Basi Tausi akamsahau bwana wake mkubwa wa nchi, kila siku ndo kushinda pale na nene

Gigi akajioa likizo kwa mwezi anakuja mara 4 tena j2 tu si unajua tena cousin sio kila siku lakini tausi hapo kiiila siku yupo na mama Best friend

Baada ya mwezi Best friend akafungua macho, dokta akajaribu atembee akashindwa

Akalazwa tena mwezi wa 2, anapelekwa Chemotherapy, anarudishwa, mwezi wa 3... mwezi wa 4 .. mwezi wa 5... mwezi wa 6 uzuri si insurance inalipa buana kwani tsh ngap?!

Baada ya miezi 6 Aaliyah akawa anajiandaa kujifungua na wala hajawahi kwenda kumwona Best friend kabisaaa
Mwezi huo wa sita na wiki 3 akajifungua watoto mapacha, wakike na kiume

Baba bonge akafurahi sana, kha! Akawaita majina ya marehemu wazazi wake baba bonge, 9 kumi watoto alijifungulia pale pale aghakhan, wazazi wa aaliyah wakaenda kusabahi wajukuu, Aaliyah akaomba uzazi akalelewe kwa wazazi wake sio kwa mumewe na Baba Bonge akakubali
Baada ya siku 4 wakatoka hospital maana Aaliyah alijifungua kawaidaa

Gigi akaskia toka kwa Mark kuwa Aaliyah aliolewa na amejifungua watoto mapacha hapa hapa hospital maana alikutana na wazazi wa Aaliyah wanapeleka msosi kwa aaliyah
Gigi: me sijui chochote wala sijaambiwa kitu mbonaaa!

Mark: ndo ivyo ila Gigi umemjuaje Aaliyah

Gigi: ni cousin yangu mtoto wa mjomba

Mark: oooh basi labda katingwa atakwambia tu, ila haujaniambia umemjuaje Best friend

Gigi: ni cousin yangu mtoto wa shangazi

Mark: kwaiyo best friend na Aaliyah ni ndugu?! Hapana bwana

Gigi: sio
Aaliyah ndugu upande wa baba
Best friend upande wa maza

Mark: oh i see wakaongea paleeee mara dokta akaja na Best friend anatema tu udendaaaa, kawekwa kwa wheel chair anapelekwa chemotherapy mark akasaidia kusukuma Gigi akaaga amepata dharura

Akampandia hewani aaliyah akiwa kwenye gari yake akakuta namba unayopiga haipoo

Gigi: fukc this beyach, akamfuata nyumbani kwa mumewe baba bonge akaambiwa haishi hapa tena wamehama nyumba, akauliza wapi mlinzi akamwabia sijui mimi

Gigi akaenda mpaka kwa mama Aaliyah akashangaa anakatazwa kuingia na mlinzi akajua tu ni Aaliyah na mahasira yake akaondoka kwenda kumtafuta Babu mlinzi akamkuta hayupo bado hajarudi bondeni dah akaona arudi tu kwake akapange tena mbinu mpya maana wapiganaji wake washafeli

Mama Bonge:
Naskia babako amepata watoto mapacha na huyo hawara yake aliemuoa

Bonge: eeeh! Makubwaaa me hata sijui buana kazaa na nani

Mama bonge: some bitch anaitwa aaaliyah!

Bonge akachokaaaa! Mama unasemajeee?! Huku ananyonyesha mwanae Mark the 2nd

Mama bonge: nimekwambia anaitwa Aaliyah, vepee unamjua au?!

Bonge: namjua?!kwani mama wewe ushamsahau Aaliyah?!
Alikuwa bibi wa Mark ukawatenganisha

Mama Bonge: yani nimemuona mara 1
Tuu that bitch!

Bonge: kweli Karma is an alternative Beyaach! Mama Karma imekurudiaaaa?! Akawa anacheka

Mama Bonge: sasa unacheka nini na wewe buana?!

Bonge: aaaah, pole mamangu, ahahahahaha yule ambae ulimwibia mume amekuibia wako?! Makuuubwa kweli Mungu yupo, inakupasa ukatubu dhambi zako zote asee maana huko mbele pabayaaa, tena baba baada ya kuwa na wajukuu anakuwa na watoto, uuuwiiii haya buana bibi wa mapacha umekuwa

Mama Bonge: embu niache mieee me nipo single hata na mie nikitaka kuzaa ntazsa vile vile!

Bonge: akawa anacheka tu huku anamnywesha mwanae maziwa kwa chuchu za chupaaa

Mama bonge akaondoka, akaenda kukaa chumbani kwake, mara simu ikaitaaa kupokea kumbe ni lawyer

Lawyer: mama za masiku

Mama bonge: salama baba

Lawyer: nilipata mzigo wako mama sasa nakukumbushia ile kesi mama ni mwezi ujao uwe tayar kupanda kizimbani na watu wako uwaandae
Pia itabidi wiki ujayo tuonane ili tuwekane sawa jinsi ya kujibu maswali ya mahakama na watu wako pia wanatakiwa waje niwapange wale mashahidi wako

Mama Bonge: sawa babangu asante sana kunikumbushaa simu ikakatwa


Mama bonge akaumizwa kichwa weeee, haelewi itakywaje hana pruv ya kutosha kumweka Gigito shame na kwenye matesooo na kumshinda kesi alioifungua, maana mume ndo huyo kasepa na kimada umri wa mwanae wa mwisho dah sasa nafanyaje maana hata huyu hawara wangu hana hara prove za kutosha

Akawa anawaza na kuwazua akaishia kulalaa

Asubuhi kukakucha Gigi akapigiwa simu na Lawyer wake

Lawyer: mama salama?!

Gigi: salama
Lawyer: sijakuskia
Muda mwanangu vepee! Unajua kuwa kesi yako yaanza kuskilizwa wiki ijayo?! Kuna pesa za kunilipa natakiwa nionane na wewe ili tuweke sawa jinsi utakavyotoa ushahidi pia huu ushahidi wako una nguvu ila nahitaji kuona watetezi wako?!

Hii ndo kesi ya mwisho tupate hukumuu jitahidi uje unione wiki ijayo sawa?!

Gigi: dah baba asante sana kwa kunikumbushaaa! Nilishadahau asante sana sawa naja wiki ijayo simu ikakatwaa

Gigi: dah afadhali kesi ianze maana nishaona dunia chungu sasa nani atanisaidia kesi maana sasa huyu babu mzee keshaingiwa na hurumaaa

Akampandia hewani babu mzee hapatikani dah hii ni noma, akaenda nyumbani kwake akamkuta hajarudi ulizia mlinzi akamwambia atarudi wiki ijayo

Ulizia namba ya simu ya bondeni akapewa akampandia hewani baba baba baba rudi tz haraka kesi mwezi ujao lazima tujipangee me huku mambo yameharibika kabumisaaa hamna msaada nakutegemea wewe tu hapa plz usiniangushee

Babu Mzee: sawa mwanangu nitakuja kabla ya kesi maana huku nishapata kimwana napeleka mahari wiki ijayo naoaaaa kwaiyo nivumilie nitarudi kabla ya kesi

Gigi akachokaaa anajutaaa kwanini alimwambia akaoeee akamjibu kwa unyonge sawa baba hamna neno.

Gigi akarafakariii anaona ushahidi hana na hivi Best Friend kawa zoba na Aaliyah kajifungua akajiona yupo pekeyake akachoka akarudi home kulala

Mchana huo mama bonge akawa spotted kanisani kwa akina Gigi, akaingia ndani ana appointment na Mama mchungaji

Kuingia ndani wakasalimiana hapo wee, wakakumbushiana kumbe ni ma best wa siku nyingii

Mama Bonge: sasa mami
Wangu nina kesi mahakamani nakuhitaji wewe na mumeo mnisaidie kunitetea

Kuna katoto kalikuwa kakwe changu lakn ndo ivyooo tenaaa, ali file kesi mahakamani kunishtaki mimi nifungwee lakini sasa sina ushahidi tosha, akamwagia ubuyu weee

Mama Mchungaji: akachekaaaa we mama bonge acha basi kunitania, huyu gigi unaemsema wewe ni gigi wa hapa kanisani kwangu au?!

Mama Bonge: gigi anasali kwako?! Makubwaa una picha nimwone?!

Mama mchungaji: sina ila kama una picha yake we nipe nitakwambia kama ndie au sio

Mama Bonge: akatoa picha ya mkwewe Gigi

Mama mchungaji: ah ndio huyu mkweo?! Basi anasali hapa lkn mbona ni mke wa mtu, mume wake anaitwa Best friend wana hela sana wanatoa sana wanajitoa kanisani, mume wake si mwanasheria

Mama bonge: heee! Gigi kaolewa?! Iyo mpya na nani?! Best friend?! Hili jina mbona kama sio geni kwangu!? Embu ngoja akampigia mwanae Bonge eti unamjua mtu yeyote anaitwa best friend?

Bonge: si best yake na mume wangu Mark?!

Mama bonge: ah sawa nimemkumbuka, ivi huyu best friend alioa?!

Bonge: noko nit that i know of sijaskia hata kwa mark ila nimeskia ameparalyse juzi kati hapa mark alienda kumcheki hospital na kwao maana amekuwa release siku si nyingi sa sijui kama ameoa ngoja namwuliza mark nakujibu, simu ikakatwa

Mama mchungaji: vepee tenaa kuna shida?!

Mama bonge: nimeshamjua huyo mume unaemwongelea basi kama wanasali hapa ni vizuri, ila huyo mumewe best friend naambiwa ame paralyse yupo kwa wazazi wake kwani hamjui

Mama mchungaji: hapana we ndo unaniambia wala sijaskia
Kabisa

Mama bonge: ndo ivyo mama ndo ivyoo! Sasa turudi kwangu... since unamjua huyu gigi itakuwa poa sana kama uta testify
Kuna kimeo nataka unisaidie ku testify kanisani kuwa gigi ni pretender hajaokoka na unamfahamu vzuri sana

Mama mchungaji: mama bonge hapana iyo ni dhambi kwa Mungu Muumba siwezi fanya ivyo

Mama bonge: tena utamwambia amekuja kuficha makucha yake kwasababu kuna kesi anayo mahakamani ni mtu mbaya na amekiri kwako kuwa amemuua mwanangu yule aliefariki

Mama mchungaji: hapana mama bonge hio mipaka mibaya sasa tunavukaaa

Mama Bonge: utaiambia hivyo iyo mahakama la sivyo nakushtaki na utanilipa pesa zangu nyingi tu

Mama mchungaji: siwezi fanya ivyo na wala usinitishie maisha

Mama Bonge: we mama nadhani haunijui kabisa, me ni israel ninaetembea sijafaaaa, utanilipa fedha zangu zoooote nikikupeleka mahakamani wewe kwa matendo mabaya yote ulionifanyia hili kaniss utalifunga shenzy type, akaingiza mkono kwenye pocho yake akatoa picha za mama mchungaji amelala na mumewe (baba bonge) akamchana live nitakufunga na utanilipia fidia wewe ndio umesababisha me na mume wangu tumeacha,

Pia picha hizi za mumeo ametembea na kila mtu mpaka Gigi unaemwona malaika

Mama mchungaji akatoa machooo, kweli mama bonge mafiaaa mpaka picha za gigi na mumewangu anazo, najua nilikuwa na suspect lakini hii ni tooo muuuch

Mama Bonge akatoa picha za mama mchungai na Best friend wakati wanatombana hapo kanisani, wanatombana hotelini, mama mchungaji akachokaaaaa! Kweli nimemkubali mama Bonge mafiaa
Mama Bonge: akatoa picha za mama mchungaji na wanaume aliolala nao mtaani, aliolala nao pale kanisaaa wazee wa kanisaaa kha! Aibuuu
Nikizipeleka hizi mahakamani kanisa lafungwaaaa sasa unasemaje?@uta testify agaisnt your lil angel au?!
Ni bora kumkosa mtu mmoja ili uokoe maelfu ya kanisa lako, hata mafarisayo walimtoa Yesu kuokoa kanisa zima

Mama mchungaji: kwaiyo mama bonge unajua scriptures skuhizi sio?

Mama Bonge: usipotestify ntakuweka pabaya me ni israel ninaetembea nakwambia utaniona mwanga na mchungu Tz utahama kama hautalala hela na mumeo namchukua mimi

Mama mchungaji: mchukua hata sasa ndio maana umeachwa na mumeo shenz kabisa

Mama bonge: mimi sina cha ku loose, nina wajukuu 4, nina pesa na mali kibao, wewe una nini?! Watoto wako wapo wanasomaaa tukifunga kanisa hao watoto wanakuws machokoraaa wanaenda kusoma elimu ya serikali kwa msaada, tena ntakuweka pabaya, endelea kunitukana

Sasa kama nilivyokwambia, j5 wiki ijayo address hii ni ya lawyer wangu na simu yake nenda kamwone, tafuta evidence zooote za gigi mbaya na nzuri mpelekee atakuelezea jinsi ya kufanya na kuongea mahakamani
La sivyo huu mwezi utauona mchunguuu

Mama Bonge akaondoka akabamiza mlango

Mama mchungaji akabakia mdomo wazi ameduwaa hajui anafanyaje

Aaliyah buana mtu wa surprise, akamwibukia Best friend kwaooo, akawakuta wazazi wake nene akaongea nao fastaa akamwona mgonjwa

Best friend kumwona Aaliyah analia tuuu! Machozi yanamtokaa

Aaliyah: best friend jaman pole, nisamehe i did what i had to do nimekufumania sasa na Gigi you leave me no choice, wazazi wa Best friend walatoka nje hawakuelewa ni nini

Aaliyah akaongea weee akaongeaaa akaongeaaa Best friend anatoa machozi, Aaliyah akamkumbatia amamchumu mashavuni akamchumu mdomoni, good bye Best friend get well soon akaondoka

Best friend: akatoa machozi pale wazazi wakaja wakampeti peti usijali Mungu yupo atakusaidia utapata mwengine,

Best friend akanyamaza akawa calm kabisa na nene, baada ya siku 3 Gigi anapigiwa simu mama Bezt friend analia, Best friend amefariki

Gigi hakuelewa akadondoka kwa mamake Best friend maiti ipo mochwarii alilia gigi jaman kama mtoto mdogo utadhani amemzaa best friend
Akamwuliza mama nene tena mbaya akaambiwa 3 days ago alikuja aaliyah akaongea nae akawa anatoa machozi, baadae akaonekana kuchangamka lakini baada ya siku 3 akafa usingizini kapelekwa hospital dokta anasema ilikuwa stroke amewaza sana tukajua labda aaliyah kamweleza kibaya kumbe walaa ni maneno ya kawaida yule binti alimweleza kwanini aliolewa na huyo alieolewa nae, maana tuliskiliza maongezi kwa cctv camera yetu hakuna baya alilomwambia wala kumpa

Gigi akachokaaaa: akampandia hewani Aaliyah hapatikani, akaona ngoja wamalize msiba kwanza
Msiba ukakaa siku 3 watu kibaooo wakaja akina Mark akina Tausi wanalia hawaami i maskini Best friend kama utaniiii, hadi Mama mchungaji wa kanisani nae kajaaaaa chezeiya fake lawyer, badae wakazika makaburi ya kinondoni, watu wakaondoka lakini Gigi hakuondoka, akabakia kwenye kaburi analia tu analia tu haelewi imekuwaje Best friend jamaaan umeondoka umetuacha na wazazi wako tunakutegemeaa kwanini lakini Best friend kwanini yu matha fanta yu embisil yu moron yu low class low ass man katukana weee alipomaliza hasira yake akaondoka kurudi nyumbani kwake Best fridn is no more, the show is over



Tuonane jumamosi saa 3 Usiku
 
E. I Vacationed in Hell



Baada ya msiba na wiki ikapita maana Gigi aliomba udhuru kwa lawyer wake, akapata simu kwa Mama mchungaji asijue hili wala lile akaambiwa aende kanisani,

Gigi: me bado nipo kwenye wiki na morn mume wangu hata 40 sijamaliza siwezi kabisa nipo kwa wazazi

Mama mchungaji: mama me sio type ya kuchezwa huyo marehemu sio bwanako wala nini, mmekuja kanisan kwangu kunizunguka na Mungu kawalaani ndio maana kamwondoa shenz kabisa

Gigi: akabonyeza record kwenye simu yake, mama kwani tatizo nini tena mbona wanizidishia machungu jamaaa?

Mama mchungaji: unajua usenge na washenz kama wewe huwa sipend kabisa ukitaka uwe nausalama hapa Tz ujisalimishe kwa pilato mwenyewe

Gigi: mama nadhano haujanielewa me siji nipo kwenye 40 ya mume wangu mpaka miezi 2 ipite ntakuja kukuona otherwise njoo wewe si unapajua nyumbani?! Njoo, kuja kuniona ni moja ya huduma pia

Mama mchungaji: akakata simu

Gigi: akawa anawaza kuna nini mbona maza leo kageuka mbogo?! Nikienda nita prove kuwa ni weak nikikaa nitaonyesha uimara wangu na u serious lkn maza kuna maneno kaongea sijaelew embu ngoja ni switch antena alizowekaga marehemu best friend

Kuja kufungua mama mamaa mama mama kumbe mama bonge alishaenda kumlisha tango pori, kamtishia mineno akawa anairekodi ile convo yoteeee, akashtuka na hivi best friend hayupo akaona vita anaicheza mwenyewee kesi yenyewe hii imebakia wiki 3 tuingie mahakaman sasa afanyaje

Akamcheki babu mzee bado anakula raha akamtonya best kafariki babu mzee hajashtuka me nipo na mke wangu
Kurudi tena tz sahau huyu kimwana amenichanganya sana sana sana

Gigi: akaona isiwe shida huyu baba naona kaamua kunitelekeza

Basi nipe zile evidence basi za Vera mama bonge

Babu Mzee: haloo haloo halooo sikuskii unakatika haloooo simu ikakatwa

Gigi: huyu ananiletea michezo ya kikale hajua me mwenyewe wa kale ngoja nikamfanyie umafia kwake ataisoma namba

Jioni saa 12 nanusu akatia timu kama jambazi nyumbani kwa Babu Mzee mlinzi akawa amekaa akasubiri asinzie sinzie akaondoka, ikafika saa 3 akarudi kumkuta amejilaza kwenye kiti chake akamchoma sindano kwa nguvu paaa akaingiza maji akachomoa fasta, mlinzi kushtuka anaskia kitu kimemchoma sana lkn hakionii, akasmama kuangalia mazingira shwaaari akarudi kukaa akajikunyata hapo inaenda 4 usiku mlinzi akazama usingizini Gigi akaingia kama komando yoso akafunga gate vzuri sana
akaingia home kwa Babu mzee akaziua ua cctv camera toa kila kitu zima kila kitu, mpaka anamaliza ilo zoezi hapo saa 6 usiku

Akaingia bedroom yake akaanza pekua pekua na wewe pekua pekua kila kitu akakutana na ile cd aliokuwa anam blackmail mama bonge mpaka akakubali kutoa talaka, pekua kila kitu kipo safi on mama bonge's favor, pekua pekua nyumba nzima hajapata kitu akamind, saa 9 usiku akasema ngoja nilale kidogo, akashtuka saa 11 azana ya waislam akaondoka amemwacha mlinzi kazimaaa anauchapa kiroho mbaya sio kitoto

Akawa amekaa anatunga tu sheria akaona hii kesi akishindwa hatopata uhuru wake akaondoka akaenda zake mpaka kwa lawyer, akaskiliza kwanza lawyer vepe? Lawyer akamwambia mama tupo pabaya gather all your information haraka kesi inekaribiaaa
Gigi akaondoka kwa lawyer helpless hapo keshajambishwa jambishwa kuwa ataloose kesi akarudi nyumbani kutafakari akakumbuka chalii yake ali offer kumsaidia mpaka mauti akajivisha kama bibi wa kizenji akadondoka zenji full mass nondo pemba moja
Akatua kwenye koroboi baya baya, akaingia katembea akatokea mpaka baharini, kha kweli Gigi kaamua maana kuna ka mwendo toka koroboini mpaka kwa huyo best yake. Ni umbali kama toka mwenge mpaka morocco, ilo ni zoez tosha.. Kufika anamkuta rafkiake amekaa anapunga upepo kifua wazi. Akamwita Marioon
Marion: kageuka, oh my good Gigi my love umekuja?
Wakakumbatiana my Gigi umepotea sana
Gigi: nimefika rafiki
Marion: how r u, unaomekana mpweke sana vepee!
Gigi: not good Marion hali mbaya sana na sijui kama nitaondoka nchini
Marion: nilikwambia my love, yule mama mafia, nilikwambia usishindane na mama wa kimachame atakuua, usinge fail kesi yako ungechukua hela alizokuofa
Gigi: lakini mauti ya babangu inaniuma, ckuweza kuondoka kiboya boya kama defeated ass, noo
Marion: basi nambie nini wataka
Gigi: kushinda kesi na kuondoka nchini vzuri, nataka nikakae marekani for good
Marion: plan yako ipoje
Gigi: akamwelezea wee wakaingia kazini,
In a mean time...

Mama bonge akampandia hewani mamchungaji, mbona haujaja kwa lawyer
Mamchungaj: akakata simu
Mama bonge: ah hanijui ee, ngoja nimwonyeshe show zangu
Ikafika j2, mama mchungaj na mumewe wanajiandaa kutoka kuwahi ibada ya kwanza, dereva hayupo, simu hapatikani, wakaondoka kwenye gar kuwasha haiwaki, wakaenda kwenye gar ingine ikawaka, matairi 2 flat tire, dah kuangalia saa saa 1 kasoro 5 asbh, kumpigia simu mchgj msaidiz hapatikan, basi wakaona watembee mpaka kwenye taxi dk 20 wakapata kufika church saa 2 kamili asbh kuingia ndan wanamkuta dereva anasifu anaabudu wanashangaa, mchgj msaidiz nae buzy anaongoza ibada watu wanaomba
Ibada ikaisha wakamwita dereva vepe mbona haujatufuata
Dereva: nilipata sms ya mama kuwa nisije mtakuja wenyewe, akawaonyesha. Mamchungaj anashangaa me cjatuma jamaa, mumewe na dereva wanamshangaa, huyu vepe mzima kweli? mamchungaj anakomaa sijatuma cjatuma.
Wakamwacha, wakarudi hm saa 10 jion mlinz hayupo alafu nyumba inawaka moto upande m1
Wakaita majiran wakabomoa geti bomoa mlango wakamwagia mchanga, maji mpaka wakaumaliza.. Wanashangaa tuu shetwain wa j2 vepee?
Wakalala ivo ivo, asbh wanapigiwa simu kanisa laungua mama, tunazima hapa unashindikanika, mamchungaj kahaha anamwambia mmewe waende hawana gar wakapigia tax hapatikani, wanapiga kwa mtoa taarifa hapatikan, wakachukua tax mpaka church kufika hamna cha moto wala nini, wakamwuliza muhusika aliepiga simu hamna hajapiga simu yangu ilikufa nina mwez wa 3 sina simu, mamchungaj akaanza kushangaa, mumewe anamwuliza vepe mama unakuwa mgonjwa skuiz au
Mamchungj anashangaa me sio mgonjwa nimesema kweli jaman, wakaamua wampumzishe home
Akalala siku ya 1 ya 2 mumewe anamfuata mke wangu kuna kesi inakuja tuiskize, wakaja waleta kesi mama m1 anamshtak mama mchgj ametembea na mumewe akatoa picha zile zile alizoonyesha mama bonge. Bamchungaj anashangaa mkewangu aibu gan mama mlalamikaji analia anatukana me nateseka kwa mumewangu we unakula raha nyama wee, me naondoka ila Mungu atalipa akaondoka.
Mamchungaj akamkumbuka mama bonge akajikausha, siku akawa anaenda sokoni na dereva kufika sokoni ananunua vitu akaja kichaa na fimbo akampiga kichwani mgongoni began usoni mama analia watu hawamsaidii wanamwangalia tu, bdae dereva anaona mbona makelele akafunga gar akaenda kumcheka bimkubwa anavuja damu kambeba hospital moja akalazwa. Mumewe akaja kumsabahi akamwuliza hajibu, akaondoka, usiku saa 6 akaingia mama bonge, akawa anamshangaa ameingiaje, akamsalimia pale
Mama mchungaj: unafanya nini hapa? Nani kakuingiza muda huu?
Mama bonge: umenisoma sasa ee? Ndo ushanielewa au bado?
Mama mchungaj: mwuaji mkubwa
Mama bonge: hata sasa naweza chomoa mipira ukafa, usicheze na mimi
Mama mchungaj: jaribu uone nabonyeza emmergency
Mama bonge: bonyeza tuone kama inafanya kazi,
Mamchungaj akabonyeza pale hamna kitu
Mabonge: sasa nakuua hapa hapa, amua utanisaidia au la?
Mamchungaj: akanyamaza
Mabonge: amua, akatoa mkasi, nikate mpira niache?
Mamchungaji: go to hell
Mama bonge: i vacationed in there
Akakata mpira wa mamchungaj wa upumuaji , mamchungaj akawa anahaha kupumua
Mama bonge: i'll see u in hell moron, akamfunika na mto akawa anahangaika kupumua mpaka akakata roho, mama bonge akaondoka amemwacha mama mchungaj is no more
Asbh bamchungaj akapigiwa simu kuwa mamchungaj hatunae, amefariki usiku, alichomoa waya wa upumuaji maana tumecheki cctv zote hamna mtu alieingia ndani kimdhuru kabisaaa,poleni sana baba mchungaji sisi tumechunguza tumeona kuwa mkeo
amejiua kwa kudhamiria
Dah bamchungaj akalia wee kama mtoto mdogo, wakaja wazee wa kanisa baada ya masaa 5 kumsabahi.

Siku ya mazishi mama bonge akaendaa, kama stranger makaburini kakaa mbaliii, anazoom na mpenz wake mpyaa wa miaka mingi

Msoma taarifa za marehemu anasoma: marehemu alianza ku behave ajabu ajabu these last few days, mara atuambie kanisa limeungua mara anatumia watu sms kuwa wasije kutuchukua mara katembea na mume wa mtu mke kaja kulalamika ila ktk uchunguzi tulidhan yule mana amemdhuru ila imeonekana yule mama tangu atoke pale nyumbani alirudi kijijini kuuguza mamake na polisi ime prove hivyo!
Akaenda sokoni akaanza kupigwa na kichaa hatukuelewa kuna nini, akafikishwa hospital kwa mahututi ya kupigwa ndipo hapo mama mchungaj akajiua akiwa hospital ICU

Watu msibani wanaangaliana, hawaelewi hili movie vepee?!



Tuonane j2 saa 3 usiku
Kanisani kumenogaaaa
 
CHAPTER 1



" I can't believe that Mark married that fatty bitch .. how could he?!, after all that we've been thru he chose her!?
That sun of a bit, huku anagonga meza, kwanza
Mwanamke mwenyewe amekaa kama michellin jaman! Hana kiuno hana shingo yani shapeless

This is not fare, life ain't fare! Why Lord whyyyyy?!
Mimi sio mtu mbaya ujue Mungu?! Me mbona nakupenda sana kwanini umeniamua kunitesa namna hii?
OMG! Huku analia, mama yake anambembeleza

Mama: basi mwanangu acha tu huenda hakuwa wa kwako Mungu amekuepushia

Aaliyah: Mungu asingeruhusu tukae miaka 9 kwenye mahusiano kama hakutaka niwe nae, sijawahi hata kumfuania Mark kwa sms, simu, picha, inbox za social medias,sasa imekuwaje!?
Au amelogwa na huyo michellini?!
This is not fare mama not fare at all, huku analia kama chizi amejilaza kwenye kitanda chake

Mama: akawa anambembeleza tu hush hush my daughter, akapanda kitandani akamkumbatia, wote wakawa wanalia mama anambembeleza mwanae"


Ivi lakini miaka 9 mingi jaman! Yani unamwacha mwanaume anakuburuza mwaka 1 ... 2.... 3.... 4.... 5.... 6....7...8 ....9 afu anakuja kuoaaa ndani ya miezi michache khaaa! Wanawake sisi tumeumbwa kipekee gadame... kama Mbinguni kuna special previlage basi wanawake wanachukua gold medal

Embu me nisiwe mbea sana niendelee na stori yetu


2 months before the wedding

A. PARIS

Mark: mpenz nakupenda sana, nakupenda kuliko neno nakupenda lilivyo, nakupenda to the moon and back, mapenzi yangu kwako nimefika on cloud 9, nakupenda to infinity

Aaliyah: i love you too darling, you are the best thing ever happen to me, 9yrs ni kama nimekufahamu jana, mapenz yangu kwako hayachujuki wala kufubaa wala kuoza wala kunuka wala kuchachaa, wewe ni halichachi wangu! You are my forever best friend

Waka kiss kiss kiss ika turn into romance romance turn into mechi kwenye balcony ya chumba chao nchi ya Paris

Na ahadi za mechini si unazijua tena game likikoleaaaa, mwanaume anatoa ahadi kibaaaaaooo i will never leave you or forsake you, your my hero i love you forever, i will marry you!

Aaliyah akaidaka kichwani akijua soon njema Mark ata propose maana ishakuwa
9yrs tena, mapenz yao yalianza high school mpaka chuo wakamaliza mpaka wameanza na kazi wamekuwa promoted wapo kama bolt na nati, hawaachani wakaamua kuchukua vacation pamoja kwenda Paris,

Wakakaa wiki 2 Mark hana dalili ya ku proposeee, kama ni surprise basi Mark anatoa surprise za maua mekundu, meupee labda anamdanganyia na diamond rings au neckless au barcelet au watches za bei ghali lakini hakuna ring!

Aaliyah akawa ameshaanza kuwa na wasiwasi huenda amezeeka au Mark amemchookaaa hata hakuelewa kuna shida gani

Aaliyah: Mark is a huge successfull man in Tz, kinachomfanya asioe ni nini?!me nimekaa nae miaka 9 sijawahi hata kumfumania kwa sms wala simu wala live akiwa na mwanamke m
wengine,
Sidhani kama ana uhuni wa kijinga sidhani pia kama ni ****** maana dozi nazopewa sio za kitoto kila siku nabadilishiwa mastaili
Why oh why lord hanioi?!
Am fckuing 30 yrs old, am not getting any younger you know, all my friends are married na wana watoto wa 2 mimi tuuuu jaman au nimelogwa mbona nasali sana jaman a committed church member wapi nakosea?!
Sijawahi hata kumtukana huyu mwanaume tusi lolote tangu nimemfahamu hajawahi kuniskia nimemwita mjinga, mshenz, fala, pumbavu, ****** yani hata kumsonya hajawahi kuskia nikinuna nikikasirika nazima simu taratibu nalala kitandani nalia weee hasira ziiishe lakini sasa nahisi ntakufaaa nahisi kupasukaaa volcano yangu inataka ku erupt i cant take it anymore, but now kasema anataka kunioa may be ni kweli ngoja nivumilie
aaliyah anamawazo hayo wakati Mark anampiga dyu dyu .. mwe mwanawake kwa kufikisha badala ya kuskia utamu unawaza why hakuoi?! Kiru

Siku moja wapo njiani wanazunguka madukani Paris wanafanya shppping wakiwa wanaingia kwenye duka wakapishana na demu m1 bongeeee mweusiii shapelesss yani michellin on fleek, wakaingia zao ndani ila Mark alikuwa na jicho la 3 kuhusu huyo demu

Mark: duh huyu dada bonge sana, kha! Kazi ipo mwanamke kama yule si afanye tu mazoezi aende gym unene ule mbaya sana mpenz

Aaliyah: yah nimemuona maskini probably anaumwaa!, ah tuachane na hayo mpenz tuendelee na ya kwetu sawa darling?!

Mark: sawa! Huku anamwangalia yule bonge anavyoishia

Baada ya wiki 1 love birds wakarudi Tz, kuendelea na kazi na maisha

All lovey dovey mubashara kwenda mbele, mapenz yakaongezeka hamna alieonekana amepunguza mapenz kwa mwenzake

1 months before the wedding

Tausi: darling, next month kuna harusi ya rafkiangu anaolewaaa! Naomba unisundikizee

Aaliyah: ah naji huyo tena maana isije ukawa unaolewa wewe

Tausi: ah shogangu me bado sana ngoja nile kwanza ujana, kuna shogangu m1 huyo bwana kani surprise ni boooonge la booongeeee! Yani bongeee sijui nikufananishie nini eti kapata bwana like last months walikutana huko Paris

Aaliyah: ah! Okay hongera zao Paris a city of love she's lucky!

Tausi: basi bwana akaniambia huyo kaka walikutana kwenye duka la nguo then bdae wakaja kukutana tena night club! Wakasalimiana wakanywaa wakalaa wakaenda mziki wakachezaaa wakanywaaaa wakanywaaa mpakaaaa kuja kushtuka asbh hawana nguo wapo kwenye chumba cha shogangu walisha du zaman tena bila condom!

Eh! Basi yule kaka akaaga anasema mama yake yupo hospital anaenda kumwona akaondoka hata hawajapeana mawasilianooo!

Hawakuonana tena mpaka waliporudi tz wakaja kukutana bank, hapo Crdb holland house posta mpya, wakasalimiana wanakumbukana wakabadilishana no!

Tangu pale ni mechi za hapa na pale bila kinga

Aaliyah: bila kinga?! kha!
Huyu bonge anajipenda au ndo desperation?

Tausi: me nilimwuliza swali hilo hilo akasema yule bwana alimwambia condom ya nini?! Bonge akakomaaa wakaenda kupima wote hawana wakaona waendeleze kavu kavu, kavu ikawa kavu mpaka bonge akapata mimba hapa nakeambia bonge ana mimba ya miezi 2, mwanaume amechanganyikiwaa
Kusikia bonge ana mimba ... 3 weeks ago huyo bwana akamwita bonge Kempinski akamnunulia lunch zile za j2 after church wanaziitaje sijui wamemaliza kula mwanaume ana propose waaaaa will u marry me bonge hakuaminiii! Akaona fairy tale imemuangukiaaa gadame! Akafurahi basi kulikuwa na band inapigwa pale ni full nderemo na vifijooo! Bonge ndo akawa proposed with 7 karat with diamond ring!

Aaliyah: kha! Gadame! Bonge ana bahati balaaa! Tena iyo pete naipendaje sasa?! Uuuwi i wish for her jamaan

Tausi: ndo ivyo next month harusi tena ya watu wachache kama 30 tu wazazi wa mwanaume na mwanamke na marafiki wa karibu, bkoz bonge hataki azae anataka watoto wazaliwe ndani ya ndoaaa! ila me bestito nimepewa card 2 naomba plz plz plz unisindikizeee

Aaliyah: ok u just keep me posted 1 week b4 ntakusindikizaaa nikaone iyo fairy tale wedding.. wakaongea weee baadae kila mtu akajikataa kivyake!

Usiku Mark akakutana na mpenz wake Aaliyah


Mark: babe kesho nasafiri kikazi naenda Arusha, kuna kikao na mkurugenz wetu na shareholdees wa kampuni yetu, kurudi after 3 weeks nimeskia tetesi wanataka kunifanya partner wa kampuni yao, i guess bonus na mshahara vitapanda and stuff
Bonus napewa nyumba, gari, fuel, 13th cheque kama kawa na kama nitapata watoto watasomeshwa UK, so we better hurry up kwenye kupata watoto i think we should get married

Aaliyah: oh jaman! hongera sana na mabusu kibaooo!
I think we should get married!
Jamaan me ofisini nimebanwa sasa hivi nikipata nafasi nitachomoka weekend moja nije kukuona!
I love you!

Mark: i love you more!

Aaliyah: hongera sana sana sana i envy u

The Wedding Day:

Mark: amefurahi yupo saloon na best man wake na best friend wake

Best friend akamvuta mark pembeni, we Mark unamwoa nani tena?! Aaliyah a?

Mark: sssshhhhh! Nooo not Aaaliyah! Kuna demu mmoja bonge ndo namuoaaa!

Best friend: how?! What happen na Aaliyah?!

Mark: shit went down akaondokaaa! Na unajua no man is an island i was drunk my ass off nikaja kukutana na huyu baby mama wangu tukalala, it was a one night stand ambayo ili turn into pregnancy! (Mark ni Proffessional lier wapenz wasomaji ila twende nae mdogo mdogo tuone mbio zake zinaishia wap)

Best friend: oh my God! Sasa Aaliyah anajua unaoa leo?!

Mark: hajui maana alikataa nisiwasiliana nae

Best friend: something is not right but hey! Ni maisha yako haya! You did the right thing kwa kumuoa huyu dada mlee sasa watoto hongera, unakuwa baba soon ndicho ambacho ulikuwa unakitaka siku zote!

Mark: namshukuru Mungu kwakweli

Best Friend: i hope your right but bado sina amani na hili dwala la Aaliyah! Sijui kwanini roho yangu inaniuma sana tangu umeniambia haumuoi aaliyah nyie watu mmetoka mbali sana mnajua?! 9yrd haiwezi kutupwa kapuni kirahisi namna hii

Mark: relax man Aaliyah nime put up nae sana nimemvumilia sana ila i guess Mungu alizuia sa sijui bwana nimechoka

Best friend: du! Haya bwana kama umeamua hivyo me siwezi kukuingilia wala kukuzuilia, your happiness counts! Hongera sana kwa mtoto ana miezi mingap shemej

Mark: 2 tu

Best friend: mmmh hongera sana haya vaa hili koti tuwahi kanisani

Harusi ikafungwaaaa!

Officially Mr and Mrs Mark!

Watu kanisani wapo 15 tu wakajongea ukumbini Double Tree hill by Hilton
Sherehe ikaanza wageni waalikwa wakaingiaaa wamependezajeee executive 1st class wedding!

Ilipendezaje wapiga picha kibaoooo makamera makubwaaa kama ya BBC!

Tausi na Aaliyah wakaingiaaa dah harusi Nzuri hiooo wakakaribishwa wakakaa nyuma nyima si unajua masista duu tena hawapeend kukaa mbele kama wachungaji.. wao wanazum tu toka nyuma!

Baada ya nusu saa maharusi wakaingia ndani, Mc akawakaribisha ikabidi wasimame, maharusi wanaingia Aaliyaj akapigiwa simu na mama yake, akageuka pembeni maharusi wakapitaaa hakuwaonaaa, walipopita yeye akatoka nje kuskiliza simu, akamwambia Tausi nakuja mama amenipigiaaa

Akaenda kuongea na simu mvua inanyeshaaaajeee sasa hawasikilizani

Mama on the phone: uko wapi mwanangu

Aaliyah: nipo kwenye harusi ya rafkiake Tausi hapa Double Tree hill by Hilton

Mama on the phone: mami ondoka hapo tafadhali

Aaliyah: mama sikuskii unakatika katika jama mtandao naonaa unasumbuaaa

Mama on the phone: hunny ondoka hapo rudi nyumbani

Aaliyah: niondoke kuna nini tena mama?!

Mama on the phone: Mark anaoa leo haujaskia

Aaliyah: mama skuskii jamaa unakatika katika, Mark kafanyaje? Halooo halooo halooo

Mama on the phone: Mark anaoa leo anaoa hapo hapo double tree hill ondoka hapo plz njoo nyumbani, umeskia mwanangu?! Haloo halooo haloo akaangalia simu imeshakataa

Aaliyah: ah mama nae msumbufu simu yangu ishazima hata sijamwelewa anasema mark sijui kafanyaje embu ngoja nikamuazime simu
Tausi nimpigie
Akarudi ndani anakuta watu wanachezaa mziki na maharusii!
Kumcheki Tausi yupo mbele anaserebukaje mziki wa diamond platnums! Kiru!

Akakaa kwenye kiti ila roho inamsukuma aende mbele akachezeeee! Akachukua pochi yake akamfuata Tausi kufika anamkuta Tausi anacheza na Bonge akimwangalia vzuri sura ya bonge sio ngeni kwake akamfuataaaa Tausi,

Tausi: eh bora umekuja nikutambulishe rafkiangu Bongee wakasalimiana pale

Aaliyah: hongera sana harusi yako nzuri mno umependeza sana!

Bonge: asante sana, oh My husband huyu hapa ngoja awasalimie kabla hamjakaa Mark njoo
Mark akaja buana

Bonge: jaman huyu ndio mume wangu Mark!

Aaliyah: akashtukaaa kama amepigwa risasi kifuani! Akahisi miguu imekufa ganzi akamshikilia tausi akapata na kichefuchefu akawa anataka kutapika akajizuiaaa

Mark: makavuuuu mkavuuu usoni akawasalimia mambo warembo salama?!

Tausi: salama shemeji hongera sana, mmependeza sana

Mark: asante sana

Tausi: shemeji huyu rafkiangu anaitwa Aaliyah

Mark: oh! Mambo Aaliyah?! Akampa mkono!

Aaliyah: akatoa mkono mdomoni ampe Mark akamtapikia buuuuuuuwaaaaah! Kwenye suit yake, akazidi kutapika Tausi akaomba radhi akamwondoa akampeleka kukaa

Aaliyah aliliaaaa, aliliaaaaa wageni wanamshangaa ikabidi Tausi amtoe ampeleke nje ya holi akakaa nae reception analiaaa Tausi haelewi analia nini!

Bonge anashangaa imekuwjae tena, huku anamsafisha suit mumewe akaja best friend wa Mark akamchukua Mark mpaka washroom

Best friend: imekuwaje mzee mbona aaliyah kaja?!

Mark: amepaniki hata sijui
Sijui nani kamtonya au yule demu Tausi?!

Best Friend: kwani unamjua Tausi

Mark: hapana nimetambulishwa yule Tausi na mke wangu Bongee ni rafkiake sana

Best friend: sasa utafanyaje?! U have to play cool kama haujaona kitu au haujui kitu ngoja niende kumcheki Aaliyah nje niongee nae mara akaingia bi harusi

Bonge: are you alright mume wangu? Huku anampulizia perfume kwenye shati koti akalitoa akamvalisha lengine

Mark: am fine darling asante sana wakaondoka haooo mpaka kwenye sherehe

Tausi: sasa Aaliyah unalia kisa umemtapikia bwana harusi embu acha utoto na wewe

Aaliyah: plz naomba niache kwanza we nenda kwenye sherehe nipate upepo kwanza then ntakucheki tuondoke ok

Tausi akarudi ndani akameacha Aaliyah yupo nje analia na kujifuta machozii

Mara akatokea best friend wa Mark:

Best friend: Aaliyah

Aaliyah: akamwangaliaaaaa akawa analia

Best friend akaenda kumkumbatia Aaliyah, maskini aaliyah analiaaa haelewi anaona kama ni ndotoooo! Why why jaman Mark amenifanyia hivi jaman amenidanganya anaenda kikaz arusha kumbe anaoa? Kama sio Mungu me nisingekuja hapa huyu Tausi amenikmba sama nimsindikize ila leo njiani wakati nakuja roho inaniuma sana sikumwambia tu nikaona nimemuahidi namsindikiza ndio nakutana na haya

Akajinyofoa kwa Best friend akamzaba kibao

Aaliyah: ulijua kuwa anaoa sio?!

Best friend: hapana me kaniambia jana njoo naoa hata sikuuliza nikajua anakuoa wewe kuja ananimbia leo anaoa mtu mwengine nikakupandia hewani haupooo nikaamua kumpigia mama yako kumweleza kwani hajakwambia mama yako?!

Aaliyah: oh my gaaaaad! Amenipigia tukawa hatuelewani maskini! Nilikuwa nimeshafika ukumbini ila sikumwona Mark wakati wanaingia

Nitafanyaje sasa mimi, miaka 9 ya mahusiano na Mark anaishia kumuoa mtu ndani ya miezi 3

Best friend: ameniambia ni mjamzitooo!

Aaliyah: kwaiyo hajanioa mini kwasababu sijamzalia au?! Angekuwa na shida ya mtoto si angeniambia me nameza mavidonge najilinda jaman wanaume jamaaan me hata sijui nawafanyaje huku analia

Best friend nae yumoooo, eeeh! Kesi ya nyani best friend anakumbatiaaa tuuuu! Aaliyah analiaaaaa analiaaaa kwenye kifua cha best friend

Best friend: aaliyah mama we nyamaza naomba nikurudishe nyumbani tafadhali, tuondokeee wakaondoka haooo
Njia nzima aaliyah analiaaa Best friend ameongea maneno mazuri ya busaraaa ya kumtia moyooo ya kiMunguuu lakini aaliyah hakuwepo ulimwengu huu wa duniaaa hiii, alikuwa ahera kama sio Mbinguni kwaiyo hata hakuskia Best friend ameongea nini!

Kufika nyumbani akamshusha mama aaliyah akaja kumchukua mwanae kwenye gari mvua inanyeshaaa mama katoka bila mwamvuliiii, anambembeleza mtoto wanatembea huku wanalowanaaa best friend anaskitika lkn atafanyaje akarudi zake ukumbini akamwambia Tausi Aaliyah nimeshamrudisha kwao alikuwa analia sana so usimtafute, best friend akaendelea na sherehe ya Mark na Bongeee

Aaliyah: jaman me hata siamini Mama siamini kabisaaa

Aalafu bi harusi mwenyewe mama tulikutanaga nae Paris kibooonge shapeless, akawa anamsema vbaya kumbe wanajuana i bet hata kuja paris alikuwa amemlipia uuuwi mama nitaenda wap na miaka yangu 30 nimekataa wanaume wooote for Mark Mama hata sijui nafanyaje sijui nitaenda wapi?!

I can't believe that Mark marries that bitch .. how could he?!, after all that we've been thru he chose her!?


That sun of a bitch, huku anagonga meza, kwanza
Mwanamke mwenyewe amekaa kama michellin jaman! Hana kiuno hana shingo yani shapeless

This is not fare, life ain't fare! Why Lord whyyyyy?!
Mimi sio mtu mbaya ujue Mungu?! Me mbona nakupenda sana kwanini umeniamua kunitesa namna hii?
OMG! Huku analia, mama yake anambembeleza

Mama: basi mwanangu acha tu huenda hakuwa wa kwako Mungu amekuepushia

Aaliyah: Mungu asingeruhusu tukae miaka 9 kwenye mahusiano kama hakutaka niwe nae, sijawahi hata kumfuania Mark kwa sms, simu, picha, inbox za social medias,sasa imekuwaje!?
Au amelogwa na huyo michellini?!
This is not fare mama not fare at all, huku analia kama chizi amejilaza kwenye kitanda chake

Mama: akawa anambembeleza tu hush hush my daughter, akapanda kitandani akamkumbatia, wote wakawa wanalia mama anambembeleza mwanae ...



Tuonane j3 saa 9 alasiri

Mama Bonge konyoo kabisa
 
Back
Top Bottom