Story: On My High Horses ...

Story: On My High Horses ...

Achana nae buana Penny,uncircumcised baboon huyo..kwani hujui kma watu wengine wana vurugwa na maisha huko nje wanakuja kutibua mood za watu jf?
Are you sure with what you wrote? Ndugu usipende kufatilia migogoro ya watu hujui ugomvi umeanzia wapi na kwa nini! again acha kabisa hujui ugomvi wa watu umeanzia wapi na kama una kiherehere we jitahidi tuu mapema ukabiliane na udhaifu wako.

Halafu sijui umetoka wapi kwani ungeendelea na ulichokifata kwenye huu uzi ungepungukiwa nini?
Umeona amejibu?
Acha kabisa.
Nakutakia usiku mwema sitak ugomvi na mtu kabisa.
 
KUWA MBUNIFU HIVI VISTORI HAVINA MAANA
Muwe waelewa jamani .. Utakopije stori nzima mbona .... Una maoni andika tu ama kopy chochote anachojibu watu sio stori nzima watu tunakuja tunajua kashaeka kitu kumbe mtu umekopi ... Sio ustaarabu ... Ni maoni samahani kama ukikwazika
 
Kwahyo kumbe wewe Una mgogoro na Money Penny??? Kama Mna personal ishu ungemfuata Pm tunaofuatilia hii story tupo wengi and as a die hard funny lazima nikuambie,unapoona cha nini wenzio tunaisubiria kwa hamu ataiweka saa ngapi. Shubasti

Kiherehere kwa mtoto wa kike Kama mie jamii haitoshangaa,kuwa na kiherehere wewe sasa uone watu watakavyoanza kukuita majina ya ajabu kina James delicious. BTW yule demu alieku exasperate, ulipata soln au Ndio unamdandia kila unaekutana nae mbele yako Ili umalize hasira zako???
 
bila shaka
 
Ndugu naomb nikutoe hofu kwa hilo.
-Kwanza kiumbe mmoja au wawili hawawezi kukufanya wewe wanawake wote kwamba ni useless.
-Pili watu wana underrate sana maoni ya watu kwa sababu hawajui uhalisia si ajabu kuna watu hawana mahusiano huku wanakesha kubisha sasa hawa utaona sio makosa yao.
-Tatu na la mwisho nimefanya mengi, nimepitia mengi binafsi na pia nimeona visa vingi huko mtaani so suala la mimi kusema mwanamke haaminiki ni sahihi kabisa kwa asilimia 100% hata Mungu alieviumba alitupa warning kuhusu hilo.

Mioyo ya watu inakua migumu kwa sababu eti sijui dada au nan lakin ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom