O. MTOTO WANGU BABAKE NAMJUA MIE
BONGE MICHELLIN
Bonge: yani huyu mngese huyu Gigi simwelewi kabisa
Kwanza kamuua kakangu
pili kamtenganisha mama na babangu
Tatu kamfanya mpaka ex wa mume wangu kuwa engaged na babangu mzazi
Asiee kama kuna uchawi basi gigi mchawi ila me ndio kakake na shetani mwenyewe ibilisi la siku za mwisho huyu mtoto lazima nimsage nimgeuze jinsia akome kuchezea kambi za watu
Akachukua simu akapanda hewani
Phone: kwirriiii kwiiiriiii, kwiiiriii kwiiriiii
Halooo
Bonge: haloo habari matusi
Matusi: nzuri za kwako?
Bonge: mbaya sana
Matusi: shida nini tena mtoto mzuuuriii, watoto kama wewe adimu ujue au mume anakupa wakati mgumu mamaa? Semaaa vijana tupo kazini
Bonge: mume hana shida ananipenda sijamwona kama anachepuka tena ila kuna kimeo kimoja nataka ukifanyie kazi tafadhali..katenfanisha ndoa ya wazazi wangu, kamfanya babangu kumwoa mchepukooo
Sasa kuna vimeo 3 nataka uvishughulikieee yani uwasumbue ila usiwauee maana we nakujua vzuri sanaaa unanogewaga hatarious, nataka uwanyime raha Tz waione chunguuu wafanyie vituko tuuuu
Matusi: sawa hio ndo kazi yangu
Bonge: wote ni akina dada, mmoja ni mchepuko wa mume wangu, mwengine ni side chic wa babangu mwengine ni mke wa marehemu wa kakangu, nisha kutumia whatsapp picha zao na namba zao za simu we fanya mchakato yani waone Dar na Tz kwa ujumla ni ngumuu mpaka waje waombe msamaha kwa wazazi wangu wote wawili na nataka wazazi wangu watudianeeee
Matusi: sawa mama ila hii kazi itahitaji pesa kibao
Bonge: sawa hamna shida we nitumie
Akaunt namba yako tafadhali ili niweze kukukamilishia mahesabu yako sawa?!
Pia kuwatomba ni rukhsaa
na kazi ianze mara moja staki ujingaaa yani kama unaweza anza sasa hivi nitashukuru
Matusi: at your service Madam anything for you
Simu ikakatwa
Bonge: akiwa anakunywa Moet yake nini akawa ana smile tu huku anashita tumbo lake tararibuuu miezi ya kijifungua ishafikaaa anasubiria
Ila sa uyo mtoto tumboni buana, ni sheedah maana ananyweshaje mipombe kali sasa hajali sijui atatokaje
Kukakucha akina Matusi wakaanza kuzoom vibarua wao, zoom zooom zooom na wewe
Gigi akawa spotted kanisani anaimbisha mapambio, mijeda (team ya Matusi) ikaingia, walikuwa watatu wababa wa makamo wakakaa waangalia shughuli za wokovu za Bwana zinavyoendeleaaaa
Ibada ikaisha mmoja akaingia chooni wengine wakabakia kuongea ndani ya kanisa, Gigi akapita akaingia kwenye gari yake zuri ijeda inamzoom tu plate namba na nini
J2 wako ibadani wana mzoom Gigi na mumewe feki best friend waka record plate no
Trip za kwenda kanisani zikapigwa wiki 3, wakapeleka report kwa boss wao matusi, wakaambiwa wasiche kwenda kanisani mpaka deal litakapoishaaa wakawa wahudhuriaji wakubwa wa vipindi cha church yaani j5 na j2 na alhamisi kwa vijana
wakapata na mabeibe humo humo gadame wanawa enjoooooy madem wenyewe, oh bwana ametupa wanaume wa kutuwowa wao wanacheka tu baadae wakikutana kwenye kambi yao na kupanga mikakati ya kuwatia na kuwatomba
Team ya 2 ikan spot Tausi, kupeleka taarifa wanashangaa best friend ana mcheat na Tausi wakashangaa
Wakaona kuwa hili deal lipo very interesting, wakamzoom tausi weee wakajua anatembesha kwa baba bonge sometimes, anatembesha kwa best friend mara kwa Mark dah team nae ilikuwa noma kwenye machunguzi, wakapeleka taarifa kwa matusi the boss
Team ya 3 ikamzoom Aaliyah
Anapoishi, anaishi na babake bonge, outings zao, kila kitu chaooo, wanavyotombana, wanavyoishi, communications zao, maisha yao ya kila siku,
Lakini wakashangazwa na vikao kati ya Aaliyah, Gigi na Best Friend haikuwa kawaida
wakadaka nyumba wanayokutania kila week, na muda wakajitahidi kuvuta maongezi yao gademit, wakafanikiwa wakayanasa
Oh tunakaribia kumpindua mama bonge hii kesi ya mahakama lazima ntashinda ~ akaongea Gigi
Basi gigi ndo kuhamasisha nakwambia eeh na mamake bonge nimemchezea akili mpaka talaka imetokaaa chezea mimi wewe (huku amelewa)
Akaongeaaa weee mijeda inadaka ubuyu kwenye kidude walichobandika nje ya ukuta kama bigijiii flan sawa na rangi ya ukuta kuiona ni ngumu labda mtu awe ameamuaaa
Mijeda wanarekodi kama ilivyo
Wakapanga mishen nyingine iwe ni kanisani wakalipue wawachanganyeeee mpaka ma mchungaji aseme sirii zoteeee maana ka urugwaa then cha tatu ni kesiiii mahakamani kitabu kinafungwaaaaa
Gigi: this 2nd phase of ours is a honey moon phase so plz plz plz mu enjoy maana tuna evidence kubwaaa kutoa nyoka pangoni narudi zangu Marekani
Kikao kikaahirishwaaaa
Mijeda wakapeleka ubuyu matusi akayadaka kama kawa kama dawaa
Siku Bonge anapiga simu akapelekewa kila kitu picha na convo audios alichokaaaa akamlipa matusi 10mil tsh.
Akairudia ile convoooo akai triplicate (mara 3)
Akamwita maza na dadake wa marekani wakaja kuskiliza wakachokaaa ni vituukooo ni sheedah
Mama bonge: umepata wapi hivi vitu bonge jamaaa
Bonge:
Mama we acha tu me ndio bonge na jina langu nalipenda hivi hvi lilivyo sasa unasemaje kuhusu hili swala
Mama bonge: we niachie kopi yangu ingine kampe lawyer wa kesi yetu atatunza ingine kaa nayo ifiche hata mumeo usimpe maana mumeo anaonekana snitch vile vile kama hauna pa kuicha niambie nikuelekeze... unaweza kwenda bank wakakuhifadhia pamoja na mali zako na vikuku na dhahabu zako
Bonge: sawa mama hamna shida mama yangu nakupenda sana na usijalo baba atarudi tu nyumbani na kesi mtashinda
Mama bonge: akamwangalia bonge kama naive flan ivi ila akamsifu kwa ujasiri alionao hasa ukitizamia muda wowote atajifungua.. kabla hajamaliza kumjibu
Bonge akaamka, maji bwaaaaaaaaa her water broke, mama na dadake fastaaa wakampeleka Aghakhan,
Kaingizwa leba hata hajakaa sana keshajifungua mtoto wa kiume aaah mamake alifurahi at last my son is back duniani in a form of a grandson akafurahi huyooo
Dadake bonge akampigia babake bonge akaja fastaaa wanasubiri nje kuonana na Bonge, Mark wakamsahau nakwambia ndio baba bonge anakumbuka kuna mark akampandia hewani mkeo kajifungua njoo
Mark akatia timu baada ya dk 45 si unajua te a folen zetu za dar
Muda wa kumwona mzazi ukatimia wakaingia basi kila mtu anamkumba tia eer jaman mwachen mzazi wa watu
Ma bonge nae kamuwahi mzazi utadhani yeye ndo baba mtoto ai kiherehere ni sheedah jamaa
Wakafurahi hapo Mark akamkumbatia mkewe akapewa mtoto akambebaaa, anamshika my son nakupenda sana akampa jina la baba yake mzazi, Mark Junior the 2nd wakafurahia wooote wamepata mjukuu
Wa kiume another son is added to the family
Wakakaa na mtoto wao na mjukui for 1 hr wakaondokaaaa wakamwacha mzazi apumzike
Bonge na ujasiri wote alijifungua kawaida
Swali:
Je Mtoto wa Bonge unadhani ni wa nani?!
1. Mark
2. Matusi
3. Mchina kibamia
4. Ambassador mchepuko wake
Atakayepata majibu ya maswali yote nayouliza kwenye stori hii atapewa zawadi nono baada ya stori... naona sana mnavyojibu msidhanie sijui wala sioni... shilawadu shilawaaadu, nawaona nawaoooonaaa
Tuonane j2 saa 1 Usiku