Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
Nitakuambia shida yako moja tu. Unadandia magari kwa mbele. Tena yakiwa kwenye mwendo. Jiwekee standard. Usidate na mtu kabla hajawa rafiki yako. Kutana na mtu jf ama hata fb, get to know him. Kuwa rafiki tu, no kissing, no flirting hata kwa mwaka mzima. Baada ya hapo, muamue kama mnawezana. Huwezi peleka mtu akatoe posa kwenu na haujui ana kazi gani, anaishi wapi, amesoma shule gani na gani na akafanya kazi wapi! Utaumia, utapitiwa na kugaragazwa hadi ushangae.

Huyu wa sasa nae ni mwehu tu. Watu wengi wana id nyingi humu, ila sio kujianzishia thread na kujijibu. Yaani namuona atakavyokusumbua na fake fame. Halafu, hao wadada wengine walioapply uchumba bado anawasiliana nao. Hivi seriously hata kazini umekosa mtu wa kukutongoza jamani???

Alikua na kiherehere chakuolewa uyu...yan hata kama ndio wa jf mi navojua kuna kamsemo kanasema bora kukosea njia kuliko kukosea mke wakuoa wanaume weng wanapenda kuoa wanawake ambao wanawajua tabia ni lazma wawil wachunguzane ndio vingne vifate mwanaume zilizomtimia awez kuoa mwanamke wa mtandaoni ni lazma afikilie kama kaweza kubaliwa pia na mwingne anaweza kubaliwa vilevile
 
Me nasema kwamba, wanaotafuta wapenzi humu ni watu waliokosa direction ya mapenzi au maisha kwa ujumla, watu na akili zao wanamuomba mungu awapatie mke/mume, na wengine wananaribu bahati zao mitaani
Sio kuja humu mwishowe unapata gaidi kama sio mwana.ke mwenye watoto sita kila m1na Baba ake....

Hahaaa lol umeua et watoto sita kila mtu na babaake.....wakaoge maji ya bahar watoe nuksi......
 
Pole yako....duh ila kuna wanawake wana moyo kabisaa et nakua na mchumba jeifu kwamba nakopita sitongozwi....wanaume mitaani wamejaa kibao

hahha wee unadhani wote wazuri kama wewe lol. labda hana wowowo la ukweli hahha
 
nilivyoona jihabari reefu nikajisemea wtf?!!...I'm not reading all that sh*t! nimejikuta kila mstari niliousoma unanivuta nisome unaofuata mpaka nimekula palagraph zote. Mahusiano ya kwenye mitandao ni magumu sana, na mtu ukiwa desperate utapotea bure, sasa ndugu yangu dalaber huko kanisani, safari za kikazi hakuna watu mliogonganisha maono na kujenga urafiki? ujue ni rahisi sana kupata mwenza wa kukupata offline kulio online! nakuonea huruma sana nikiona hata huyo uliye naye sasa yuko likely kukupoteza tu (mungu epusha), pole dadaangu, halafu kama nakufahamu vile, kama ndiyo wewe ulikuwa unanisimulia story fulani pm nishtue, pole sana ndugu yangu, hakika muda wako utafika, cha muhimu usiuvute uache ufike wenyewe tu!
 
Last edited by a moderator:
hahanha humu watu wanataka kugegedana tuuu wafurahie maishana kupeana ngoma.
 
Ningekupata wewe mleta thread ingekuwa safi sana.
 
Kheeee....ngoja nifike nnakoenda kwanza ntarkuja hapa
 
Hii mada niliipita kama Mara tatu hivi coz ni mvivu wa kusoma ila cjui imekuaje nikairudia. Kwanza pole sana na hizo move za kihindi, mweny uandishi huh nishakufahu , jipe moyo na wote hapo wawili ujumbe wameupata
 
Pheeeew!

Huwa sina kawaida ya kusoma mada ndefu ndefu ila hii yako imenivutia na sielewi hata kwa nini.

Kwanza pole.

Lakini, hivi kweli unategemea kupata mtu mwaminifu (kwa viwango vinavyokuridhisha wewe) humu?

Na sijui nikupe hongera ya kuwa mwelewa au mvumilivu kwa kulitunza kifedha (japo kwa kiasi fulani) jibaba zima la miaka 44! Una moyo!

Halafu uko antisocial kiasi gani hadi ushindwe kabisa kukutana na wanaume kitaani? Kwani huwa hutongozwi hata barabarani ukiwa unapita?

Na huu mwandiko wako huu....ni kama nakujua vile......

Pole tena na kila lenye kheri kwenye mchakato wa maisha unayoyatamani.
Nyani Ngabu hata simshangai dada kwa hilo, i guess ni malezi tu, kuna familia zipo hivyo mama anakufuga toka ukiwa mdogo sana na kama ndo na wewe utafata kila unachaoambiwa na wazazi hasa mama ukikua ndo matokeo yake unajikuta una very few friends wengi wao wakiwa ni ndugu zako,unapenda kujifungia zaidi sjui ndo unakua unafeel safe zaidi ndo zinakua routine za maisha yako...!!!
 
Last edited by a moderator:
duuuu pole sana kweli hukukoma,nahisi na huyo ni walewale,hapa JF ni pakuwa napo makini sana
 
Duh!ila una moyo yani kumpa mwanaume hela na bado anakupelekesha?Aiseee mie siwezi kufanya hivyo maana ningemuacha ndani ya week tu kwa hivyo vioja vyake
 
Hahaaa lol umeua et watoto sita kila mtu na babaake.....wakaoge maji ya bahar watoe nuksi......

yani hii kali kwa kweli tena ana miaka 44 na bado anakaa kwa mama yake,kweli huyo mwanaume hamnazo,anajua kugawa mbegu tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom