Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
Eeeeeeeee si yameishaaa mpaka tulieee
Hahaaaaaa! SI UNAJUA TENAAA SIMBA KUONESHA UBABE TU HATA KAMA HANA NJAA ANAMKAMATA. SWALA NA KUMPIGA TEKE TU BASIIII TU! Hahahahaaaaaaaa! Na hivi swala mnyonge atafanyaje tenaaaaa! Hahahaaaaa! N
 
Isanga lamfuluka!!
Mtumzima ushasutwa na Zinduna, ukasutwa na Nivea almanusura baba V avuliwe uenyekiti. Mtu mzima wewe mtu gani lakini usiekomaaaaaa? MBONA YAKO HUSEMI? Ujue nakusitiri sanaaa! Mmmmmmmmh! Waambie na vyako kidogo ngoja niitafute ile thread ulio iba bwana wa mtu ukasutwa mkodobwe humu mmu! Maana umeokoteza new member wasio kujua! Subiria sasa!
 
Last edited by a moderator:
Kichaa cha mimba hichooo....
YA BABA YAKO MZAZI, ujue mimi mama yako atiii nitakuachia ladhi! Nishaona tupu ya mzazi wako afu unajibishana na mimi hapa? We mwanaa weee mbona unakosa haya kiasi hicho? Haya nisalimie mama yako mdogo!
 
Afu na wewe dogo umenisambaza sanaaa ujue taarifa zako ninazo! Kweli msomi kama wewe wa kuingizwa mjini na MZIMA OVYOOO KAMA YULE? Ila kidogo umeanza kutumia akili kuwanza! Last warning! Ukinisambaza yenaaa hulaaaaaaa! (Ila kiukweli miss neddy mshikaji wangu wewe mtu wa kunisambaza mimi kweli? Au ulijua sitojua?)
miss Neddy muogope kama ukomaa wallah hhhhhhaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa! SI UNAJUA TENAAA SIMBA KUONESHA UBABE TU HATA KAMA HANA NJAA ANAMKAMATA. SWALA NA KUMPIGA TEKE TU BASIIII TU! Hahahahaaaaaaaa! Na hivi swala mnyonge atafanyaje tenaaaaa! Hahahaaaaa! N

Hhhhhaaaaaaaaaaaaa uwii hako kamsemo umenikumbusha mbaliii
 
hatariii...!!!afu we@Dinazeard...!!!

Sasa ndio nini kuniita vibaya hivyooo sio ndio kusambazana huku ina michambo imekufanya mpaka ukosee jina langu mfyuuu
Haya niambie nimefanyajeee
 
Shoga nina ID moja tu mwenzio...nikiimwaga mitusi naogopa ban....halafu utamu wa ban naujuaaa...

Ila leo nimejijua kama nina shabaha....nimetupa jiwe gizani limempata mtu la kifuaa anatapika damu tuuuuu......heheheeeeeee!

Teh! Teh! Teh! Uwiiiiii
 
Afu na wewe dogo umenisambaza sanaaa ujue taarifa zako ninazo! Kweli msomi kama wewe wa kuingizwa mjini na MZIMA OVYOOO KAMA YULE? Ila kidogo umeanza kutumia akili kuwanza! Last warning! Ukinisambaza yenaaa hulaaaaaaa! (Ila kiukweli miss neddy mshikaji wangu wewe mtu wa kunisambaza mimi kweli? Au ulijua sitojua?)

aiseeeee kuna watu wanataka kunitia ubayani akati hata birthday yangu ya kutimiza one year tangu niwe jf haijafika lol anaekusambaza mwingine mi hata siko huko me nikipata news simezi nzima nzima kama hao wanaokuhisi una mimba yelewiiiii mtu hata hajiulizi na masters yako ubebe mimba kiholela unaanzia wapiii loooh
 
Hhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaa manina umenichekeshaaaaa
 
Watu mambo hayawahusu kujitia wema sanaaa NA KUJIFANYA WEREVUUUU WAKATI HAWAJUI YALIPOANZIA WALA YATAKAPO ISHIA! Tangu lini ukatoa mawaidha kitu KISICHO KUHUSU WALA HUKIJUI KABISAAA! Si unafiki huo!

Kazii ipoooooooo
 
Nimenyamaza coz sina muda wa kubishana na wewe jamvi la wageni.....asokujua wewe nani humu....

Kwa hiyo ukiona sura mpya humu unachukia unajua zimekujs kukuharibia soko....haloooo watu tupo jf for fun sio kutega kama wewe.....

Nenda kapigwe free p mbele hukooooo....niache mie sio mtegaji mwenzio.......mxiuuuuu....

Endelea kuandika magazeti yako ukimaliza shushia juisi ya limao.....

Nimemalizaaaaaaaaa!

Hahahahaaaa haloooooooooo nimecheka kimasikitiko kweli hadi chozi limenitoka, naona Yale mnayosambaza gizani mnaanza kuyaleta mwangani. Kama kweli mnahakika na ushaidi mnao mbona hamtaki kusambaza huku kweupe???? Kumbe lara 1 anawajambisha eeeh
 
Last edited by a moderator:
Kakatazwa kurudi au anaogopa kuanikwa???? Siku hizi atutangazi tunakuanika unajisambaza mwenyewe.
Hahahaaaaa! ARUDI ANA JEURI HIOOOOOOO! Yule ufalme wake gizani tu, keshazoea vya kunyonga, vya kuchinja aviweze wapi.? Mwanga hauwezi! Hapo na kazi ya kusambaza pm kwa wafuasi wake tu jeuri ndogo tu ya kutoka afanye one to one hapa ulingoni watu wasem suuuu hanaaaa! NA NINA HAMU NAE YULEEEEE! FILE ZAKE NSA ZIPO KIBAOOOOOOO! Nangoja aseme SUUU nimvue nguo vizuri! Ila ndo zake akiwasha moto atapotea jamvini mwaka mzima na kurudi kivingine!
 
Labda Master imempa mimba lara1
Mimba labda ya baba yake mzazi, si unajua tena familiaaa baba kamwambia mwane ili aju jinsi ya kumfikishi bi mkubwa wake kuwa nyumba ndogo ndo nishawasili! Unaona mtoto asivo na adabu huyu anashupalia mambo ya baba na mama!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom