Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
An this is Verrosa Part 111 maana wahanga waverosa wamepata pakupumulia leo isnt it Mentor
Dalaliiiiiiiii nimekumiss sana ujue
Last edited by a moderator:
An this is Verrosa Part 111 maana wahanga waverosa wamepata pakupumulia leo isnt it Mentor
jf hasa MMU ni kama gende la uswazi kwenye vigodoro na kuna watu humu wana chukiana hatari na wana visasi vya hali ya juu hii ni dalili mbaya sana baada ya kutengeneza network ya amani na kujadili mambo ya msingi wengine wako bussy kusambaza chuki,kejeli,majivuno na matusi nakujiona wao ndio bora kuliko wengine na ukiwakosoa hao ujue umekwisha utapigwa vijembe mpaka ukome kama hukulelewa kiswazi kimbea mbea lazma ujutreeeee cz hua wanajifanya kama malaika kila wanapoongea hujiona wako right tu sijui tutabadilika lini watanzania lolz kweli tabia ni kama ngozi
Hahahaaaaaaaaaaa! MANENO HATA KWENYE KANGA YAPO! Labdaaaa vitendo!Ujumbe huu umfikie nshomile mmoja anayependa kujikweza na kujifanya mjuzi wa kila kituuuuuu!
Asante...!
Mhhhhhhhhhhhhh! WE KAMA UKO BUSY NA MAMBO YAKO, HIVO VIGENGE UMEVIJUAJE? Na kama wanachukiana hatari WE INAKUHUSU NINI? Chuki wachukiane wao kuweweseka uweweseke wewe inahuuuuuu? Wakijiona bora we unapungukiwa nini? UPIGWE VIJEMBE KWA MTONYO GANI ULIO NAO? Mxiuuuuuuuuu! Usichekeshe walio nuna! Apeche alolo nani akutungie vijembe wakati hujai hata kibaba? Waacha wajione wako right ITS A FREE COUNTRY SINCE 1961! ANZA KUBADILIKA WEWE KWA KU MIND YOUR BUSINESS!jf hasa MMU ni kama gende la uswazi kwenye vigodoro na kuna watu humu wana chukiana hatari na wana visasi vya hali ya juu hii ni dalili mbaya sana baada ya kutengeneza network ya amani na kujadili mambo ya msingi wengine wako bussy kusambaza chuki,kejeli,majivuno na matusi nakujiona wao ndio bora kuliko wengine na ukiwakosoa hao ujue umekwisha utapigwa vijembe mpaka ukome kama hukulelewa kiswazi kimbea mbea lazma ujutreeeee cz hua wanajifanya kama malaika kila wanapoongea hujiona wako right tu sijui tutabadilika lini watanzania lolz kweli tabia ni kama ngozi
Hahahaaaaaaaaaaa! MANENO HATA KWENYE KANGA YAPO! Labdaaaa vitendo!
Ila me jiwe ndo nshalirusha gizani, lillompopoa aje nimsindikize hospitali....
Alochefukwa pia aje nimpe ndimu....!
Na wewe ushachotwa akili? Hahaaaa!
Hahaaaaaaaa! Kama nilivosema MANENO HATA KWENYE KANGA YAPO TELEEEEEEE! Safisha kinywa mama! Mdomo jumba la maneno! Na silaha ya mnyonge maneno tu manake atafanya nini tena zaidi ya kuosha kinywa! Haloooooooooooooo! Kanisambazeeeeeeee! Ukimaliza unisajili! KUBWA LA MAADUI NA NAMNGOJA MAMA YENU ARUDI HAPA! Nasikia anasema kakatazwa kurudi! Mxiuuuuuu!
Vitizame, vinyongeeee! Kufumba fumba! Kama wanawake kweli ongeeeni bank! Gizani gizani ndo sehemu za wanyonge hizo!
bado wangu niko kwenye analysis ya informations zinazonifikia that how we workNa wewe ushachotwa akili? Hahaaaa!
Hahahaaaaa! Kwa umbeaaa! Unataka huku na huku! Inahuuuuuu! NJOO NIKUPE CREDIBILITY YA SOURCE. YAKO YA INFORMATION!bado wangu niko kwenye analysis ya informations zinazonifikia that how we work
Mtumzima ushasutwa na Zinduna, ukasutwa na Nivea almanusura baba V avuliwe uenyekiti. Mtu mzima wewe mtu gani lakini usiekomaaaaaa? MBONA YAKO HUSEMI? Ujue nakusitiri sanaaa! Mmmmmmmmh! Waambie na vyako kidogo ngoja niitafute ile thread ulio iba bwana wa mtu ukasutwa mkodobwe humu mmu! Maana umeokoteza new member wasio kujua! Subiria sasa!
Hahaaaaaaaaaaa? Shostiiiiiiii! Yameanza yalipoanziaaaaa! Unafumbaaa fumbaaaa, unamfumbia naniiii yakheeeee! Fumbo mfumbie mjingaa mwerevu atalifumbua atiiiii!Heheheeeeee! shoga yameanzaje? tokea lini? Wapiii?
Heheheeeeeeee nlikuwa sijui nashukuru unanfungua machooo....mama yetu ndo nani vileee.....hahahaaaaaaaa!
Hadi rahaaaa....mjini rareeeeeeeeeee!
An this is Verrosa Part 111 maana wahanga waverosa wamepata pakupumulia leo isnt it Mentor
Hahaaaaaaaaaaa? Shostiiiiiiii! Yameanza yalipoanziaaaaa! Unafumbaaa fumbaaaa, unamfumbia naniiii yakheeeee! Fumbo mfumbie mjingaa mwerevu atalifumbua atiiiii!
Bado macho sijakufumbua vizuri mbonaaaa! Ndo umejuaaaa, kati ya watu unafumba fumba nini shostiii? Au unatufumbia sie tunaosomaaaa? Mwanamke anaejiamini anajimwagaaaaa bibi! Eeeeeeh! Kama info sio kweli anaambiwa STOOOOOOP! Sio kufumba fumba watu tunajihisi atiiiii!
MAMA YENU NDO ANANISAMBAZAAAA KWA VITU VYA KUTUNGA! Baadae namshushia baby aje amcha,be hapa na huyo alie confess kwake namshusha humu humu! Hapatatoshaaaaa! NAMVUA NGUO HATARIIIIII!
Hahaaaaaaaaaaa? Shostiiiiiiii! Yameanza yalipoanziaaaaa! Unafumbaaa fumbaaaa, unamfumbia naniiii yakheeeee! Fumbo mfumbie mjingaa mwerevu atalifumbua atiiiii!
Bado macho sijakufumbua vizuri mbonaaaa! Ndo umejuaaaa, kati ya watu unafumba fumba nini shostiii? Au unatufumbia sie tunaosomaaaa? Mwanamke anaejiamini anajimwagaaaaa bibi! Eeeeeeh! Kama info sio kweli anaambiwa STOOOOOOP! Sio kufumba fumba watu tunajihisi atiiiii!
MAMA YENU NDO ANANISAMBAZAAAA KWA VITU VYA KUTUNGA! Baadae namshushia baby aje amcha,be hapa na huyo alie confess kwake namshusha humu humu! Hapatatoshaaaaa! NAMVUA NGUO HATARIIIIII!
Uni.kome tena ukiweza unitueeee! Upo shoga anguuuu? Usijitie ashuo la kwapa kunuka bila kidondaaaa.....
Hizo drama zenu hukooooo, umwogope huyo mwenzio uje unletee mie hizo ashuo zako.....
Tena uniwaaaaacheeeeeee! Kama salamu zangu zimekuuma utajijibebaaaaaaa......mxiuuuuuuuuuuuuu!