lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,208
Heeeeee shostiii ungejua ninavokuona kama pedi nilioitumiaaa nitaanze kukukoma wakati nisha kunuktaaa kitamboooo? Sindano hio shoga yangu utulize ta.ko dawa ikuingie barabaraaaaa! Usiwe na shukrani ya PAPUCHI IKIOSHWA MDA HUOHUO IKINUSWA IMESHAMFUMUUUUU! Drama zako wewe KUJA KUFUMBA FUMBA HUMU NDANI UNAFUMBA KITU GANI? Unamfumbia nani? Usingetaka drama usingefumba fumba NDO KUFUMBUA HAPAAAAA! Nimwogope naniiiiii? Thubutuuuuuuu! WE SIO NDO ULIANZA KUFUMBA? NDO NAKUFUMBUAAAAAAA!Uni.kome tena ukiweza unitueeee! Upo shoga anguuuu? Usijitie ashuo la kwapa kunuka bila kidondaaaa.....
Hizo drama zenu hukooooo, umwogope huyo mwenzio uje unletee mie hizo ashuo zako.....
Tena uniwaaaaacheeeeeee! Kama salamu zangu zimekuuma utajijibebaaaaaaa......mxiuuuuuuuuuuuuu!
Nikuwacheeee uliitwa kwa kadi ya mwaliko uje ufumbe humu? Au ulijua utaogopewa utufumbe watu wazima tukuache tuu! Thubutuuuuuuuu yako! Nakuchamba kama hivi mpaka chini kukulowe kwa kuolea kichambo!
Raha ya salamu ujibiwe bibi wewe! Tuliza mshono upokee majibu ya salamu zako sio kiwaya waya! HII NI HQ YA MITUSI NA MISUTO, SIOKOTI, SIBAHATISHI, NATENGENEZA MWENYWEEE, HIVO VYANGU MWENYWE BADO SIJAANZA KUTOA VYA KURITHI!