hahaha kaishiwa michambo chezea copy and paste
yeah wanasema waaarabu wapemba wanajuana kwa vilemba.....jambo usilolijua ni usiku wa giza, ndio maana kuamini habari huku JF mimi siwezi kabsa labda iwe na source ya kueleweka.cinema kali halafu asubuhi
Inakuhusu nini labda?
Mwenyewe kajiona kakua sababu tunanyoa wote, na kapata mtu wa kumsokomeza anjiona tunalingana ananifumba na kutishi kunichamba kubwa la maadui! WHEN A BABY (EVEN A CAT) WASHES ITS HANDS IT CAN DINE WITH THE KINGS! Mwache anyweee alilolikorogaaa! Tatizo kaamini maneno ya MTU MZIMA YOOOOTE! Akona nitakuwa mnyongeee, nitasema nini wakati mafaili yangu yako on display! Kumbe mkanda umetoka kichwani kwa mtu mzimaaa! Apeche alolo hamna hata moja la ukweli! Hahaaaaa! Ndo maana nimem DARE MTU MZIMA TENA MTU MZIMA I DARE YOU NJOO HAPA UMWAGE FAILI ZANGU, si unauhakika vya kweli hujatungaaa? Nyooooooo!
Hahaaaaaa! Ukweli gani uliosemaaa? Ona tundu zote zimekubaki wazi unawaya waya maskini ya Mungu! Hahahaaaaaaaaaaaaa! Msamba umekupasuka waaaaaa! Nyooooooo! Shika adabu zako zikushike!Sina muda wa kujibizana na mtu mwenye kichaa cha mimba ilokataliwa...halafu sijachamba mtu...nimesema kweli...
na ukweli unauma ndo ukaandikiwa gazeti....
Mhhhhhhhhhhhhh! WE KAMA UKO BUSY NA MAMBO YAKO, HIVO VIGENGE UMEVIJUAJE? Na kama wanachukiana hatari WE INAKUHUSU NINI? Chuki wachukiane wao kuweweseka uweweseke wewe inahuuuuuu? Wakijiona bora we unapungukiwa nini? UPIGWE VIJEMBE KWA MTONYO GANI ULIO NAO? Mxiuuuuuuuuu! Usichekeshe walio nuna! Apeche alolo nani akutungie vijembe wakati hujai hata kibaba? Waacha wajione wako right ITS A FREE COUNTRY SINCE 1961! ANZA KUBADILIKA WEWE KWA KU MIND YOUR BUSINESS!
Sina muda wa kujibizana na mtu mwenye kichaa cha mimba ilokataliwa...halafu sijachamba mtu...nimesema kweli...
na ukweli unauma ndo ukaandikiwa gazeti....
WE YANAKUHUSU NINI? Unawalipia bundle? Get a life your self!Emotional disturbances may prone you to mental illness at a future time.
Si bure kuna watu wanamatatizo ya akili humu.
People stop guessing and speculating.
Others stop defending yourselves at any cost ikiwa hata kiutetezi wa kistupid stupid.
Mnavuana nguo bila umuhimu wowote.
Shoga nina ID moja tu mwenzio...nikiimwaga mitusi naogopa ban....halafu utamu wa ban naujuaaa...
Ila leo nimejijua kama nina shabaha....nimetupa jiwe gizani limempata mtu la kifuaa anatapika damu tuuuuu......heheheeeeeee!
Mwenyewe kajiona kakua sababu tunanyoa wote, na kapata mtu wa kumsokomeza anjiona tunalingana ananifumba na kutishi kunichamba kubwa la maadui! WHEN A BABY (EVEN A CAT) WASHES ITS HANDS IT CAN DINE WITH THE KINGS! Mwache anyweee alilolikorogaaa! Tatizo kaamini maneno ya MTU MZIMA YOOOOTE! Akona nitakuwa mnyongeee, nitasema nini wakati mafaili yangu yako on display! Kumbe mkanda umetoka kichwani kwa mtu mzimaaa! Apeche alolo hamna hata moja la ukweli! Hahaaaaa! Ndo maana nimem DARE MTU MZIMA TENA MTU MZIMA I DARE YOU NJOO HAPA UMWAGE FAILI ZANGU, si unauhakika vya kweli hujatungaaa? Nyooooooo!
Maneno ya PM msiamini yoteee, wengin psychopath wanatunga vitu na kuwa chuuza!
Hahaaaaaaaa! Kama nilivosema MANENO HATA KWENYE KANGA YAPO TELEEEEEEE! Safisha kinywa mama! Mdomo jumba la maneno! Na silaha ya mnyonge maneno tu manake atafanya nini tena zaidi ya kuosha kinywa! Haloooooooooooooo! Kanisambazeeeeeeee! Ukimaliza unisajili! KUBWA LA MAADUI NA NAMNGOJA MAMA YENU ARUDI HAPA! Nasikia anasema kakatazwa kurudi! Mxiuuuuuu!
Vitizame, vinyongeeee! Kufumba fumba! Kama wanawake kweli ongeeeni bank! Gizani gizani ndo sehemu za wanyonge hizo!
aiseeeeee sa mbona dots haziungani yule kasemwa kasoma udom na huyu ni wa udsm yule ana degreee huyu ana masters huoni uko gizani bado lol nahisi movie ina wenyewe hii
Hahaaaaaa! Ukweli gani uliosemaaa? Ona tundu zote zimekubaki wazi unawaya waya maskini ya Mungu! Hahahaaaaaaaaaaaaa! Msamba umekupasuka waaaaaa! Nyooooooo! Shika adabu zako zikushike!
Basi yaisheee wajameniii
Afu na wewe dogo umenisambaza sanaaa ujue taarifa zako ninazo! Kweli msomi kama wewe wa kuingizwa mjini na MZIMA OVYOOO KAMA YULE? Ila kidogo umeanza kutumia akili kuwanza! Last warning! Ukinisambaza yenaaa hulaaaaaaa! (Ila kiukweli miss neddy mshikaji wangu wewe mtu wa kunisambaza mimi kweli? Au ulijua sitojua?)aiseeeeee sa mbona dots haziungani yule kasemwa kasoma udom na huyu ni wa udsm yule ana degreee huyu ana masters huoni uko gizani bado lol nahisi movie ina wenyewe hii