Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
Jamani Tupate break kidogo

JOHN john wooiiiioo
Am looking for ma john
Am looking for ma honey
Where is ma john!!!!!
Do you know John ( question
Ayaaaa ayaaaaaaaaaaaaaa princess sayuni njooo
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! ARUDI ANA JEURI HIOOOOOOO! Yule ufalme wake gizani tu, keshazoea vya kunyonga, vya kuchinja aviweze wapi.? Mwanga hauwezi! Hapo na kazi ya kusambaza pm kwa wafuasi wake tu jeuri ndogo tu ya kutoka afanye one to one hapa ulingoni watu wasem suuuu hanaaaa! NA NINA HAMU NAE YULEEEEE! FILE ZAKE NSA ZIPO KIBAOOOOOOO! Nangoja aseme SUUU nimvue nguo vizuri! Ila ndo zake akiwasha moto atapotea jamvini mwaka mzima na kurudi kivingine!

Aseme Suu ana ubavu haogopi kusambazwa halooooooooooo
Akuje hapa tena na ushaidi kabisa wa hayo wanayosambaza huko na hao waliomvua pichu lara 1 watoe ushaidi kweupe. Kumbe unavyowachana humu inawauma wanajifanya watakatifu kumbe wachafu wakubwa na file zao tunazo tunawachora tu waseme Suuu tuone hahaaaaaaha.
 
Last edited by a moderator:
aiseeeee kuna watu wanataka kunitia ubayani akati hata birthday yangu ya kutimiza one year tangu niwe jf haijafika lol anaekusambaza mwingine mi hata siko huko me nikipata news simezi nzima nzima kama hao wanaokuhisi una mimba yelewiiiii mtu hata hajiulizi na masters yako ubebe mimba kiholela unaanzia wapiii loooh
Hahahaaaaaa! Kweli kinyoka kimegeuka VIPER! Kwa hio umeona unipige jungu kisilencer? MIMBA NA MASTERS ZINAHUSIANA NINI.? Hahahaaaa! We mtoto wewe! Weweeeee! We jikoshe ila nina faoli kamili kuwa wewe umenisambaza, na kama haitoshi unanipiga jungu ki silencer hapa hadharani! Sasa dawa yako inachemkaaa! Mtoto una roho ngumu sanaaa wewe! Hahaaaaa! Nacheka lakini sio mazuri!
 
dah!
ila kwann hatujifunzi kwaniniii?hiv mtu unapata faida gani kwa mfano?
nachukia mimi!
tukue jamani kesi hizi hizi kila siku haziwapi fundishooo?
worse inuf majina yenu halisi,mnakolala.mnakofanya kazi,mnajulikana!
kama hizi drama unazipenda kwanini personal life zenu hamzifichi?
nini sasa hiki?
aaaaaaaargh!
 
akaaah!!
 
Hahahaaaaaaaa! Hayaaa hayaaa vifokonyokinyo muiteni INFORMER AKA MTU MZIMA OVYOO AJE HAPA ASEME SUUUUUUU tumwage ubuyuuuu wooote mfaidiiiii! Afu haipendezi ujue yule mtu mzima mwenzangu kutunga mambo kama yale na kunisambazaaa! Walimsambaza binti wa watu mpaka KATOKA BARUUUUUU PICHU MKONONI! Hahhaaaaa cc Dinazarde, ukute yote ya kutungwa yale nina shaka! Haingiii humu kabisaaa QUEEN wetu maskini (Msijitie wapana kama pazia la sinema sijataja jina, unamuhisi wal sio ni wewe wenyewe unaehisi! MSINIFUMBUE TUUU kama Iljimae! Haloooooo!)
 
Last edited by a moderator:
WE YANAKUHUSU NINI? Unawalipia bundle? Get a life your self!

Hii ni jamiiforum social media ,hivi tu ndiyo namna ninavyohusika.
Ni ushauri tu wa kijamiiforum niliouwakilisha ,If it doesn't suite you siyo lazima kuuuchukua....
Vinginevyo nakutakia kila la kheri, adios amigo.
 
Pheeeew!

Huwa sina kawaida ya kusoma mada ndefu ndefu ila hii yako imenivutia na sielewi hata kwa nini.

Kwanza pole.

Lakini, hivi kweli unategemea kupata mtu mwaminifu (kwa viwango vinavyokuridhisha wewe) humu?

Na sijui nikupe hongera ya kuwa mwelewa au mvumilivu kwa kulitunza kifedha (japo kwa kiasi fulani) jibaba zima la miaka 44! Una moyo!

Halafu uko antisocial kiasi gani hadi ushindwe kabisa kukutana na wanaume kitaani? Kwani huwa hutongozwi hata barabarani ukiwa unapita?

Na huu mwandiko wako huu....ni kama nakujua vile......

Pole tena na kila lenye kheri kwenye mchakato wa maisha unayoyatamani.

JF is never boring for sure.....na ogopa sana wanao claim kuwa saints......bora wale unaowaona wana flirt na kila mtu...cc Nyani Ngabu

yaaani hii story imefanya usingiz wangu wotee umekatika

uhusiano si NDOA jamani ni kuridhiana usiseme i will learn to love..you deserve to love b4 the journey

weka key point zako kama mtu hana MUACHE MARA MOJA
kutamkiwa ndoa si kigezo jamani ndoa ni sherehe tu ili kiridhisha watu maana wengi hulenga harusi issue ni nyie wawil ndani

alafu hivi unawezaje kumueka mwanaume ndani unamlisha?????MAMA AISEE UKIMPATA anaekupenda na ukampenda utadumu kwenye ndoa maana moyo unao

Like this "uhusiano si ndoa ni kuridhishana"
 
Last edited by a moderator:
aiseeeee kuna watu wanataka kunitia ubayani akati hata birthday yangu ya kutimiza one year tangu niwe jf haijafika lol anaekusambaza mwingine mi hata siko huko me nikipata news simezi nzima nzima kama hao wanaokuhisi una mimba yelewiiiii mtu hata hajiulizi na masters yako ubebe mimba kiholela unaanzia wapiii loooh

Watu humu wanajua lara 1 anaishi maisha ya kwenye thread zake, wameamua kuchukulia kama fimbo kumchapia kisa Yale mawe yanawapata kisawasawa, mtu mzima na Elimu yake akaokoteze mimba haki ya nani ingekuwa kweli ningemvua ukubwa wa maadui.
Walah wamenichefua kunichafulia mwalimu wangu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa! Kweli kinyoka kimegeuka VIPER! Kwa hio umeona unipige jungu kisilencer? MIMBA NA MASTERS ZINAHUSIANA NINI.? Hahahaaaa! We mtoto wewe! Weweeeee! We jikoshe ila nina faoli kamili kuwa wewe umenisambaza, na kama haitoshi unanipiga jungu ki silencer hapa hadharani! Sasa dawa yako inachemkaaa! Mtoto una roho ngumu sanaaa wewe! Hahaaaaa! Nacheka lakini sio mazuri!

vinahusiana sana tu utapigwaje mimba kiholela kama div5 bhana wa masters lazima uwe na vigezo vya juu hahaha ukazalie mwananyamala kama div5 inahuuu mtu alikupa file zangu anatafuta kick kujipendekeza me sisambazi ila ukinipa ubuyu naumung'unya natema hapo hapo lol
 
Hahahaaaaaaaa! Hayaaa hayaaa vifokonyokinyo muiteni INFORMER AKA MTU MZIMA OVYOO AJE HAPA ASEME SUUUUUUU tumwage ubuyuuuu wooote mfaidiiiii! Afu haipendezi ujue yule mtu mzima mwenzangu kutunga mambo kama yale na kunisambazaaa! Walimsambaza binti wa watu mpaka KATOKA BARUUUUUU PICHU MKONONI! Hahhaaaaa cc Dinazarde, ukute yote ya kutungwa yale nina shaka! Haingiii humu kabisaaa QUEEN wetu maskini (Msijitie wapana kama pazia la sinema sijataja jina, unamuhisi wal sio ni wewe wenyewe unaehisi! MSINIFUMBUE TUUU kama Iljimae! Haloooooo!)

Jamanii Queenn huyooo mbona umenifumbaaa heheeeeeeeeeeeeeeeeee nitajieee mi nilowee chiniii hiii hiiiii hiiiiii queen kawa krolokwiniiii jamaniii mchunguuuuuuuuuu muhifadhiii tuuuuuuuu maaana kapakuliwa mpaka noumaaaaaaa haya ndo mambo lara
#kim Nana tumeingia ukurasa mpyaa siee
Kusambazwaaa noumaaa sanaaaaa
 
Last edited by a moderator:
mnayaanzisha ya nini ugomvi wa mawe na mnajijua wazi mnaishi kweny nyumba za vioo!
huu ni ugonjwa!
wallahi na unawaumiza sana!
nasikitika sana kusema ukweli!
maana zingebaki kuwa ni Id's tu ingekuwa poa!
ila hujionei huruma?
hujihurumii kusema ukweli!
 
dah!
ila kwann hatujifunzi kwaniniii?hiv mtu unapata faida gani kwa mfano?
nachukia mimi!
tukue jamani kesi hizi hizi kila siku haziwapi fundishooo?
worse inuf majina yenu halisi,mnakolala.mnakofanya kazi,mnajulikana!
kama hizi drama unazipenda kwanini personal life zenu hamzifichi?
nini sasa hiki?
aaaaaaaargh!

Kwa hio watu wakikuchokoa unyamazeeee tuu, kimyaaaa umeufyataaaa kama mkia wa kondooo, mnizongoeeee, mningongeeeee, mnifauduuuuuuuuu, kisa na mkasaaaa?

Aaaaaaaah wapi! UNAKUJA HADHARANI KUSET THE RECORD STRAIGHT MUONGO NA MKWELI WOTEEEE MNAJIPAMBANUAAAA, ubaya wa uvumi bwanaa unasambaa kasi, sasa ukikaa kimya inaonekana kweli, mbona hujisafishi!? Inaonekana ile unakufa kwa aibu kumbe umewapuuza! Ila ukija hadharani na kutaka yeyote mwenye lake aseme SUUUUUU utaona tu wazushi wanahaaa koza mambo!

Afu Dr kakuruhusu kweli na hali yako ufatilie michambo kama hiii? Hahahaaaaaa! Haujasambazwa lakini ni NSA tu nipo kazini! Tunashukuru kwa ushauri lakini! Take it easy!
 
Daaah sijui nilikuwa wapi miss neddy siku hizi hunipendi kiasi hiki kweli?
 
Last edited by a moderator:
Jamanii Queenn huyooo mbona umenifumbaaa heheeeeeeeeeeeeeeeeee nitajieee mi nilowee chiniii hiii hiiiii hiiiiii queen kawa krolokwiniiii jamaniii mchunguuuuuuuuuu muhifadhiii tuuuuuuuu maaana kapakuliwa mpaka noumaaaaaaa haya ndo mambo lara
#kim Nana tumeingia ukurasa mpyaa siee
Kusambazwaaa noumaaa sanaaaaa

Nilisemaa unaemuhisi mwenzio ndio wewe wewe, haya OUR QUEEN IS DINAZRDEEEEEEEEEE! Lowa mpaka uchukue mwavulie! Hahaaaaaaaaaa! Mkuki kwa Queen, kwenu mchungu?
 
Kwa hio watu wakikuchokoa unyamazeeee tuu, kimyaaaa umeufyataaaa kama mkia wa kondooo, mnizongoeeee, mningongeeeee, mnifauduuuuuuuuu, kisa na mkasaaaa?

Aaaaaaaah wapi! UNAKUJA HADHARANI KUSET THE RECORD STRAIGHT MUONGO NA MKWELI WOTEEEE MNAJIPAMBANUAAAA, ubaya wa uvumi bwanaa unasambaa kasi, sasa ukikaa kimya inaonekana kweli, mbona hujisafishi!? Inaonekana ile unakufa kwa aibu kumbe umewapuuza! Ila ukija hadharani na kutaka yeyote mwenye lake aseme SUUUUUU utaona tu wazushi wanahaaa koza mambo!

Afu Dr kakuruhusu kweli na hali yako ufatilie michambo kama hiii? Hahahaaaaaa! Haujasambazwa lakini ni NSA tu nipo kazini! Tunashukuru kwa ushauri lakini! Take it easy!

hahahahahahahahahaha mi kusambazwa siiiiina shaka!
ila unisambaze vya ukweli poa tu!
shida ni pale unaponitungia ndo napopatwa na hasira!
mara ya taaaaatu hiii!lol
hebu nipitishie kopo la icecream kabla za kichaga hazijakupanda!
ila hamdhuriani nyie mtachinja mbuzi mfanye mila yataisha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom