Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
Nilisemaa unaemuhisi mwenzio ndio wewe wewe, haya OUR QUEEN IS DINAZRDEEEEEEEEEE! Lowa mpaka uchukue mwavulie! Hahaaaaaaaaaa! Mkuki kwa Queen, kwenu mchungu?

Hhhhhhhhaaaaaaaaaa uwiiiiiii mi queen wa Celebrities forum banaa kila jukwaa lina queen wakee we utakua wa MMU
Kwa hasira nimekinga ndoo kabisa halaf uje uyaogeee
 
vinahusiana sana tu utapigwaje mimba kiholela kama div5 bhana wa masters lazima uwe na vigezo vya juu hahaha ukazalie mwananyamala kama div5 inahuuu mtu alikupa file zangu anatafuta kick kujipendekeza me sisambazi ila ukinipa ubuyu naumung'unya natema hapo hapo lol
Mtoto mbayaaaaaaaaaa wewe! HUYO ANEKUPA UBUYU WA WENZIO NDO HUYO HUYO ANAKUSAMBAZAAAA! Muite INFORMER WAKO AJE HAPAAAAAA! Zile sumu alizokusambazia ndo aje hapa hadharani azitoe! Umemungunya sumu tupu! Utakufaaaa!
 
Hhhhhhhhaaaaaaaaaa uwiiiiiii mi queen wa Celebrities forum banaa kila jukwaa lina queen wakee we utakua wa MMU
Kwa hasira nimekinga ndoo kabisa halaf uje uyaogeee

Hahahaaaaaaaaaaaaa! Haya hio ndoo ishike vizuri wanyunyizie wapenda ubyu woteeeeee waliotoa macho kwenye keyboard! Hahaaaaaaaaaa!
 
Hahahaaaaaaaa! Hayaaa hayaaa vifokonyokinyo muiteni INFORMER AKA MTU MZIMA OVYOO AJE HAPA ASEME SUUUUUUU tumwage ubuyuuuu wooote mfaidiiiii! Afu haipendezi ujue yule mtu mzima mwenzangu kutunga mambo kama yale na kunisambazaaa! Walimsambaza binti wa watu mpaka KATOKA BARUUUUUU PICHU MKONONI! Hahhaaaaa cc Dinazarde, ukute yote ya kutungwa yale nina shaka! Haingiii humu kabisaaa QUEEN wetu maskini (Msijitie wapana kama pazia la sinema sijataja jina, unamuhisi wal sio ni wewe wenyewe unaehisi! MSINIFUMBUE TUUU kama Iljimae! Haloooooo!)

mboga imemwagika pm ww mwaga huo ugali hapa hapa unaficha ficha watu wataamini wayasikiayo
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaaaaaa! Haya hio ndoo ishike vizuri wanyunyizie wapenda ubyu woteeeeee waliotoa macho kwenye keyboard! Hahaaaaaaaaaa!

Hayaa nishaaanzaaaa si unaona washaanza kumiminikaaw usiombe ukutwe na bwana pepsi
 
Jamani Tupate break kidogo

JOHN john wooiiiioo
Am looking for ma john
Am looking for ma honey
Where is ma john!!!!!
Do you know John ( question
Ayaaaa ayaaaaaaaaaaaaaa princess sayuni njooo

Shosti nimekuja nimepitwaje kumbe watu huwa wana mambo dark side eeeh john eeeh questionnnns
 
Last edited by a moderator:
Mtoto mbayaaaaaaaaaa wewe! HUYO ANEKUPA UBUYU WA WENZIO NDO HUYO HUYO ANAKUSAMBAZAAAA! Muite INFORMER WAKO AJE HAPAAAAAA! Zile sumu alizokusambazia ndo aje hapa hadharani azitoe! Umemungunya sumu tupu! Utakufaaaa!

hahahaha acha anisambazeee miss neddy sina doa mweupe kama theluji lol watu tushalambishwa sumu toa hayo maziwa basi tujisevie lol
 
hahahahahahahahahaha mi kusambazwa siiiiina shaka!
ila unisambaze vya ukweli poa tu!
shida ni pale unaponitungia ndo napopatwa na hasira!
mara ya taaaaatu hiii!lol
hebu nipitishie kopo la icecream kabla za kichaga hazijakupanda!
ila hamdhuriani nyie mtachinja mbuzi mfanye mila yataisha!
Hahahahaaaaaaaaaaa! Mimi nasubiri 16×10/4 nije tu nilete pipaaaaaa! Wanasema zimwi likujualo halikuli ukakwishaa ila zimwi lile limenila mpaka mifupaaa! Afu vitu vyoteeee vya kuzua! Hana maana kabisa yuleee!
 
km UE nshacarry somo km si kudisco
 
Hahahahaaaaaaaaaaa! Mimi nasubiri 16×10/4 nije tu nilete pipaaaaaa! Wanasema zimwi likujualo halikuli ukakwishaa ila zimwi lile limenila mpaka mifupaaa! Afu vitu vyoteeee vya kuzua! Hana maana kabisa yuleee!

We naeee....toka page ya 60 unatishia kumwaga hadi huku tunaelekea 90 humwagi tu?? Sema bas kama unatutania watu tuendelee kujenga taifa lol
 
We naeee....toka page ya 60 unatishia kumwaga hadi huku tunaelekea 90 humwagi tu?? Sema bas kama unatutania watu tuendelee kujenga taifa lol

Hhhhhhhaaaaaaaa lara1 kibokooo
 
Last edited by a moderator:
Hayaa nishaaanzaaaa si unaona washaanza kumiminikaaw usiombe ukutwe na bwana pepsi
Hahaaaaaaaa! Nacheka kama mazuri vile! Nusra nusraaa nusraaa ile almanusraaaa, dunia imekunusuruuu ukutwe na bwana pepsi kidogo utasalimika AKIKUKUTA MKEWE BIBI PEPSI
, MAMAAAA PEPSINOGEN MBONA UNALOOOOOOOO! Mmmmmmmh! Sikia tu kwa mwenzio kakutwa na mamaaa pepsinogen
 
Ndugu yangu bora UMERUDI! Yule mtu mzima hovyooooooo bado ana mambo yale yale! Sijui amalize TOPAZ ngapi ndo aache utoto! At the age i really feel sorry kwa mtu mzima! NILITAKA NIMCHA,BE WIMA WIMA HAPA LEO, NIKAMHURUMIA TU, UMRI ULE HATA KUJITETEA HAWEZI! Mxiuuuuuuuuu!

Hahaaaaaaaaa nilikua wapi HOE mie........

Ila haka ka comment kamenichekesha maana nimevuta picha la mtu mzima huyo heheeee
 
We naeee....toka page ya 60 unatishia kumwaga hadi huku tunaelekea 90 humwagi tu?? Sema bas kama unatutania watu tuendelee kujenga taifa lol
YANAKUHUSUUUUUU!? Utasutwa na mdundiko featuring mashujaaa band! MBONA YENU HAMYAANIKI TUFAIDI VIZURI.?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom